Kim hicho ulichosoma hakikuwa kinaendana na mazingira halisi ya nchi yako bahati mbaya hata aliekufundisha alikumezesha tu.
Kama uamini 10/30tangu usome hiyo kitu bado wanafundishwa hivyo hivyo je nchi iko vile vile?
Muganda and Atu,
Nimesema vyama vya siasa, kikiwemo na chama tawala ndani.
Nieleweke hivi: sisemi haya kwa kuitetea CCM, vyama vyote vya siasa navichukulia kama magenge ya watu ambayo yanaweza kutumika kwa malengo mazuri au mabaya. Wafadhili na viongozi ndio wanaelewa mwelekeo wa chama!!!
Ndani ya vyama vyetu hatuna uwazi wa kutosha, kupata maamuzi ya wengi nayo ni kazi!! Wote tumeona mchakato wa kupata wagombea ndani ya CCM, CDM na CUF ulivyoenda kwenye uchaguzi uliopita. Kooote ilikuwa ni ubabe mtupu!!! Hakuna mahali maamuzi ya wengi yalifanya kazi yake inavyotakiwa. Na bado sisi ni wachanga sana kiuongozi, miaka 20+ kwenye siasa ya vyama vingi kwangu ni muda mchache sana wa kukomaa.Tukiachia vyama vya siasa vikapata wafadhili kutoka nje, itafika mahali watu kadhaa wenye tamaa na mali zetu watatafuta watanzania kadhaa, wawape ufadhili wa kuanzisha chama, kisimamiwe na pesa za matajiri hao. Mwisho wa siku tutawapa dola na wenye mikataba yao wataanza kunyonya rasilimali zetu kiulainiii bila bughudha. Hiyo ni plan ya miaka 20 tu and they are done!!!!
Nilisema itafika mahali tufanye hivyo, sijasema ifanywe hivyo kaka.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment