Vegemboga-
Hao sio Waganga wa Jadi bali ni Wachawi ambao wanaojihusisha na ushirikina.
Mganga wa Jadi (Traditional Healer, Medicine man/Woman) anatumia tiba asili kwa kutumia mimea (miti, majani, magome ya miti na baadhi ya viungo vya wanyama mfano mifupa ambayo ina calcium, crab etc) kutibu maradhi. Dawa zake zikipimwa zina chemical elements ambazo ni dawa ya kutibu maradhi. Sio vinginevyo. Awe anatumia maua ya mimea kutibu kansa, atumie tubers, magome ya miti, majani, mizizi, mifupa etc sio pete ya hela au hirizi ya kushinda mpira au mbio za kimataifa-huo ni Uchawi. Mr Shigongo ametuanzishia Simulizi za kweli ambapo wachawi waliookoka wameweza kusimulia mambo yao. Inafundisha sana na utaona sayansi ya nguvu za giza ilivyo.
Tanzania ina Sheria ya Tiba Asili (The Traditional and Alternative Medicine Act No 23 of 2002-nimeambatisha) na kuna Mwongozo wake unaotumiwa na Tabibu Asili au Waganga wa Tiba Asili. Mwongozo na Sheria vinavyozingatia Sera ya Afya pia Miongozo ya WHO kuhusu traditional Medicine na WHO pia ina Tradtional Medicine Strategy inayosaidia kuongoza na kuboresha Tiba Asili Duniani.
Tanzania in Institute of Research in Traditional Medicine-Muhimbili School of Medicine na ina NIMR(National Institute for Medical Research) kwa Mama Malecela ambaye ameondolewa kwa sasa. NIMR inaangalia masuala ya Traditional Medicine pia ina kitengo maalum cha kuthibitisha dawa za tiba asili na magonjwa zinayotibu na kuandikia taarifa zake (Medical) baada ya Tafiti kufanywa na ITM na kuthibitishwa na NIMR na baadae Dawa husika inapata registration na Patent TFDA. Kuna process ndefu ya Tabibu au Mganga wa Tiba Asili kuandikishwa na kuthibitishwa kupata kibali cha kufanya kazi zake, kuandikisha ofisi yake ya Tiba na Wahudumu wake. Sheria inatoa ruhusa za mavazi, vifaa vya kutumia sio avae kama daktari wa muhimbili na kutumia vifaa vya hospitali atakavyo yeye-sheria inamzuia kujifanya medical doctor.
Wapo Tabibu Asili TZ waliosomea medicine Tanzania au China, India. Wakasomea pia Tiba Asili India, Pakistan au Afghanistan na hapa wakarithi Tiba Asili kutoka wazee wao. Wapo ambao hawakusoma ila wanajua kutibu na hii yao ni traditional knowledge. Wapo watafiti wa dawa za Tiba Asili ambao ktk tafiti hizo nao wanatumia dawa walizotafiti kutibu watu hata kama hawajaandikiswa kama Tabibu Asili. Tabibu Asili ambae hajasomea Tiba hiyo anatibu kwa kutumia miti shamba na anasaidia watu mpaka masuala ya uzazi, kutibu kansa, pumu, kuuga mifupa iliyovunjika etc. Kuna specialization pia katika Tiba Asili-waganga wa watoto wadogo-pediatricians, gynaecologists, wa kifua kama pumu na kambako, kutibu kichaa, kupooza na mifupa kuuma; macho, kifafa, kansa, nguvu za kiume ENT; kisukari na pressure ya juu etc
Wizara ya Afya ina Idara ya Tiba Asili, ina Baraza la Tiba Asili na wataalamu wa Tiba Asili ambao walisoma China kama Barefoot Doctors. Wizara mbalimbali zinahusika na Tiba Asili kutokana na kuwa inahusu misitu, Wanyama, urasimishaji na uangaliaji kemikali za miti/majani na athari zake; kuitambua miti inayotumika, upandaji na uliznzi. Alternative medicine na traditional medicine zina taasisi za serikali zinazosimamia hapa TZ. Ila, wapo matapeli kila kona, wadanganyifu ni wengi ambao wanaingiza masuala ya Freemason, uchawi wa kushinda mpira, kushinda kesi, bosi akupende wewe tu; mchumba akukubali within masaa 24 hakupi upinzani umtakaye anavutwa na kuja kukufuata. Jini la kuvuta hela etc. Cha kushangaza, Magazeti yanayotoa matangazo hayo yapo na hayafungiwi. Mabango yapo mtaani ktk serikali ya Mtaa na kwa sasa wanabandika kwenye kuta za open drainage canals. Wanagawa vipeperushi barabarani, vituoni, kwenye basi za abiria ambayo yana matangazo ya kishirikina-hirizi/dawa ya Freemason na kujiunga nao. Ipo framework for Intellectual Property Protection of Traditional Knowledge in Tanzania.
Miti shamba na mimea mingine ndio wanatengeneza GNLD, FOREVER Tabs, Juices, Alovera drinks, natural flours as medicine etc na madawa ya asili well packaged dunia nzima yapo kutoka nchi mbalimbali yanauzwa pharmacies, madukani na magulioni.
Hao wanaochanganya Tiba Asili na Uchawi wanakosea. Tabibu Asili ambayo inajumuisha pia Wakunga wa Jadi, Ngariba , Wavunaji, watengenezaji na wauzaji dawa za mitishamba wana vyama au Mashirika yao na wanawakilishwa katika Baraza la Tiba Asili la Wizara ya Afya, Maendeleo, Jinsia, Wazee na Watoto.
Kama utajiri unapatikana kwa pesa za majini, pete ya freemason-kwa nini yeye asiwe tajiri inafikia kuweka mabango ili apate wateja atajirike? Angewapa basi hata nduguze wa karibu, wa mbali kama yeye haruhusifi kutajirika hivyo. Hata marafiki angewapa. Ujinga huo hawana lolote ila wizi tu.
Kama Kawa nachangia.
--------------------------------------------
On Wed, 11/1/17, vegemboga@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:
Subject: [Wanazuoni] Re: Mobutu Alipokodi Ndege Kuwasafirisha Wachawi Kwenda Ujerumani..!
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Wednesday, 11 January, 2017, 19:25
Tell it to Waganga wa
Jadi wanaoweka vibao kupromise pesa za majini na ushindi wa
soka. Kila uchao Simba na Yanga wanachawiana. Hata timu za
mitaani kule kwetu Tandale Uzuri, Sinza Star, ... timu zetu
zikiwa na mechi, basi wachezaji wanavishwa hirizi, nazi
zinavunjwa na wanalala makaburini ili washinde
mechi.
---In Wanazuoni@yahoogroups.com,
<mjengwamaggid@...> wrote :
https://www.youtube.com/watch?v=u1RyqbcOmh0
__._,_.___
Posted by: vegemboga@yahoo.com
Reply
via web post
•
Reply to sender
•
Reply to group
•
Start a New
Topic
•
Messages in this
topic
(2)
Have you tried the highest rated
email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the
highest rated email app on the market. What are you waiting
for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook,
AOL and more) in one place. Never delete an email again with
1000GB of free cloud storage.
Visit Your Group
New Members
1
• Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
.
__,_._,___
#yiv5171191083 #yiv5171191083 --
#yiv5171191083ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mkp #yiv5171191083hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mkp #yiv5171191083ads {
margin-bottom:10px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mkp .yiv5171191083ad {
padding:0 0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mkp .yiv5171191083ad p {
margin:0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mkp .yiv5171191083ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-sponsor
#yiv5171191083ygrp-lc {
font-family:Arial;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-sponsor
#yiv5171191083ygrp-lc #yiv5171191083hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-sponsor
#yiv5171191083ygrp-lc .yiv5171191083ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083activity span {
font-weight:700;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083activity span span {
color:#ff7900;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083activity span
.yiv5171191083underline {
text-decoration:underline;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083attach div a {
text-decoration:none;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083attach img {
border:none;padding-right:5px;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083attach label a {
text-decoration:none;}
#yiv5171191083 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083bold a {
text-decoration:none;}
#yiv5171191083 dd.yiv5171191083last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv5171191083 dd.yiv5171191083last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
#yiv5171191083 dd.yiv5171191083last p
span.yiv5171191083yshortcuts {
margin-right:0;}
#yiv5171191083 div.yiv5171191083attach-table div div a {
text-decoration:none;}
#yiv5171191083 div.yiv5171191083attach-table {
width:400px;}
#yiv5171191083 div.yiv5171191083file-title a, #yiv5171191083
div.yiv5171191083file-title a:active, #yiv5171191083
div.yiv5171191083file-title a:hover, #yiv5171191083
div.yiv5171191083file-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv5171191083 div.yiv5171191083photo-title a,
#yiv5171191083 div.yiv5171191083photo-title a:active,
#yiv5171191083 div.yiv5171191083photo-title a:hover,
#yiv5171191083 div.yiv5171191083photo-title a:visited {
text-decoration:none;}
#yiv5171191083 div#yiv5171191083ygrp-mlmsg
#yiv5171191083ygrp-msg p a span.yiv5171191083yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083green {
color:#628c2a;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}
#yiv5171191083 o {
font-size:0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083photos div {
float:left;width:72px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083reco-category {
font-size:77%;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083reco-desc {
font-size:77%;}
#yiv5171191083 .yiv5171191083replbq {
margin:4px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mlmsg select,
#yiv5171191083 input, #yiv5171191083 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mlmsg pre, #yiv5171191083
code {
font:115% monospace;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-mlmsg #yiv5171191083logo {
padding-bottom:10px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-msg
p#yiv5171191083attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-reco
#yiv5171191083reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-sponsor #yiv5171191083ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-sponsor #yiv5171191083ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-sponsor #yiv5171191083ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-text {
font-family:Georgia;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-text tt {
font-size:120%;}
#yiv5171191083 #yiv5171191083ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv5171191083
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



No comments:
Post a Comment