Saturday, 26 March 2016

RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Mimi navyoona, Marekani vyombo vya Dola haviegemei Chama chochote cha kisiasa. Huku kwetu vinaegemea upande mmoja. Ndilo tatizo kubwa. Siasa ingeachwa ichukue mkondo wake bila kuingiliwa na vyombo vya Dola, mambo yangekuwa murua! Hiyo ndiyo tofauti kubwa nayoiona.

> Date: Sat, 26 Mar 2016 21:55:41 +0000
> From: wanabidii@googlegroups.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
> Marekani inao mfumo wao wa uchaguzi. Wanauita Electoral Collage voting. Mfumo huo ukija Tanzania nitapendekeza wasomi ndio kura zao nyingi zitengeneze kura ya rais na watu wa vijijini kura zao chache zitengeneze kura za rais. Kinyume chake nchi itatumbukia kusikojulikana.
> --------------------------------------------
> On Fri, 3/25/16, 'elias mhegera' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, March 25, 2016, 9:39 AM
>
>
> Somo na ndugu yangu Elias Msuya upo sahihi kabisa serikali
> ya CCM wanafahamu kabisa kwamba wamepoteza mvuto
> walichobakiza sasa ni vitisho tu kutumia Jeshi la Polisi...
>
> Elias Mhegera
> Pan African Human Rights Defender
> Director of Research and Investigations 
>
> Tanzania Journalists for Human Rights Association
> (Journorights)
> Journalist and Counselor
>
> Tel: 255-0754-826272
>         255-0715-076272
> Email: mhegeraelias@yahoo.com 
>              mhegera@gmail.com 
> The only thing we have to fear is fear itself
>
>
> --------------------------------------------
> On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
>
> Marekani
> ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania. Kutofuatwa
> kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kuwa na
> Tume
> huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
> iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
> useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti wa CCM (Rais)
> ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya ulinzi na usalama
> yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
> kutakuwa na uchaguzi hapo?
> CCM
> inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi ndiyo maana
> inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa madaraka
> makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
> masilahi yake madarakani.
> Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
> ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
>
>
>
>
>     On Thursday, March
> 24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>    
>
>   Mara
> baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na yaliyotokea
> Marekani
> ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania. Sababu
> mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar
> na
> 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya
> kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
> uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa dola.
>
> Majuzi baada ya uchaguzi
> Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi kufanyika bila
> waliogoma kushirikishwa.
>
> Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
> salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
> uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>   Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
>    
>  
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
>   kudhibitisha ukishatuma
>  
>    
>  
>   Disclaimer:
>  
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>   for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
>   continued membership signifies that you agree
> to this
>   disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and Guidelines.
>  
>
> ---
>  
>   You received this
> message because you are subscribed to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>   To unsubscribe from this group and stop
> receiving emails
>   from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>  
>   For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>      
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment