Friday, 25 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Hivi Marekani ingesifia uchaguzi wa Tanzania watu humu wangekuwa wanatokwa mapovu kama dada yangu Hildergarda?
em

2016-03-25 4:13 GMT-04:00 'flein47' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mbona mtoa mada huulizagi tunapodhaminiwa hata matangazo ya uzazi wampango na marekani lkn kwenye uchaguzi unawashangaa? tumewaingiza wamarekani kila eneo so usiwashangae kuona wanatushauri kwenye mambo ya kisiasa.

Ungekua makini ungeanza kuhoji yale matangazo yanayoishia.......KWA UDHAMINI WA WATU WA MAREKANI!!

 'elias mhegera' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>
>Somo na ndugu yangu Elias Msuya upo sahihi kabisa serikali ya CCM wanafahamu kabisa kwamba wamepoteza mvuto walichobakiza sasa ni vitisho tu kutumia Jeshi la Polisi...
>
>Elias Mhegera
>Pan African Human Rights Defender
>Director of Research and Investigations 
>
>Tanzania Journalists for Human Rights Association (Journorights)
>Journalist and Counselor
>
>Tel: 255-0754-826272
>        255-0715-076272
>Email: mhegeraelias@yahoo.com 
>             mhegera@gmail.com 
>The only thing we have to fear is fear itself
>
>
>--------------------------------------------
>On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
>
> Marekani
> ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania. Kutofuatwa
> kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kuwa na Tume
> huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
> iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
> useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti wa CCM (Rais)
> ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya ulinzi na usalama
> yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
> kutakuwa na uchaguzi hapo?
> CCM
> inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi ndiyo maana
> inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa madaraka
> makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
> masilahi yake madarakani.
> Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
> ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
>
>
>
>
>    On Thursday, March
> 24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>  Mara
> baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na yaliyotokea Marekani
> ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania. Sababu
> mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar na
> 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya
> kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
> uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa dola.
>
> Majuzi baada ya uchaguzi
> Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi kufanyika bila
> waliogoma kushirikishwa.
>
> Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
> salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
> uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>  Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>   
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
>  kudhibitisha ukishatuma
>
>   
>
>  Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>  for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>  continued membership signifies that you agree
> to this
>  disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and Guidelines.
>
>
> ---
>
>  You received this
> message because you are subscribed to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop
> receiving emails
>  from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kuj

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment