Wednesday, 8 March 2017

Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.

Walikuwa na haki ya kuyazuia kwa sababu kabla hawajaandamana walihiyaji kutoa taarifa ya kuandamana ili walindwe. Kama mazingira hayaruhuzu basi hawapati kibali na hivyo hawaandamani. Sasa hawa hawakupitia utaratibu huo.
--------------------------------------------
On Wed, 3/8/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 8, 2017, 10:56 PM

Elisa,Hapo ndipo tunapopishana. Polisi hana
mamlaka yoyote ya kuzuia maandamano ya raia, hata wanafunzi.
Walichofanya wanafunzi wa Simiyu ni haki yao kabisa polisi
hawakuwa na mamlaka ya kuingilia katina kuwazuia.
Kazi yao ilikuwa ni kuhakikisha kwamba maandamano
yanafanyika kwa amani si kuyasimamisha na kuyazuia. Ni
uvunjaji wa haki za
 binadamu/raia.em
2017-03-08 14:27 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wakati
rais akiwaapisha watendaji wake siku moja hivi karibuni,
aligusia mwenendo wa raia kutoheshimu vyombo vya dola.
Mifano aliyotoa ni watu kuitwa Polisi wakaongozana na kwaya
na wengine kuosha magari. Nakubaliana na rais wetu kuwa
vyombo hivi vinahitaji kuheshimiwa. Ukaribu wa watu Fulani
na viongozi wetu wa juu kwa sababu mbalimbali ulitufikisha
hapo. Mtu mwenye hela alijua hata akivunja sheria hawezi
kukamatwa. Sasa Tanzania hakuna mwenye uhakika huo tena. Ni
vibaya sana kwa raia mmoja kujihakikishia hilo kwamba hata
akimuonea raia mwenzake hakuna taasisi ya kumshughulikia.
Hii ndiyo huleta watu kuchukua sheria mkononi mwao.



Njia nyingine na muhimu ya lazima kwa vyombo hivi
kuheshimiwa, ni vyombo vyenyewe kujiheshimu na kuheshimu
nafasi zao.

Matukio mawili hivi karibuni yaliyotendwa na askari polisi
wetu ni mfano mmojawapo wa jeshi hili kutojiheshimu na kwa
kweli lisitegemee kuheshimiwa hata rais angeagiza.

Mkoani Pwani Polisi wamevamia kijiji cha wafugaji na kuanza
kuswaga ng'ombe na kuwapeleka Polisi. Wafugaji bila
kubisha wakakubali ng'ombe wapelekwe. Lakini wakataka
ng'ombe hao wahesabiwe ili ijulikane ni ng'ombe wangapi
wanachukuliwa. Polisi hawataki. Wanaamua kurusha risasi na
kuua. Anakuja Mkuu wa Wilaya na kukana kuwa askari hao
walikuwa hawakutumwa katika eneo husika maana sio eneo lenye
mgogoro. Ni eneo la wafugaji. Wananchi wanadai hatua
zichukuliwe kwa askari hao. Hakuna hatua zinazochukuliwa
Mkoa mzima, mpaka waziri wa mambo ya ndani alipofika ndipo
akaagiza askari hao wakamatwe.

Hebu tuone viashiria hivi; na kama ndio mfumo tuone kama
raia wa Tanzania wako salama kweli:

1.      Askari anakwenda eneo lisilo na mgogoro na bila
kuagizwa na wakubwa wake wa kazi, anakamata mali za raia.

2.      Raia wanakubali lakini wanataka kuhakiki mali
inayokamatwa. Askari wanakataa. Wanaamua kuua raia hao.

3.      Mkuu wa Wilaya anadhibitisha Polisi hao wamefanya
kitendo cha kihalifu; (kwa sababu hawakutumwa huko kukamata
mali za raia hao).

4.      Mkoa mzima ambao una Mkuu wa wilaya, OCD, RPC na
Mkuu wa Mkoa hakuna anayeona na kutumia madaraka yake
kuwakamata askari hao. Maana yake wako huru na wanaweza
kufanya hivyo hata kijiji kingine.

5.      Amri ya kuwakamata Polisi hao inakuja kutolewa na
waziri.

Hivi katika mazingira haya raia wajione wako salama???
Tanzania ina mokoa karibu 30. Mikoa kumi ikipata tatizo
linalohitaji askari akamatwe mpaka waziri aisungukie yote?
Nataka Mwigulu ajijibu (asitangaze jibu). Sisi tunataka
kupata jibu kwa jambo atakalolitenda.

Mwigulu kuagiza askari walioua wakamatwe, amemdhalilisha
RPC. Kumsheshimu RPC wake alipashwa kumtimua kazi. Nitatoa
mfano. Kuna tajiri mmoja alijenga kituo cha mafuta
barabarani Mwanza. Waziri Magufuli (alikuwa hajawa rais),
akamwagiza Mkuu wa mkoa kukibomoa kituo hicho. Mkuu wa mkoa
akakataa. Magufuli (Inasemekana) alimpigia simu na kumwambia
Mkuu wa Mkoa asikilize taarifa ya habari ya saa kumi
atatajwa mkuu wa Mkoa mpya atakayefanya kazi hiyo. Simu
ilipokatwa Mkuu wa Mkoa (inasemekana) alikwenda kusimamia
kituo kuvunjwa na kwa masaa kilikuwa hakipo tena. Tunataka
tuone kinachotokea ambacho inasemekana Mwigulu alifanya (kwa
RPC) wake; kama Magufuli alivyofanya kwa mkuu wa Mkoa wa
Mwanza wakati huo.



Kituko cha pili ni cha wanafunzi wa Simiyu. Wanafunzi
wanasema shule yao ilikuwa inashindwa. Ameletwa mwalimu kwa
juhudi zake sasa matokeo ya mitihani yanaonyesha mabadiliko.
Mwalimu huyo anahamishwa. Wanafunzi wakaamua kuandamana.
Wamebeba makaratasi. Polisi wakaja kuwazuia wasiandamane. Ni
haki kabisa kuwazuia. Ilitarajiwa Polisi waweke ukanda na
kuwatangazia wasimame hapohapo na kuwahoji wanataka nini.
Sasa wanakuja na zana kana kwamba watu wanauana na namna ya
kuwatawanya ni kuwavurunda.

Zimetoka picha mtandaoni zikionyesha Polisi
"wanamdhibiti" mwanafunzi. Huyu anavuta huku, huyu
anavuta huko, huyu anapiga ngwara. Mtu unajiuliza Polisi
walikuwa wanafanya nini hasa? Nani alikuwa anawaongoza
wenzake kufanya hivyo? Huyu mwanafunzi angeambiwa "panda
gari hilo" angepanda. Angebisha Polisi wawili walitosha
kumshika na kumlaza chini na kumuweka Pingu. Ukiiangalia
picha hiyo hukosi kujiuliza kiwango cha elimu kinachotolewa
kwa Polisi wetu huko chuoni! Kuna mtu aliwahi kusema huwa
wanafundishwa ukakamavu na gwaride tu. Ukilinganisha picha
hizo na usemi huo huwezi kumkatalia aliyesema wanajifunza
gwaride na ukakamavu tu. Hakuna busara ya kuwashugulikia
wahalifu inatolewa. Hakuna aina ya maandamano na namna ya
kuyadhibiti. Hakuna elimu ya mahusiano na raia wema ili kazi
yao iwe nyepesi. Kuna mtu anauza viroba jirani yangu. Mpaka
sasa najiuliza nimwambie nani? Vituko hivi ndani ya makala
yangu sithubutu kumwambia Polisi. Nakubaliana na mengine
yanayosemwa juu yao. Mambo haya hayawezi kuacha kutonesha
vidonda myoyoni mwetu juu ya matendo ya Polisi. Mauaji ya
Mwangosi; Kuburuzwa ndani Lipumba wakati amewambia Polisi
kuwa anakwenda kuwatawanya watu waliokuwa hawajui kuwa
mkutano umekataliwa; na mengine mengi tu.

Ninakumbuka kusikia radio ujerumani wakielezea elimu ya
Polisi wao. Wanasema Polisi akikutana na mtu amelala
barabarani cha kwanza wanadhani ana kisukari, au kifafa au
magonjwa mengine, kabla ya kufikiri ni mlevi. Polisi wana
vifaa vya kupima kuhakikisha ana shida gani. Wa kwetu
watapiga mateke na kusema ni mlevi. Mwigulu. Kati ya mambo
ya kutopuuza ni elimu inayotolewa kwa asiakri wetu. Madaraka
na wajibu wa Polisi wetu. Lakini niseme; Nitashangaa kama
RPC wa Pwani ataendelea na kazi.

Elisa Muhingo

0767 187 507

elisamuhingo@yahoo.com



  

           --

       

          

       

     

           Send Emails to wana...@googlegroups.com

       

          

       

     

            

       

          

       

       

         Kujiondoa Tuma Email kwenda

       

          

       

       

         wanabidii+...@ googlegroups.com 

       

     

          Utapata Email ya

       

     

           kudhibitisha ukishatuma

       

          

       

     

            

       

          

       

       

         Disclaimer:

       

          

     

       

           Everyone

      posting to this Forum bears

        the sole

       

          responsibility

       

           for any legal

      consequences of his or

        her postings,

       

         and

       

     

          hence

       

           statements and facts must be

      presented

        responsibly.

       

     

         Your

       

           continued membership signifies that

        you agree to

       

         this

       

           disclaimer and pledge to abide by

      our

        Rules and

       

          Guidelines.

       

          

       

       

         ---

       

          

       

           You received this

      message because you

        are subscribed

       

         to

       

     

          the

       

           Google Groups "Wanabidii"

        group.

       

          

       

       

         To unsubscribe from this group and

       

      stop receiving

       

       

       emails

       

           from

      it, send an email to wanabidii+...@

       

      googlegroups.com.

       

       

        

       

           For more

      options, visit

       

          https://groups.google.com/d/

        optout.

       

          

       

       

     

       

       

       

     

        --

       

        Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

       

         

       

     

        Kujiondoa Tuma Email kwenda

       

        wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com 

       Utapata Email ya

       

      kudhibitisha ukishatuma

       

         

       

       

      Disclaimer:

       

        Everyone

      posting to this Forum bears the sole

     

      responsibility

        for any legal consequences

      of his or her postings, and

       hence

        statements and facts must be presented

      responsibly. Your

        continued membership

      signifies that you agree to this

       

      disclaimer and pledge to abide by our Rules and

        Guidelines.

       

        ---

       

       

      You received this message because you are

  subscribed

    to

       the

        Google Groups

      "Wanabidii" group.

       

        To unsubscribe from this group and stop

      receiving emails

        from it, send an email

      to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

       

        For more options,

      visit

     

      https://groups.google.com/d/
optout.

       

     

        

     

   

    --

    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

   

    Kujiondoa Tuma Email kwenda

    wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com 

    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

   

    Disclaimer:

    Everyone posting to this Forum bears the sole

   responsibility

    for any legal consequences of his or her postings,

  and

   hence

    statements and facts must be presented responsibly.

  Your

    continued membership signifies that you agree to

  this

    disclaimer and pledge to abide by our Rules and

   Guidelines.

    ---

    You received this message because you are
subscribed

  to

   the

    Google Groups "Wanabidii" group.

    To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails

    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

    For more options, visit

    https://groups.google.com/d/
optout.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment