Hakuna nchi iliyofanikiwa kwa ulinzi ulinzi wake wa ndani kwa kutumia mitutu ya bunduki au ukali na ukatili wa askari wake.
Ulinzi ni mfumo na siyo mabunduki na maderaya, mfumo huu hujengwa kupitia mila na desturi zetu, pale tunapo jenga stadi za maisha taratibu hupenyesheshwa mambo haya.
Yale yote tunayoyaona sasa, ni zao la kizazi fulani katika jamii yetu.
Tumeibuka na katabia ka hajabu sana sasa hivi, tunakwepa kujadili kitu husika na kukimbilia kutaja tuliyokuwa tumeyahifadhi moyoni.
- Jamii inajengewa ubaguzi ( kiafya, kielimu, kiuchumi, kitabaka, kikabila, kikanda,kicheo, kivyama, kirika n.k.)
- Watoto wetu hawajui mipaka yao( wanasubiriwa wakosee ndiyo wakanywe na mambo kama hayo)
- Mtindo wetu wa kurekebisha/ kukosoana umekosa upendo ( imekuwa ni uadui, kutiana aibu-- yaani hatuja acha kuimbiana kikojozi kakojoa na ngua kaitia moto)
- Hatuna sera ya kitaifa tunayoweza kusema wote tunaelekea huko( tuna sera za vyama au za watawala kwa vipindi vyao, hata ukiwauliza mbona unau au kukandamiza wananchi, watakwambia sisi tuna nafuu sana, angalia rwanda, uganda? Sasa sisi tunaishi kusudi tuwafikie hao kwa ukatili na kuhadhri UTU? )
- Matatizo madogo madogo ya wafanya kazi, wakulima, wafugaji, wafanya biashara hayashughulikiwa kwa ufasaha na kwa wakati. ( yanakuja kushughulikiwa kidharula)
- Wanasiasa wenye upeo mdogo au hawajui siasa( wapo tayari wakati wa kampeni kuunga mkono makundi haramu)
- Sisi siyo watanzania kamili na wala siyo wa hayo mataifa mengine( tunaigaiga tu, mara china, mara India na singapol, mara umarekani- Uchumi wa kibepari, siasa ya ujamaa, elimu ya kijima)
- Watu wazima/wazee, viongozi wa dini, viongozi wa nchi, viongozi wa michezo na wengine. Hawana aibu ( Viongozi wa dini wapo kwa ajili ya kuendesha ibada za mazishi tu, viongozi wa kiserikali wanajitahidi kufuta historia za watangulizi wao, bila kujali uzuri au ubaya wa hizo historia, wa vyama vyote na michezo, hawajiamini, wanajilinda na kilekisichokuwepo, wanabadili sheria zao kila kukicha, walafi, hawafii itikadi zao)
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Friday, March 10, 2017 7:25 AM
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
USA kwenyewe pamoja na demokrasia tunaona katika TV-CNN wanabondana na police. Wanaandamana kumpinga Trump lakini kama inavyotokea bongoland-wanavunja maduka na kuiba (watu weusikibao ktk kuvunja maduka hayokama tulivyo hapa bongo!). Nani haoni hii ktk TV? Wanapigana na police na police kuua au kuuawa. Police amevaa vivalo utadhania ni jeshi la taifa kama JWTZ kwetu, wana mbwa waliofundishwa jinsi ya kumkamata mtu wanamkamata, wana magari mazito ajabu kama ya kivita ila ya maji ya washawasha wanawamwagia wanaoandamana wasiotii sheria. Tunaiona hii pia ktk mitandao ya magazeti. Iiatoke si USA pekee na nchi za Europe lakini USA ndio kiboko. Na wapo police wanaoua kiuonevu mfano mauaji ya black people. Kesi hizo zinaonekana kwetu pia.
Inashangaza TZ-wananchi wanapovamia na wanapochoma kituo cha polisi kumtoa mtuhumiwa, kuua polisi- wananchi sisi hatuandamani. Wakulima Kilosa na Moro Rural wanavyopigwa mapanga na kuuawa ila wakimuua mfugaji ni issue mpaka magazeti ya ulaya. Ila wakilosa-wafe tu! Bibi kalima mashama yake miaka 70 leo hii anakuja kuchapwa bakora asifukuze mifugo isile na kesi zipo kibao haziendi wala fidia ya kuchapwa na gharama zao za matibabu hawalipwi!
Mume kafa Mikumi (babu mtu mzima) kwa shock ya mkewe (bibi mtu mzima) kubakwa shambani akifukuza mifugo isile mpunga wake. Morani katorokea police station (rushwa) bibi kilema hadi leo mume alipoambia kuhusu bibi kulazwa St Kizito kwa kubakwa akifukuza mifugo-kapata shock akaanguka na akafa. Fidia ipo wapi. Hakieleweki hadi leo!
Waliotoa taarifa za ujambazi wanapofuatwa na majambazi husika au ndugu zao, washirika wao hukatwa mapanga na kuchomwa moto kuuawa au kuumizwa-Mbona hatuandamani kamwe kama ile ya Ulimboka kuweka semina, makongamano kujadili haya kama inavyokuwa hao ambayo hufanywa kisiasa?
Game scout ndani ya wildlife protected area wanapolinda na kufukuza wavamizi humo hukuta wahusika hao wana mishale ya sumu, mikuki na silaha kali za kivita kuliko walizo nao askari hao wa wanyama pori au wa protected forests. Wao wana SR au G3 wenzao wana LMG na mkanda mrefu wa risasi silaha walizonunua toka wakimbizi na ujambazi mwingine. Akijihami game scout aue raia hao-maandamano, media lawama juu kwa serikali, makongamano donor funded hapo ndio NGO hupata ulaji!
Wakikamata wanaolima bhangi humo, kulima mazao na kujaza mifugo na kuipeleka mifugo vituo husika na wakifuatiliwa na husika askari hao kupigwa vibaya-hakuna lawama ila lawama askari hao wanapopiga raia kujitetea au kuua kutokana na hayo. Lazima tuheshimu sheria pia sio kutetea upande mmoja tu.
Kama nchi hii inataka iwe salama-ni kwa serikali sasa kuacha SIASA kutumia sheria. Mwana SIASA anayetetea ujinga-atumbuliwe. Pamoja na kuweka hela za mabasi na dreni sa mwendokasi, ndege za bombadier na barabara za fast train etc-kipaumbele pia kiwe katika-Participatory Land Use Planning Vijijini na kukamilisha upimaji mijini na ramani zake. Pia, kuhakikisha kulikopimwa zamani ramani inakaa sawa kwa KUBOMOA bila ya FIDIA wale waliobadili mchoro kwa maeneo yao kwa kufunga barabara, kuvamia public open land na ROW ya barabara, Reli. Sheria kali iwekwe na kulazimisha sustainable fishing, farming, livestock keeping iwe SHERIA. Na upande wa uchimbaji madini yaaina yoyote mpaka mawe na kokoto, mchanga Mining Act izingatiwe na Land Recovery ifanyike kwa lazima na mchimbaji aliyepewa leseni. Hii itaepusha kuwepo na mashimo ambayo watu huvamia, kujenga nyumba na mvua ikija wanatesa watoto kwani mashimo yanajaa maji. Wengine huyatumia kuyafanya sewage dumping site bila ya kuzingatia viwango vya liquid waste stabilization pond.
Wizara ya Mambo ya Ndani na ya Ardhi, Mali Asili na Mazingira wahakikishe kuwa vita haitotokea kati ya Raia na Askari wa aina yoyote ile kwa kuhakikisha Land Use Planning na kuwapa hati miliki wahusika iliyopigwa chapa-Haihamishiki inakamilika na kupiga marufuku migratory farming and livestock keeping. Kaa kwako utumie ardhi yako kiendelevu. Hii itapunguza hayo ya kupigana na wafukaji na kutumia muda mwingi wa kazi ktk kukata mazao yaluyolimwa ndani ya misitu ya hifadhi pamoja na bhangi. Kila mmoja TZ akae pale alipopewa ardhi na serikali au aliporithi kutoka ukoo/wazazi wake au aliponunua na kupata hati miliki. Mbona Ulaya wameweza sisi tuna ardhi kubwa sana na matumizi hayajafika hata 50% ya arable land tuliyonayo? Kulazimisha ufugaji endelevu ni mpaka kuwafanya wafugaji wapande mahindi na majani ya lishe ya mifugo ambayo huyafuata maeneo mbali mbali. Kama mahindi, kunde ni chakula cha mifugo akila anatoamaziwa mengi-ktk ekari kumi za boma laki panga ekari5 mahindi na majani ya mifugo badala ya kuweka mifugo elfu 2 katika ekari 5 weka sustainable level na walishe chakula na pumba za mazao uliyopanda na mabua, vigunzi vyake watoe maziwa sana! Sio uhamehame-Kilosa, Lindi, ndani ya vituo vya serikali vya kilimo na mifugo upeleke vurugu kisha mkipambana na askari wa serikali iwe sababu. Ulifikaje hapo? Serikali nayo isitake kufumbia macho mambo yanayoonekana kwa kuitetea jamii yenye makosa. Mwisho askari wetu watakaa tu kuangalia wakulima na wafugaji wakiharibu protected areas, wakiuana kwa kuogopa kuwa-akienda akitupiwa mkuki, akirusha risasi itaua mtu na yeye kufungwa maisha! Hivyo-wakiona wataangalia tu, wakipigiwa simu-watasema tunakuja-hawatotokea. Kama vile inavyotokea barabarani na wafanya biashara ndogo ndogo. Wanajua hawatakiwi wawe hapo, askari wakienda kuwaondoa wanawarushia mawe kugoma kuondoka nao askari/mgambo hutumia virugu. Kisha tunalalama-lack of democracy! Ndio wanawaacha wanaanika na kutandika nguo, chupi an sidiria ning'inia mpaka nje ya majengo ya serikali na porivate sector, viatu vimetandazwa njia za waenda kwa miguu Independence Avenue yote na mapishi marabarani mpaka kando ya barabara za kwenda Ikulu! Waache usiwaonee wanaganga njaa!
Huu ndio wakati wa kujenga nidhamu kila kona. wakati wa kulinda mazingiza ili tupunguze athari za climate change; kuweza kuzalisha mazao ya mashambani, mifugo na samaki ili kulisha viwanda. Utalii ukue na sio kuachia mifugo na kilimo kinakua ndani ya wildlife protected areas. Wanalima kiwango kikubwa sana ndani ya NCAA na Loliondo. Wageni wafugaji na mifugo kutoka Kenya wamejaa. IRA-UDSM wakurugenzi wake ndio waliokuwa Chairperson wa Board ya NCAA wanalijua hili; Socio-economic studies za NCAA za Planning for Conservation with Development wamezifanya na hayo yamedhirika na pichaza mashamba makubwa sio siri. Thesisza wanafunzi wa kwa mfano UDSM Geography, IRA za conservation areas zipo na statistics za wingi wa mifugo na ukubwa wa mashamba ndani ya NCAA; evaluation ya benefits za kutoka NCAA, hoteli za ndani ya Serengeti na awwekezaji zinaonyesha mafao zipo na kinachoendelea na hao wafaidika ni kinyume na kinachotakiwa katika ulinzi wa mazingira. Pamoja na miradi mingi ya mazingira kila kona iliyohusisha wananchi kuanzia Pwani yote hadi bara kwa misaada ya donors-bado uharibifu ni mkubwa kwani sisi ni SIKIO la KUFA na kulalamika ndio TIJA, ukweli kwetu ni Kivuri cha Giza ila uongo ndio Sifa. Kwa sasa tuna Waziri ambae Culture ya Kabila lake ni Kiboko katika Ulinzi wa Mazingira-ardhi, misitu, wanyamapori, maji! Na mifugo kwao na kilimo vina sheria kali!! Sasa imebaki kula Dawa tu akili zikae sawa-hatokubali uzushi na ujinga atazingatia sheria za nchi. Mh Mwigulu ana akili timamu na anatoka jamii ya wafugaji pia naye alifuga kuanzia utoto kachunga ng'ombe! Sasa hapa Kazi tu. Kuwafunga hao askari walioua si Kibali kuwa uovu na ujinga uendelee wa kuvamia usiko ruhusiwa (mwananchi).
Wengine hujifanya mchana wapo kijijini kwao wametulia. Lakini usiku huvamia misitu kukata miti, kujaza malori na kusafirisha magogo. Pengine hao askari waliovamia kijiji cha wafugaji walilifuata hili. tatizo hawakutoa taarifa na kupata kibali cha uvamizi. Viongozi wengine wa juu hupewa rushwa mpaka ya mifugo wakamezea na kunyamazia mengi-atoe kibali cha kuvamia eneo! Tuna kesi Mikumi Police Station ya Wakala wa TIGO kufanya wizi wa Mtandaoni kuhamisha hela kutoka TigoPesa ssimu ya muhusika kupeleka Airtel money na kufuta maelezo au message zote ktk simu ya jamaa muhusika alipompa amsaidie kutoa hizo hela. Vidhibiti vya Tigo, M-Pesa ilikotoka hela vimepelekwa na zina mihuri ya ofisi husika kuonyeshahela zilipotoka, kuingia na kuhamishwa na muda pia. Lakini Wakala anapeta-anatoa taarifa zake za mkono ndio zinaaminiwa. Ameshaibia hivyo wengi wasio naufahamu wa wapi pa kwenda kuanziakuiba laki 3 mpaka milioni na bado anapeta (Rushwa!).
Hivyo basi-wafugaji wengine hutulia na mifugo mchana usiku huhana aukuisafirisha kulishia mashamba ya wenzao kucha asubuhi wanarudi kijijini kwao tuli wametumia. Iangaliwe-hata kama askari waliingia kijiji cha wafugaji-kuna sababu tu lazima ambapo haijagunduliwa! Maeneo ay Kilosa, Morogoro rural hukuta wamelishia mashamba usiku na kuwafanya wenye mashamba kulala porini/mashambani juu ya miti kulinda mashamba yao. Fikiria vijana wa kiume, baba mwenye mke alale shambani mbali mpaka mavuno (angalia picha ya wanavyokaa mitini usiku, nimeipiga mwenyewe). Familia inaathirika kiasi gani kwa baba kutokuwepo nao kwa usalama wao home?
Askari mwonevu kuchukuliwa hatua ni safi kabisa. Mwingine atatakakulipiza kisasi (askari) mahala pasipohusu kabisa kuonea pia ili apate vijisenti toka mtu huyo ili amwachie. Mwingine anatafuta sifa tu aonyeshe ubabe kwa kumbonda mtu kupita kiasi hata kama amegoma kuondoka alipoambiwa afanye hivyo. Lakini unapofika Mahakamani ukaanza maandamano hapo, kukosha magari na kupiga deki mshitakiwa apite ulipodeki-ni nidhamu potofu-Upigwe tu na utumbuliwe kama ni mtumishi wa Umma!! ila tufahamu, tunapokuwa na maelewano madogo na walinzi kama police, FFU kupigana nao, majambazi watatumianafasi hiyo kuja kuwavamia kwani wanajua askari hao wakiitwa hawatakuja. Halafu ni kulalamika eti simu zilipigwa hawakuja au zilizimwa hawapatikani. Unapochoma kituo cha polisi-unachoma mpaka faili za kesi za nduguzo na jirani zako! halafu ukiporwa njia jina panya Road unakwenda wapi na kituo cha polisi umekichoma na kupiga askari? Kuna haja ya kujenga upya nidhamu binafsi ya Raia wa Bongoland au sisi wa TZ.
Mapigano na askari na mauaji yaja-serikali itakapoanza kuvunja majengo yaliyojengwa mabondeni na katika right of way ya barabara, nguzo za umeme, open space zake mijini na vijijini. Iandae JWTZ kusaidia police. waandae maeneo ya magereza ya kuwapeleka raia haokulala na kuamka kufanyakazi za kuzalisha mali huko badala ya kuwaacha wajenge vibanda mabondeni kachumba kamoja familia yote kulala humo kuongeza jamii yenye utovu wa maadili!! Jenga nyumbaza manamba kwa kutumia NHC bosi Mchechu anayaweza ajenge ktk mashamba ya mamlaka za serikali (minazi, sisal, cotton farms) ili watakaovunjiwa wasio na ajira mjini wakalime kuzalisha mazao ya kulisha viwanda tufikie uchumi wa viwanda!!
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Thu, 9/3/17, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
Date: Thursday, 9 March, 2017, 12:25
Koku. Angalia hoja ya msingi kwenye
original article. Hii ninamjibu Emanuel na ukweli amehoji
pembeni mwa hoja ya msingi inayojadili technical na
discipline aspects of the police when handling the two
issues in question. Ukiijadili kama Emma anavyoileta
utaingiza watu wengi wa kujibu na kujitetea badala ya
waziri, RC, RPC, DC OCD.
--------------------------------------------
On Thu, 3/9/17, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
Date: Thursday, March 9, 2017, 9:09 AM
Elisa
we vipi?
Tunaongelea
watoto/wajukuu zetu; hata kama hawakuwa na kibali, ndo
wapigwe kama majambazi?
LKK
On Wednesday, March
8, 2017 11:42 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
wrote:
Unatwambia habari za marekani nchi tajii ina
polisi wenye vyombo vya akiba nakadhalika. Wewe uko
marekani
itafute historia ya nchi hiyo. Katiba yao iliandikwa na
majenerali saba na wakasema jimbo litakalopinga vita. Sisi
hatujafika hapo. Unafanya lkosa kufikiri (acha kuandika)
kuwa demokrasia yetu iwe kama ilivyo ya marekani.
Tungetaka
kuanzia walipoanzia je?
--------------------------------------------
On Wed, 3/8/17, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
Date: Wednesday, March 8,
2017, 11:34 PM
Polisi
hawana haki ya kuzuia
maandamano in a true democratic
country. Kuna maandamano yanaweza kufanyika
spontaneously,
hiyo ni
haki ya raia.Baadfa ya ushindi wa Trump
Wamarekani katika sehemu
mbalimbali za nchi walimiminika
mitaani kuandamana. Hawakuhitaji kibali cha
polisi.Simba
walipowafunga Yanga juzi mashabiki
wa Simba wangeandamana
isingekuwa nongwa. Polisi
hawakuhitaji kuombwa ruhusa.em
2017-03-08 15:13
GMT-05:00
'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Walikuwa
na haki ya kuyazuia kwa
sababu kabla hawajaandamana
walihiyaji kutoa taarifa ya kuandamana ili
walindwe. Kama
mazingira hayaruhuzu basi hawapati kibali na hivyo
hawaandamani. Sasa hawa
hawakupitia utaratibu huo.
------------------------------ --------------
On Wed, 3/8/17, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA
ZAIDI.
Date: Wednesday, March
8, 2017, 10:56 PM
Elisa,Hapo ndipo
tunapopishana. Polisi hana
mamlaka
yoyote ya kuzuia
maandamano ya raia, hata wanafunzi.
Walichofanya wanafunzi
wa Simiyu ni haki yao kabisa
polisi
hawakuwa na mamlaka ya
kuingilia katina
kuwazuia.
Kazi yao ilikuwa ni
kuhakikisha kwamba
maandamano
yanafanyika kwa amani
si kuyasimamisha na kuyazuia. Ni
uvunjaji
wa haki za
binadamu/raia.em
2017-03-08 14:27
GMT-05:00
'ELISA MUHINGO'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wakati
rais akiwaapisha
watendaji wake siku moja hivi
karibuni,
aligusia mwenendo
wa raia kutoheshimu vyombo vya dola.
Mifano aliyotoa ni watu
kuitwa Polisi wakaongozana na
kwaya
na wengine kuosha
magari. Nakubaliana na rais wetu kuwa
vyombo hivi vinahitaji
kuheshimiwa. Ukaribu wa watu
Fulani
na viongozi wetu wa juu
kwa sababu mbalimbali
ulitufikisha
hapo. Mtu mwenye hela
alijua hata akivunja sheria
hawezi
kukamatwa. Sasa
Tanzania hakuna mwenye uhakika huo tena.
Ni
vibaya sana kwa raia
mmoja kujihakikishia hilo kwamba
hata
akimuonea raia mwenzake
hakuna taasisi ya
kumshughulikia.
Hii ndiyo huleta watu
kuchukua sheria mkononi mwao.
Njia nyingine na muhimu
ya lazima kwa vyombo hivi
kuheshimiwa, ni vyombo vyenyewe kujiheshimu na
kuheshimu
nafasi zao.
Matukio mawili hivi
karibuni yaliyotendwa na askari
polisi
wetu ni mfano mmojawapo
wa jeshi hili kutojiheshimu na
kwa
kweli lisitegemee
kuheshimiwa hata rais angeagiza.
Mkoani Pwani Polisi
wamevamia kijiji cha wafugaji na
kuanza
kuswaga ng'ombe na
kuwapeleka Polisi. Wafugaji bila
kubisha
wakakubali ng'ombe wapelekwe. Lakini wakataka
ng'ombe hao
wahesabiwe ili ijulikane ni ng'ombe
wangapi
wanachukuliwa. Polisi
hawataki. Wanaamua kurusha risasi
na
kuua. Anakuja Mkuu wa
Wilaya na kukana kuwa askari hao
walikuwa
hawakutumwa katika eneo husika maana sio eneo
lenye
mgogoro. Ni eneo la
wafugaji. Wananchi wanadai hatua
zichukuliwe kwa askari hao. Hakuna hatua
zinazochukuliwa
Mkoa mzima, mpaka
waziri wa mambo ya ndani alipofika
ndipo
akaagiza askari hao
wakamatwe.
Hebu tuone viashiria
hivi; na kama ndio mfumo tuone
kama
raia wa Tanzania wako
salama kweli:
1. Askari
anakwenda eneo lisilo na mgogoro na
bila
kuagizwa na wakubwa
wake wa kazi, anakamata mali za
raia.
2. Raia
wanakubali lakini wanataka kuhakiki
mali
inayokamatwa. Askari
wanakataa. Wanaamua kuua raia hao.
3. Mkuu wa
Wilaya anadhibitisha Polisi hao
wamefanya
kitendo cha
kihalifu; (kwa sababu hawakutumwa huko
kukamata
mali za raia hao).
4. Mkoa mzima
ambao una Mkuu wa wilaya, OCD, RPC
na
Mkuu wa Mkoa hakuna
anayeona na kutumia madaraka yake
kuwakamata askari hao. Maana yake wako huru na wanaweza
kufanya hivyo hata
kijiji kingine.
5. Amri ya
kuwakamata Polisi hao inakuja kutolewa
na
waziri.
Hivi katika mazingira
haya raia wajione wako salama???
Tanzania
ina mokoa karibu 30. Mikoa kumi ikipata tatizo
linalohitaji askari
akamatwe mpaka waziri aisungukie
yote?
Nataka Mwigulu ajijibu
(asitangaze jibu). Sisi tunataka
kupata
jibu kwa jambo atakalolitenda.
Mwigulu kuagiza askari
walioua wakamatwe,
amemdhalilisha
RPC. Kumsheshimu RPC
wake alipashwa kumtimua kazi.
Nitatoa
mfano. Kuna tajiri
mmoja alijenga kituo cha mafuta
barabarani Mwanza. Waziri Magufuli (alikuwa hajawa
rais),
akamwagiza Mkuu wa mkoa
kukibomoa kituo hicho. Mkuu wa
mkoa
akakataa. Magufuli
(Inasemekana) alimpigia simu na
kumwambia
Mkuu wa Mkoa
asikilize taarifa ya habari ya saa kumi
atatajwa mkuu wa Mkoa
mpya atakayefanya kazi hiyo. Simu
ilipokatwa Mkuu wa Mkoa (inasemekana) alikwenda
kusimamia
kituo kuvunjwa na kwa
masaa kilikuwa hakipo tena.
Tunataka
tuone kinachotokea
ambacho inasemekana Mwigulu alifanya
(kwa
RPC) wake; kama
Magufuli alivyofanya kwa mkuu wa Mkoa
wa
Mwanza wakati huo.
Kituko cha pili ni cha
wanafunzi wa Simiyu. Wanafunzi
wanasema
shule yao ilikuwa inashindwa. Ameletwa mwalimu
kwa
juhudi zake sasa
matokeo ya mitihani yanaonyesha
mabadiliko.
Mwalimu huyo
anahamishwa. Wanafunzi wakaamua
kuandamana.
Wamebeba
makaratasi. Polisi wakaja kuwazuia wasiandamane.
Ni
haki kabisa kuwazuia.
Ilitarajiwa Polisi waweke ukanda
na
kuwatangazia wasimame
hapohapo na kuwahoji wanataka
nini.
Sasa wanakuja na zana
kana kwamba watu wanauana na namna
ya
kuwatawanya ni
kuwavurunda.
Zimetoka picha
mtandaoni zikionyesha Polisi
"wanamdhibiti" mwanafunzi. Huyu anavuta huku, huyu
anavuta huko, huyu
anapiga ngwara. Mtu unajiuliza
Polisi
walikuwa wanafanya nini
hasa? Nani alikuwa anawaongoza
wenzake
kufanya hivyo? Huyu mwanafunzi angeambiwa
"panda
gari hilo" angepanda.
Angebisha Polisi wawili
walitosha
kumshika na kumlaza
chini na kumuweka Pingu.
Ukiiangalia
picha hiyo hukosi
kujiuliza kiwango cha elimu
kinachotolewa
kwa
Polisi wetu huko chuoni! Kuna mtu aliwahi kusema
huwa
wanafundishwa ukakamavu
na gwaride tu. Ukilinganisha
picha
hizo na usemi huo
huwezi kumkatalia aliyesema
wanajifunza
gwaride na
ukakamavu tu. Hakuna busara ya
kuwashugulikia
wahalifu
inatolewa. Hakuna aina ya maandamano na namna
ya
kuyadhibiti. Hakuna
elimu ya mahusiano na raia wema ili
kazi
yao iwe nyepesi. Kuna
mtu anauza viroba jirani yangu.
Mpaka
sasa najiuliza
nimwambie nani? Vituko hivi ndani ya
makala
yangu sithubutu
kumwambia Polisi. Nakubaliana na
mengine
yanayosemwa juu yao.
Mambo haya hayawezi kuacha
kutonesha
vidonda myoyoni
mwetu juu ya matendo ya Polisi. Mauaji
ya
Mwangosi; Kuburuzwa
ndani Lipumba wakati amewambia
Polisi
kuwa anakwenda
kuwatawanya watu waliokuwa hawajui kuwa
mkutano umekataliwa; na
mengine mengi tu.
Ninakumbuka kusikia
radio ujerumani wakielezea elimu ya
Polisi wao. Wanasema
Polisi akikutana na mtu amelala
barabarani cha kwanza wanadhani ana kisukari, au kifafa
au
magonjwa mengine, kabla
ya kufikiri ni mlevi. Polisi
wana
vifaa vya kupima
kuhakikisha ana shida gani. Wa kwetu
watapiga mateke na
kusema ni mlevi. Mwigulu. Kati ya
mambo
ya kutopuuza ni elimu
inayotolewa kwa asiakri wetu.
Madaraka
na wajibu wa Polisi
wetu. Lakini niseme; Nitashangaa
kama
RPC wa Pwani ataendelea
na kazi.
Elisa Muhingo
0767 187 507
--
Send
Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa
Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to
this Forum bears
the sole
responsibility
for
any legal
consequences
of his or
her
postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree
to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules
and
Guidelines.
---
You
received this
message
because you
are
subscribed
to
the
Google
Groups "Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this group and
stop
receiving
emails
from
it, send an
email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For
more
options,
visit
optout.
--
Send Emails
Kujiondoa
Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences
of his or her
postings, and
hence
statements
and facts must be presented
responsibly.
Your
continued
membership
signifies that
you agree to this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received
this message because you are
subscribed
to
the
Google
Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it,
send an email
to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more
options,
visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting
to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her
postings,
and
hence
statements and
facts must be presented
responsibly.
Your
continued
membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving
emails
from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options,
visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this group and stop receiving
emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this group and stop receiving
emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility
for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must
be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment