'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mapenzi ni chongo.
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
Sent: 27/03/2016 00:52
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
Marekani
ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania. Kutofuatwa
kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kuwa na Tume
huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti wa CCM (Rais)
ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya ulinzi na usalama
yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
kutakuwa na uchaguzi hapo?
CCM
inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi ndiyo maana
inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa madaraka
makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
masilahi yake madarakani.
Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
On Thursday, March
24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mara
baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na yaliyotokea Marekani
ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania. Sababu
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar na
2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya
kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa dola.
Majuzi baada ya uchaguzi
Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi kufanyika bila
waliogoma kushirikishwa.
Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsi --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment