Angalia cha kutoka Dailymail UK (attached) uone misaada yao inavyotumika kugharimia uharamia nchi nyingine. Watanzania moja la tatizo letu ni kutokupenda kusoma taarifa mbali mbali kujifunza yanayotokea kwa wenzetu ili tuyaepuke tusitumiwe au tufanye adaptation kwa yale mazuri tujiletee maendeleo. Tuliowengi tunapenda kusoma udaku tu au kile kitu cha kupinga tu cha ushabiki. Ndio maana mara nyingi tunatetea ujinga. Kwa wenzetu wasomi wazee wapo maktaba na ktk tafiti sisi wapo bar na dogodogo. Vijana hawana muda wa kusoma vya kuelimisha kila mtu ndani ya bus, kituoni yupo ktk WhatsApp. Huoni wanaosoma magazeti kila mmoja kafungua seksheni muhimu zaidi ya mpira au usanii kuona Diamond, Wema kulikoni!.Mizukule tulio Hai!! Weka Debate ya Kisiasa-tunajaa na Media kugonganisha Camera. Weka ya Uchumi jamii na maendeleo Shirikishi-utawaona hao walioandaa na waalikwa wao tu kama ni kutoka ktika gazeti-kurasa ya ndani. Ukurasa wa mbele daima ni Udaku tu!
Pamoja na kuwa na astrong man kama Magufuli, kuweka strong institutions, bado tutatakiwa kuwa humo ndani ya strong institutions wafanyakazi wanaofanyakazi efficiently na effectively wanaotenda haki. Pia, katika jamii-watu ktk jamii wanaojituma efficiently and effectively na kuweka malengo ya sustainable outcomes. Ukipata kwa kuzingatia misingi ya uzalishaji, unadumisha usibweteke unaanzia kupata kumi unakwenda juu kupata 30 per acre kwa mfano. Unaboresha maisha yako na ya jamii yako na kuchangia maendeleo yako. Hata kuwe na Rais mtendaji na mkali sana, bila ya taasisi tendaji kazi na wananchi wanaojituma tutarudi tu tulikotoka kwa JK Nyerere. Kajitahidi sana sana, kasema yote hakuna alilobakiza ktk miongozo-speech zake ukizisikiliza hadi leo unaona ni kitabu cha Mungu. Lakini-Tupo pale pale kama tumesongea mbele ni kidogo sana. Tunarudia mle mle tulikotoka. Hata ndani ya nyumba si baba pekee na mama ni pamoja na watoto wanaolelewa kuzingatia maadili wanayofundishwa ili nyumba iwe safi na salama na watoto wafikie malengo ya elimu.
Hata kama tuna katiba bora inayosema kila kitu na kuweka miongozo ya demokrasia-Katiba ndio inachapa kazi? Tanzania ina miongozo ya kila aina mpaka vitini vya ufundishaji ni kibao vya kila sekta almost nyingi tu. Watendani ni sisi. Hebu fika walikofundishwa Shamba Darasa uone kilimo kinakoendelea na experimental plots walihusika kikamilifu walisilima na kuzipanda wao kwa kuelimishwa. Hebu fika kwenye miradi ya maji na water User Associations (WUA) wameunda na kamati za maji, manuals wanazo, account yao ipo, hela wanakusanya na wana vituo vya maji-ni wao wanaolima kwenye vyanzo vya maji na kuharibu mfumo hautoi maji. Angalia sanitation manuals pia wanaporasimisha makazi mijini-Community Infrastructral Upgrading Program (CIUP). Wanaifanya shirikishi DSM yote na wanapanga wenyewe wapi pakae kitu au huduma gani. Barabara zinajengwa na huduma na kamati simamizi wanazichagua kidemomkrasia-ngoja mradi ukabidhiwe unapokamilika-wanarudia kama kwanza kubananisha maeneo, kuunganisha vyoo mitaro wazi, kutupa taka, viwanda navyo vidogodogo, Car wash maji kila mahala. Mbuzi zinazaa na sasa ugonjwa wa Zika inakuja kutuzika. Fika Africana, Fika Tegeta nje upande wa pili wa Kibo Complez uone maji ya kinyesi yanafotiririka utazania upo kati ya mto Ruvu. Yaani huo mtaro wazi ndio mto Ruvu wa maji ya kinyesi-wameunganisha wananchi wenyewe na hapo wanakula kuku na chips, ugali samaki kutwa kucha.
Anayekujibu hovyo zahanati au hospitali ni mtanzania mwenzako sio mchina. Mabango ya Malaria, Ukimwi, Minyoo, Usubi, Kipindupindu, Trachoma-yanagharimiwa mfano na Cliton Foundation, USAID, Australian Aid etc kuokoa maisha yako na kukupa hiyo IEC. Chandarua cha Bure unapewa na Mheshimiwa Rais ili kuonda malaria iishe. Lakini asiyelala ndani ya chandarua na anayezalisha mambu ni wewe. Anayetumia chandarua kubebea Chupa za plastiki ni wewe au mwanao, mumeo, mkeo? Hata kama Katiba inasema-Haki ya Afya upate chandarua bure na Clinton Foundatio inakuletea bue au inatoa hela unapewa kulingana na idadi ya watu nyumbani kwako-unauza, unafunikia vifaranga vya kuku visiliwe na mwewe!! Unadai Katiba lakini hudai msaada wa mbinu na wewe kusaidia kukoroga ubongo wa watu wako wabadilike. Unapodai haki ujue haki hiyo ni wajibu wako. Unadai haki ya Amani na Usalama-NGO inachukua hela za Wamarekani na kushiriki kubadili karatasi za kura; familia inaficha wahamiaji haramu, nyumba na kiwanda cha mtanzania vinaunganisha maji machafu kutiririsha mtarono, unalimbikiza mifugo unahamia misitu ya hifadhi na kuifanya iwe sakafu na unaua askari wa hifadhi?!
Ulaya wanaiba na kudanganya kuwa wanasaidia demokrasia kumbe wanasaidia kutuchanganya tujimalize wenyewe. Haya na tuwakubalie watakayo lakini tujue kuwa-Havitoshuka kama Mvua na wala Mangufuli peke yake hatoyaweza. Mswahili-nduma kuwili na sisi waafrica-wavivu. Watanzania-wavivu hata kusoma kuona mifano bora, kuifanyia mabadiliko tukaitumia kimaendeleo pale tulipo. Unaona kwa mwenzako kuna matunda na kisamvu-kazi yako ni hodi hodi kuoma sio kumuiga nawe ukawa kama yeye. Tuige nchi jirani masuala haya mazuri, tuige china, Uk, USA kwa mazuri yaftufaayo sio kusubiri misaada tu.
Tubadilike
--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 27 March, 2016, 2:24
Naam tuendelee na Mjadala. Wamarekani
ni wahuni na hawastahili kuaminika. Mtu anayewaamini huwa
namtilia mashaka juu ya uwezo wake wa kufikiri. Be honest
hata kama unaishi huko. Kwa demokrasia waliyo nayo uko
salama hata ukisema ukweli wako.
--------------------------------------------
On Sun, 3/27/16, emuganda@gmail.com
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, March 27, 2016, 1:57 AM
Elisa,
At least umekuwa honest. Tuendelee na mjadala.
em
Sent from my iPhone
> On Mar 26, 2016, at 6:35 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Namsemea. Wanaiba. Wanaiba kama Republican
walivyowahi
kuiba.
> --------------------------------------------
> On Sat, 3/26/16, emuganda@gmail.com
<emuganda@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, March 26, 2016, 9:31 AM
>
> Dada yangu haya yote ungeweza kusema
> katika paragraph mbili tu. Si lazima uandike kitabu.
Kwa
> mantiki yako CCM hawaibagi kura,
> em
>
> Sent from my iPhone
>
>>> On Mar 25, 2016, at 4:27 PM, Hildegarda
Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>> wrote:
>>
>>
>>
>> Mimi ni mtanzania mzawa tena mwana mapinduzi
> tuliolishwa sumu ya ujamaa toka wadogo young
pioneers,
> gwaride na vivalo vya TANU. Tupo sekondari
Mtwara-silaha
> mafunzo ya JWTZ kutokana na mreno akimaliza watu
Msumbiji.
> Hapo tulifundishwa silaha kali kuliko tulizojifunza
JKT.
> Haikuishia hapo chuo cha ualimu-cha Kijeshi. sasa
ukinieleza
> nilivyolelewa na TANU na CCM nikasoma elimu bure hadi
> ninazeeka na kupitia ukakamavu-huwezi ukanipeleka
kwenye
> kujiua mwenyewe kwa kuanzisha fujo za kipuuzi.
Walileta
watu
> wao kutoka China na ulaya wakakaa na vyama vya
mageuzi
> baadhi na kompyuta zao ili kubadili
matokeo-walifanikiwa kwa
> ZNZ waliwakamata TZ bara wakitumia NGO sifika.
Walipoona
> wamekamatwa mabeberu vijakazi wao-wakakimbilia
kujitangaza
> Urais. Unajitangaza mwenyewe. Nchi ingezubaa tu
wangetangaza
> Bara kuwa Lowasa kashinda kura. Yaani waanchakachua
kadi za
> kupiga kura, wanaprint zinaonekana real kubadilisha
matokeo.
> Si tuliona kwenye vyombo vya habari na mitandao
> walipowakamata? Sitotokwa povu hata bali
nitabeba
> mtutu kuikomboa nchi. Povu litawatoka wao waliojitoa
kupiga
> kura na kushiriki siasa kwa kudanganywa. Mwenzao yupo
Serena
> Hotel anakula Kuku na analipiwa na Mh Mangufuli.
> Akitembeap-analindwa na anapeperusha bendera ya nchi
> kuonyesha bado Makamu wa kwanza wa-Rais. Sasa
hakupiga
Kura,
> atakapotanganzwa mwingine atapeperusha bendera ipi?
Raha ni
> kwamba-bado atakuwa anakula hela za mafao ya umakamu
Rais
> mpaka kufa kama wanavyokula wengineo. Fikiria Serena
hotel
> (tumemuona katika mitandao) anakukula Kuku maalim
Seid
ni
> milioni ngapi matumizi yake kwa siku 9 million plus
> (ninakisia). Akikaa kwa mwezi na familia, walinzi ni
kiasi
> gani? Jee, huu si wizi kuwaibia Wa TZ?
>>
>> Kujipendekeza kwa USA na Ujerumani na mataifa
mengine
> ukasahau jinsi unavyokuwa nduma kuwili kwa wananchi
wako na
> taifa lako ni dhambi isiyo na msamaha. Povu
litakutoka
> unaowasaliti watakapoamka. Watuache wakae watatue
yao.
> wakawakomboe wenzetu Congo wanachinjana hovyo.
Tunahitaji
> maendeleo wasiturudishe nyumba. Tuache kuwa vibaraka.
> Sikilizeni hotuba za baba wa Taifa Mh JK. Nyerere
-Hakuna
> alilobakiza. Makaburu tunayo humu humu tuache unduma
kuwili.
> Tujali utaifa na maendeleo ya nchi yetu.
>>
>> Kwani hata hayo matangazo ya uzazi
tunayasingatia?
Hata
> ya Usubi, ya HIV, Kipindupindu etc hatujali.Sasa
imeingia
> Ebola ndio tutakwisha watu 2 wameshazikwa. Kama
hatuna
akili
> pungufu tungekuwa mbali na misaada health sector
lakini
> mbona bado tunakula ngisi, chicken chip zilizo wazi
na
> mainzi yamejazana kibao? Siku ya kunywa dawa za
matende
na
> usubi hatuendi kula? Lakini ukishawishiwa kuvuruga
AMANI
> nchini kwako-Wa Kwanza sio pale unapoambiwa usafi wa
> mazingira na kula dawa za kuzuia maradhi
yanayozuilika
na
> kuwa na tabia ya usafi. Ni ujambazi tu unaozingatia
na
> kuandamana. Lakini fahamu pia maadhi ya madawa
tunayoletewa,
> vaccines na miradi ya afya ni kutufanya guinea pigs.
Baada
> ya miaka 10-20 wanakufa kufanya impact evaluation ni
pamoja
> na kuona madhara gani yametokea TZ ukilinganisha na
Kenya,
> Nigeria, Hawaii. Hizo ni epidemiological longitudinal
> studies zao. Kule kwao dawa hiyo hiyo ina maelezo it
retards
> groth if use by children under 5. Huku kwetu-it
promotes
> growth. Mtajiju!
>>
>> Tunaweza tukaacha kupata misaada mingi sekta
nyingi
> tukaboresha kwa uwezo wetu. Lakini hata choo cha
kujisaidia
> na kila material ya kujenga ipo-tunakunya mtoni sisi
na
> mifugo na kuchota maji hapo hapo-Kinyaa. Eti mpaka
mzungu
> aje atusaidie kuboresha kujenga vyoo bora iwe VIPL,
CLTS,
> Compost latrines etc wakati wasomi kibao, mafundi
ujenzi
> vijijini, mawe, tope, maji yapo? Shame on us.
Unakwenda
> kwenu unamkuta baba kazi yake kuoa tu wake kila
akivuna
> mazao. Yeye na wake kibao na watoto wote
malnourished.
Wewe
> mtoto hufanyi kitu mpaka DHV, UNICEF, USAID ije na
miradi ya
> lishe na ulezi, mrama, mahindi, choya unalima
mwenyewe?!
> Aibu!
>>
>> Ndio tunapata misaada mingi kutoka nje ktk sekta
mbali
> mbali lakini hairasimishi wao kutuamulia kila kitu.
Hapa
> kazi tu!! Wanaanza kuona Africa tumeamka na pia
vita
> vinawamalizia hela. Wanaanza kuunda uhusiano
mwena
> wawekeze na kupata usalama ili Korea, China, Japan,
Russia
> isihamie Cuba, Argentina.
>>
>>
>> --------------------------------------------
>>> On Fri, 25/3/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI
NA
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Friday, 25 March, 2016, 17:26
>>
>> Hivi
>> Marekani ingesifia uchaguzi wa Tanzania watu humu
> wangekuwa
>> wanatokwa mapovu kama dada yangu
>> Hildergarda?em
>> 2016-03-25 4:13 GMT-04:00
>> 'flein47' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>> Mbona
>> mtoa mada huulizagi tunapodhaminiwa hata
matangazo
ya
> uzazi
>> wampango na marekani lkn kwenye uchaguzi
unawashangaa?
>> tumewaingiza wamarekani kila eneo so usiwashangae
> kuona
>> wanatushauri kwenye mambo ya kisiasa.
>>
>>
>>
>> Ungekua makini ungeanza kuhoji yale matangazo
>> yanayoishia.......KWA UDHAMINI WA WATU WA
MAREKANI!!
>>
>>
>>
>> 'elias mhegera' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>> Somo na ndugu yangu Elias Msuya upo sahihi
kabisa
>> serikali ya CCM wanafahamu kabisa kwamba
wamepoteza
> mvuto
>> walichobakiza sasa ni vitisho tu kutumia Jeshi la
>> Polisi...
>>
>>
>>> Elias Mhegera
>>
>>> Pan African Human Rights Defender
>>
>>> Director of Research and Investigations
>>
>>
>>> Tanzania Journalists for Human Rights
Association
>> (Journorights)
>>
>>> Journalist and Counselor
>>
>>
>>> Tel: 255-0754-826272
>>
> 255-0715-076272
>>
>>> Email: mhegeraelias@yahoo.com
>
>>
>>>
mhegera@gmail.com
>>
>>> The only thing we have to fear is fear itself
>>
>>
>>
>>> --------------------------------------------
>>
>>> On Fri, 3/25/16,
>> 'Elias Msuya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>>
>>
>>> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
GANI
> NA
>> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>>
>>> Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
>>
>>
>>> Marekani
>>
>>> ina shida na wizi wa kura unaoendelea
Tanzania.
>> Kutofuatwa
>>
>>> kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja
na
kuwa
> na
>> Tume
>>
>>> huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa
na
> Tume
>>
>>> iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye
> mgombea
>> halafu
>>
>>> useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa
> CCM
>> (Rais)
>>
>>> ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya
ulinzi
na
>> usalama
>>
>>> yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde
> uchaguzi,
>> bado
>>
>>> kutakuwa na uchaguzi hapo?
>>
>>> CCM
>>
>>> inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi
ndiyo
> maana
>>
>>> inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa
>> madaraka
>>
>>> makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili
> kulinda
>>
>>> masilahi yake madarakani.
>>
>>> Hili halikubaliki na Marekani na mataifa
mengine
>>
>>> ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
>>
>>
>>
>>
>>
>>> On Thursday, March
>>
>>> 24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
>> Wanabidii
>>
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>>
>>
>>
>>> Mara
>>
>>> baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na
yaliyotokea
>> Marekani
>>
>>> ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya
Tanzania.
>> Sababu
>>
>>> mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi
wa
>> Zanzibar na
>>
>>> 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao
ina
> haki
>> ya
>>
>>> kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
mtandao
>> kuvuruga
>>
>>> uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
>>
>>
>>> Majuzi baada ya uchaguzi
>>
>>> Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi
> kufanyika
>> bila
>>
>>> waliogoma kushirikishwa.
>>
>>
>>> Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
>>
>>> salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa
na
> tume
>> za
>>
>>> uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>>
>>> Send
>>
>>> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>>
>>> Utapata Email ya
>>
>>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>>
>>> Disclaimer:
>>
>>
>>
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>>
>>> responsibility
>>
>>> for any legal consequences
>>
>>> of his or her postings, and hence
>>
>>
>>> statements and facts must be presented
> responsibly.
>> Your
>>
>>> continued membership signifies
> that you agree
>>
>>> to this
>>
>>> disclaimer and pledge to abide by
>>
>>> our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>> ---
>>
>>
>>> You received this
>>
>>> message because you are subscribed to the
>>
>>
>>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>>
>>
>>> To unsubscribe from this group
and
> stop
>>
>>> receiving emails
>>
>>> from it, send an email to
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>
>>> For more options, visit
>>
>>> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>> --
>>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>>
>>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>> Disclaimer:
>>
>>> Everyone posting to
>>
>>> this Forum bears the sole responsibility for
any
>> legal
>>
>>> consequences of his or her postings, and
hence
>> statements
>>
>>> and facts must be presented responsibly. Your
>> continued
>>
>>> membership signifies that you agree to this
> disclaimer
>> and
>>
>>> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>> ---
>>
>>> You received this message
>>
>>> because you are subscribed to the Google
Groups
>>
>>> "Wanabidii" group.
>>
>>> To unsubscribe
>>
>>> from this group and stop receiving emails
from
it,
> send
>> an
>>
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>> For more options, visit
>>
>>> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>>
>>
>>> --
>>
>>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>> Utapata Email ya
>>
>>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>>
>>> Disclaimer:
>>
>>
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>> responsibility
>>
>>> for any legal consequences of his or her
postings,
> and
>> hence
>>
>>> statements and facts must be presented
> responsibly.
>> Your
>>
>>> continued membership signifies that you agree
to
>> this
>>
>>> disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
>>
>>> Guidelines.
>>
>>
>>> ---
>>
>>
>>> You received this message because you are
> subscribed to
>> the
>>
>>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>>
>>> To unsubscribe from this group and stop
receiving
>> emails
>>
>>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>
>>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>> --
>>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>> Kuj
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>> for any legal consequences of his or her
postings,
and
> hence
>> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>> continued membership signifies that you agree to
this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are
subscribed to
> the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>> for any legal consequences of his or her
postings,
and
> hence
>> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>> continued membership signifies that you agree to
this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are
subscribed to
> the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or
her
> postings, and hence statements and facts must be
presented
> responsibly. Your continued membership signifies that
you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules
> and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
subscribed to
> the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed
to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed
to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment