Friday, 10 March 2017

Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.

Be focused Emmanuel. Umetoa mfano wa Marekani. Nikahoji utaratibu marekani iliopitia unaniletea mataifa hayo hayo ambayo nina uhakika historia yao haitofautiani na marekani Lakini mada niliyoileta mimi haijahoji habari za human rights. Nimeleta mada hivyo makusudi. Nimehoji mwenendo wa Polisi kwa makusudi ya nidhamu na usimamizi wake katika utendaji. Hapo nina watu niliohoji na kubakiza wengine. Ukiingiza habari za HR unataka wawajibikaji kuwa wengine na hilo ni swala la sera. hapo unataka kuwasaidia nilioona (katika mada) wanahitaji kujibu kupumua. Mimi nilitaka tuangalie Utendaji na usimamizi wa Polisi. sasa swala la HR ni mada nyingine katika matukio haya ambalo halikuwa katika mada yangu. Kuliingiza ni kukosa kujadili lolote katika mada
--------------------------------------------
On Fri, 3/10/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI, UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 10, 2017, 4:18 AM

Elisa,Kuna kitu kinaitwa Universal
declaration of human rights. We are signatory to that. Siyo
Marekani peke yake. Angalia nchi zote zinazojali raia wake
zikiwemo Uingereza, Sweden, Norway, Ujerumani, Ufaransa,
etc.Na sisi tunapaswa kuwa kwenye kundi
hilo.em
2017-03-08 15:42 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Unatwambia habari za marekani nchi
tajii ina polisi wenye vyombo vya akiba nakadhalika. Wewe
uko marekani itafute historia ya nchi hiyo. Katiba yao
iliandikwa na majenerali saba na wakasema jimbo
litakalopinga vita. Sisi hatujafika hapo. Unafanya lkosa
kufikiri (acha kuandika) kuwa demokrasia yetu iwe kama
ilivyo ya marekani. Tungetaka kuanzia walipoanzia je?

------------------------------
--------------

On Wed, 3/8/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA POLISI,
UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, March 8, 2017, 11:34 PM



 Polisi

 hawana haki ya kuzuia maandamano in a true democratic

 country. Kuna maandamano yanaweza kufanyika
spontaneously,

 hiyo ni haki ya raia.Baadfa ya ushindi wa Trump

 Wamarekani katika sehemu
mbalimbali za nchi walimiminika

 mitaani kuandamana. Hawakuhitaji kibali cha

 polisi.Simba walipowafunga Yanga juzi mashabiki

 wa Simba wangeandamana isingekuwa
nongwa. Polisi

 hawakuhitaji kuombwa ruhusa.em

 2017-03-08 15:13 GMT-05:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Walikuwa

 na haki ya kuyazuia kwa sababu kabla hawajaandamana

 walihiyaji kutoa taarifa ya kuandamana ili walindwe.
Kama

 mazingira hayaruhuzu basi hawapati kibali na hivyo

 hawaandamani. Sasa hawa hawakupitia utaratibu huo.



 ------------------------------ --------------



 On Wed, 3/8/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>

 wrote:







  Subject: Re: [wanabidii] MWIGULU: MWENDENDO HUU WA
POLISI,

 UNAKUHITAJI KUFANYA ZAIDI.



  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>



  Date: Wednesday, March 8, 2017, 10:56 PM







  Elisa,Hapo ndipo  tunapopishana. Polisi hana



  mamlaka yoyote ya kuzuia

 maandamano ya raia, hata wanafunzi.



  Walichofanya wanafunzi wa Simiyu ni haki yao kabisa

 polisi



  hawakuwa na mamlaka ya kuingilia katina

 kuwazuia.



  Kazi yao ilikuwa ni

 kuhakikisha kwamba maandamano



  yanafanyika kwa amani si kuyasimamisha na kuyazuia.
Ni



  uvunjaji wa haki za



   binadamu/raia.em



  2017-03-08 14:27 GMT-05:00



  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:



  Wakati



  rais akiwaapisha watendaji wake siku moja hivi

 karibuni,



  aligusia mwenendo wa raia kutoheshimu vyombo vya
dola.



  Mifano aliyotoa ni watu kuitwa Polisi wakaongozana na

 kwaya



  na wengine kuosha magari. Nakubaliana na rais wetu
kuwa



  vyombo hivi vinahitaji kuheshimiwa. Ukaribu wa watu

 Fulani



  na viongozi wetu wa juu kwa sababu mbalimbali

 ulitufikisha



  hapo. Mtu mwenye hela alijua hata akivunja sheria

 hawezi



  kukamatwa. Sasa Tanzania hakuna mwenye uhakika huo
tena.

 Ni



  vibaya sana kwa raia mmoja kujihakikishia hilo kwamba

 hata



  akimuonea raia mwenzake hakuna taasisi ya

 kumshughulikia.



  Hii ndiyo huleta watu kuchukua sheria mkononi mwao.















  Njia nyingine na muhimu ya lazima kwa vyombo hivi



  kuheshimiwa, ni vyombo vyenyewe kujiheshimu na

 kuheshimu



  nafasi zao.







  Matukio mawili hivi karibuni yaliyotendwa na askari

 polisi



  wetu ni mfano mmojawapo wa jeshi hili kutojiheshimu
na

 kwa



  kweli lisitegemee kuheshimiwa hata rais angeagiza.







  Mkoani Pwani Polisi wamevamia kijiji cha wafugaji na

 kuanza



  kuswaga ng'ombe na kuwapeleka Polisi. Wafugaji bila



  kubisha wakakubali ng'ombe wapelekwe. Lakini
wakataka



  ng'ombe hao wahesabiwe ili ijulikane ni ng'ombe

 wangapi



  wanachukuliwa. Polisi hawataki. Wanaamua kurusha
risasi

 na



  kuua. Anakuja Mkuu wa Wilaya na kukana kuwa askari
hao



  walikuwa hawakutumwa katika eneo husika maana sio
eneo

 lenye



  mgogoro. Ni eneo la wafugaji. Wananchi wanadai hatua



  zichukuliwe kwa askari hao. Hakuna hatua

 zinazochukuliwa



  Mkoa mzima, mpaka waziri wa mambo ya ndani alipofika

 ndipo



  akaagiza askari hao wakamatwe.







  Hebu tuone viashiria hivi; na kama ndio mfumo tuone

 kama



  raia wa Tanzania wako salama kweli:







  1.      Askari anakwenda eneo lisilo na mgogoro na

 bila



  kuagizwa na wakubwa wake wa kazi, anakamata mali za

 raia.







  2.      Raia wanakubali lakini wanataka kuhakiki

 mali



  inayokamatwa. Askari wanakataa. Wanaamua kuua raia
hao.







  3.      Mkuu wa Wilaya anadhibitisha Polisi hao

 wamefanya



  kitendo cha kihalifu; (kwa sababu hawakutumwa huko

 kukamata



  mali za raia hao).







  4.      Mkoa mzima ambao una Mkuu wa wilaya, OCD,
RPC

 na



  Mkuu wa Mkoa hakuna anayeona na kutumia madaraka yake



  kuwakamata askari hao. Maana yake wako huru na
wanaweza



  kufanya hivyo hata kijiji kingine.







  5.      Amri ya kuwakamata Polisi hao inakuja
kutolewa

 na



  waziri.







  Hivi katika mazingira haya raia wajione wako
salama???



  Tanzania ina mokoa karibu 30. Mikoa kumi ikipata
tatizo



  linalohitaji askari akamatwe mpaka waziri aisungukie

 yote?



  Nataka Mwigulu ajijibu (asitangaze jibu). Sisi
tunataka



  kupata jibu kwa jambo atakalolitenda.







  Mwigulu kuagiza askari walioua wakamatwe,

 amemdhalilisha



  RPC. Kumsheshimu RPC wake alipashwa kumtimua kazi.

 Nitatoa



  mfano. Kuna tajiri mmoja alijenga kituo cha mafuta



  barabarani Mwanza. Waziri Magufuli (alikuwa hajawa

 rais),



  akamwagiza Mkuu wa mkoa kukibomoa kituo hicho. Mkuu
wa

 mkoa



  akakataa. Magufuli (Inasemekana) alimpigia simu na

 kumwambia



  Mkuu wa Mkoa asikilize taarifa ya habari ya saa kumi



  atatajwa mkuu wa Mkoa mpya atakayefanya kazi hiyo.
Simu



  ilipokatwa Mkuu wa Mkoa (inasemekana) alikwenda

 kusimamia



  kituo kuvunjwa na kwa masaa kilikuwa hakipo tena.

 Tunataka



  tuone kinachotokea ambacho inasemekana Mwigulu
alifanya

 (kwa



  RPC) wake; kama Magufuli alivyofanya kwa mkuu wa Mkoa

 wa



  Mwanza wakati huo.















  Kituko cha pili ni cha wanafunzi wa Simiyu. Wanafunzi



  wanasema shule yao ilikuwa inashindwa. Ameletwa
mwalimu

 kwa



  juhudi zake sasa matokeo ya mitihani yanaonyesha

 mabadiliko.



  Mwalimu huyo anahamishwa. Wanafunzi wakaamua

 kuandamana.



  Wamebeba makaratasi. Polisi wakaja kuwazuia
wasiandamane.

 Ni



  haki kabisa kuwazuia. Ilitarajiwa Polisi waweke
ukanda

 na



  kuwatangazia wasimame hapohapo na kuwahoji wanataka

 nini.



  Sasa wanakuja na zana kana kwamba watu wanauana na
namna

 ya



  kuwatawanya ni kuwavurunda.







  Zimetoka picha mtandaoni zikionyesha Polisi



  "wanamdhibiti" mwanafunzi. Huyu anavuta huku,
huyu



  anavuta huko, huyu anapiga ngwara. Mtu unajiuliza

 Polisi



  walikuwa wanafanya nini hasa? Nani alikuwa
anawaongoza



  wenzake kufanya hivyo? Huyu mwanafunzi angeambiwa

 "panda



  gari hilo" angepanda. Angebisha Polisi wawili

 walitosha



  kumshika na kumlaza chini na kumuweka Pingu.

 Ukiiangalia



  picha hiyo hukosi kujiuliza kiwango cha elimu

 kinachotolewa



  kwa Polisi wetu huko chuoni! Kuna mtu aliwahi kusema

 huwa



  wanafundishwa ukakamavu na gwaride tu. Ukilinganisha

 picha



  hizo na usemi huo huwezi kumkatalia aliyesema

 wanajifunza



  gwaride na ukakamavu tu. Hakuna busara ya

 kuwashugulikia



  wahalifu inatolewa. Hakuna aina ya maandamano na
namna

 ya



  kuyadhibiti. Hakuna elimu ya mahusiano na raia wema
ili

 kazi



  yao iwe nyepesi. Kuna mtu anauza viroba jirani yangu.

 Mpaka



  sasa najiuliza nimwambie nani? Vituko hivi ndani ya

 makala



  yangu sithubutu kumwambia Polisi. Nakubaliana na

 mengine



  yanayosemwa juu yao. Mambo haya hayawezi kuacha

 kutonesha



  vidonda myoyoni mwetu juu ya matendo ya Polisi.
Mauaji

 ya



  Mwangosi; Kuburuzwa ndani Lipumba wakati amewambia

 Polisi



  kuwa anakwenda kuwatawanya watu waliokuwa hawajui
kuwa



  mkutano umekataliwa; na mengine mengi tu.







  Ninakumbuka kusikia radio ujerumani wakielezea elimu
ya



  Polisi wao. Wanasema Polisi akikutana na mtu amelala



  barabarani cha kwanza wanadhani ana kisukari, au
kifafa

 au



  magonjwa mengine, kabla ya kufikiri ni mlevi. Polisi

 wana



  vifaa vya kupima kuhakikisha ana shida gani. Wa kwetu



  watapiga mateke na kusema ni mlevi. Mwigulu. Kati ya

 mambo



  ya kutopuuza ni elimu inayotolewa kwa asiakri wetu.

 Madaraka



  na wajibu wa Polisi wetu. Lakini niseme; Nitashangaa

 kama



  RPC wa Pwani ataendelea na kazi.







  Elisa Muhingo







  0767 187 507







  elisamuhingo@yahoo.com















    







             --







         







            







         







       







             Send Emails to wana...@googlegroups.com







         







            







         







       







              







         







            







         







         







           Kujiondoa Tuma Email kwenda







         







            







         







         







           wanabidii+...@ googlegroups.com 







         







       







            Utapata Email ya







         







       







             kudhibitisha ukishatuma







         







            







         







       







              







         







            







         







         







           Disclaimer:







         







            







       







         







             Everyone







        posting to this Forum bears







          the sole







         







            responsibility







         







             for any legal







        consequences of his or







          her postings,







         







           and







         







       







            hence







         







             statements and facts must be







        presented







          responsibly.







         







       







           Your







         







             continued membership signifies that







          you agree to







         







           this







         







             disclaimer and pledge to abide by







        our







          Rules and







         







            Guidelines.







         







            







         







         







           ---







         







            







         







             You received this







        message because you







          are subscribed







         







           to







         







       







            the







         







             Google Groups "Wanabidii"







          group.







         







            







         







         







           To unsubscribe from this group and







         







        stop receiving







         







         







         emails







         







             from







        it, send an email to wanabidii+...@







         







        googlegroups.com.







         







         







          







         







             For more







        options, visit







         







            https://groups.google.com/d/







          optout.







         







            







         







         







       







         







         







         







       







          --







         







          Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







         







           







         







       







          Kujiondoa Tuma Email kwenda







         







          wanabidii+unsubscribe@



  googlegroups.com 







         Utapata Email ya







         







        kudhibitisha ukishatuma







         







           







         







         







        Disclaimer:







         







          Everyone







        posting to this Forum bears the sole







       







        responsibility







          for any legal consequences







        of his or her postings, and







         hence







          statements and facts must be presented







        responsibly. Your







          continued membership







        signifies that you agree to this







         







        disclaimer and pledge to abide by our Rules

 and







          Guidelines.







         







          ---







         







         







        You received this message because you are







    subscribed







      to







         the







          Google Groups







        "Wanabidii" group.







         







          To unsubscribe from this group and stop







        receiving emails







          from it, send an email







        to wanabidii+unsubscribe@



  googlegroups.com.







         







          For more options,







        visit







       







        https://groups.google.com/d/



  optout.







         







       







          







       







     







      --







      Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







     







      Kujiondoa Tuma Email kwenda







      wanabidii+unsubscribe@



  googlegroups.com 







      Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







     







      Disclaimer:







      Everyone posting to this Forum bears the sole







     responsibility







      for any legal consequences of his or her

 postings,







    and







     hence







      statements and facts must be presented

 responsibly.







    Your







      continued membership signifies that you agree
to







    this







      disclaimer and pledge to abide by our Rules and







     Guidelines.







      ---







      You received this message because you are



  subscribed







    to







     the







      Google Groups "Wanabidii" group.







      To unsubscribe from this group and stop
receiving







    emails







      from it, send an email to

 wanabidii+unsubscribe@



  googlegroups.com.







      For more options, visit







      https://groups.google.com/d/



  optout.















  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com















  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@



  googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha



  ukishatuma















  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and



  Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed
to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@



  googlegroups.com.







  For more options, visit https://groups.google.com/d/



  optout.



























  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







   







  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya



  kudhibitisha ukishatuma







   







  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and



  Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed
to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.







  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment