"…… We are also in the forefront in destroying our own environment. Tembea uone mengi mijini, nje ya miji na vijijini…......, ..Hatujipendi, hatujitumi, hatujithamini-tunasubiri eti majipu yatumbuliwe kumbe nasi tu moyo wa jipu hilo wala hatushituki tunajirekebisha na kupenda kazi zetu. Nyingine ni organizational tui na networking. Tunaweza kubadili na kulinda mazingira na afya zetu bila ya kutegemea na kulaumu, kuudhi… . "
".....Unapofika kama mtumishi wa umma kukusanya kodi pale ambapo watu wanachakachua Mto (a River) na kuuharibu-ina maana unarasimisha uharibifu huo wa mazingira… .... sawa na kutoa leseni za kukata misitu kuuza bidhaa zake ukijua huyo mtu hana msitu na wala hujaukagua kuthibitisha anao. Unalalamika mazingira na misitu yapo at Risk wakati wewe muhusika ndio unayafanya yawe hivyo?...."
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment