Sunday, 27 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Hilda

Ni sawa. Lakini ukweli ni kwamba makala ndefu sana hazosomeki kwa ufasaha.


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?




Ukiona mtu yoyote kaandika kwa kirefu nawe una aleji ya kusoma vitu hivyo-just delete. Hulazimishwi kusoma chochote usichokipenda kifupi au kirefu. Akili za kuambiwa-changanya na zako (Kikwete).

Kama Kawa
--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, emuganda@gmail.com <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 27 March, 2016, 1:57

Elisa,
At least umekuwa honest. Tuendelee na mjadala.
em

Sent from my iPhone

> On Mar 26, 2016, at 6:35 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Namsemea. Wanaiba. Wanaiba kama Republican walivyowahi
kuiba.
> --------------------------------------------
> On Sat, 3/26/16, emuganda@gmail.com
<emuganda@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, March 26, 2016, 9:31 AM
>
> Dada yangu haya yote ungeweza kusema
> katika paragraph mbili tu. Si lazima uandike kitabu.
Kwa
> mantiki yako CCM hawaibagi kura,
> em
>
> Sent from my iPhone
>
>>> On Mar 25, 2016, at 4:27 PM, Hildegarda
Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>> wrote:
>>
>>
>>
>> Mimi ni mtanzania mzawa tena mwana mapinduzi
> tuliolishwa sumu ya ujamaa toka wadogo young pioneers,
> gwaride na vivalo vya TANU. Tupo sekondari
Mtwara-silaha
> mafunzo ya JWTZ kutokana na mreno akimaliza watu
Msumbiji.
> Hapo tulifundishwa silaha kali kuliko tulizojifunza
JKT.
> Haikuishia hapo chuo cha ualimu-cha Kijeshi. sasa
ukinieleza
> nilivyolelewa na TANU na CCM nikasoma elimu bure hadi
> ninazeeka na kupitia ukakamavu-huwezi ukanipeleka
kwenye
> kujiua mwenyewe kwa kuanzisha fujo za kipuuzi. Walileta
watu
> wao kutoka China na ulaya wakakaa na vyama vya mageuzi
> baadhi na kompyuta zao ili kubadili
matokeo-walifanikiwa kwa
> ZNZ waliwakamata TZ bara wakitumia NGO sifika.
Walipoona
> wamekamatwa mabeberu vijakazi wao-wakakimbilia
kujitangaza
> Urais. Unajitangaza mwenyewe. Nchi ingezubaa tu
wangetangaza
> Bara kuwa Lowasa kashinda kura. Yaani waanchakachua
kadi za
> kupiga kura, wanaprint zinaonekana real kubadilisha
matokeo.
> Si tuliona kwenye vyombo vya habari na mitandao
> walipowakamata?  Sitotokwa povu hata bali
nitabeba
> mtutu kuikomboa nchi. Povu litawatoka wao waliojitoa
kupiga
> kura na kushiriki siasa kwa kudanganywa. Mwenzao yupo
Serena
> Hotel anakula Kuku na analipiwa na Mh Mangufuli.
> Akitembeap-analindwa na anapeperusha bendera ya nchi
> kuonyesha bado Makamu wa kwanza wa-Rais. Sasa hakupiga
Kura,
> atakapotanganzwa mwingine atapeperusha bendera ipi?
Raha ni
> kwamba-bado atakuwa anakula hela za mafao ya umakamu
Rais
> mpaka kufa kama wanavyokula wengineo. Fikiria Serena
hotel
> (tumemuona katika mitandao) anakukula Kuku maalim Seid
ni
> milioni ngapi matumizi yake kwa siku 9 million plus
> (ninakisia). Akikaa kwa mwezi na familia, walinzi ni
kiasi
> gani? Jee, huu si wizi kuwaibia Wa TZ?
>>
>> Kujipendekeza kwa USA na Ujerumani na mataifa
mengine
> ukasahau jinsi unavyokuwa nduma kuwili kwa wananchi
wako na
> taifa lako ni dhambi isiyo na msamaha. Povu litakutoka
> unaowasaliti watakapoamka. Watuache wakae watatue yao.
> wakawakomboe wenzetu Congo wanachinjana hovyo.
Tunahitaji
> maendeleo wasiturudishe nyumba. Tuache kuwa vibaraka.
> Sikilizeni hotuba za baba wa Taifa Mh JK. Nyerere
-Hakuna
> alilobakiza. Makaburu tunayo humu humu tuache unduma
kuwili.
> Tujali utaifa na maendeleo ya nchi yetu.
>>
>> Kwani hata hayo matangazo ya uzazi tunayasingatia?
Hata
> ya Usubi, ya HIV, Kipindupindu etc hatujali.Sasa
imeingia
> Ebola ndio tutakwisha watu 2 wameshazikwa. Kama hatuna
akili
> pungufu tungekuwa mbali na misaada health sector
lakini
> mbona bado tunakula ngisi, chicken chip zilizo wazi na
> mainzi yamejazana kibao? Siku ya kunywa dawa za matende
na
> usubi hatuendi kula? Lakini ukishawishiwa kuvuruga
AMANI
> nchini kwako-Wa Kwanza sio pale unapoambiwa usafi wa
> mazingira na kula dawa za kuzuia maradhi yanayozuilika
na
> kuwa na tabia ya usafi. Ni ujambazi tu unaozingatia na
> kuandamana. Lakini fahamu pia maadhi ya madawa
tunayoletewa,
> vaccines na miradi ya afya ni kutufanya guinea pigs.
Baada
> ya miaka 10-20 wanakufa kufanya impact evaluation ni
pamoja
> na kuona madhara gani yametokea TZ ukilinganisha na
Kenya,
> Nigeria, Hawaii. Hizo ni epidemiological longitudinal
> studies zao. Kule kwao dawa hiyo hiyo ina maelezo it
retards
> groth if use by children under 5. Huku kwetu-it
promotes
> growth. Mtajiju!
>>
>> Tunaweza tukaacha kupata misaada mingi sekta
nyingi
> tukaboresha kwa uwezo wetu. Lakini hata choo cha
kujisaidia
> na kila material ya kujenga ipo-tunakunya mtoni sisi
na
> mifugo na kuchota maji hapo hapo-Kinyaa. Eti mpaka
mzungu
> aje atusaidie kuboresha kujenga vyoo bora iwe VIPL,
CLTS,
> Compost latrines etc wakati wasomi kibao, mafundi
ujenzi
> vijijini, mawe, tope, maji yapo? Shame on us.
Unakwenda
> kwenu unamkuta baba kazi yake kuoa tu wake kila
akivuna
> mazao. Yeye na wake kibao na watoto wote malnourished.
Wewe
> mtoto hufanyi kitu mpaka DHV, UNICEF, USAID ije na
miradi ya
> lishe na ulezi, mrama, mahindi, choya unalima
mwenyewe?!
> Aibu!
>>
>> Ndio tunapata misaada mingi kutoka nje ktk sekta
mbali
> mbali lakini hairasimishi wao kutuamulia kila kitu.
Hapa
> kazi tu!! Wanaanza kuona Africa tumeamka  na pia
vita
> vinawamalizia hela. Wanaanza  kuunda uhusiano
mwena
> wawekeze na kupata usalama ili Korea, China, Japan,
Russia
> isihamie  Cuba, Argentina.
>>
>>
>> --------------------------------------------
>>> On Fri, 25/3/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI
NA
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Friday, 25 March, 2016, 17:26
>>
>> Hivi
>> Marekani ingesifia uchaguzi wa Tanzania watu humu
> wangekuwa
>> wanatokwa mapovu kama dada yangu
>> Hildergarda?em
>> 2016-03-25 4:13 GMT-04:00
>> 'flein47' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>> Mbona
>> mtoa mada huulizagi tunapodhaminiwa hata matangazo
ya
> uzazi
>> wampango na marekani lkn kwenye uchaguzi
unawashangaa?
>> tumewaingiza wamarekani kila eneo so usiwashangae
> kuona
>> wanatushauri kwenye mambo ya kisiasa.
>>
>>
>>
>> Ungekua makini ungeanza kuhoji yale matangazo
>> yanayoishia.......KWA UDHAMINI WA WATU WA
MAREKANI!!
>>
>>
>>
>>   'elias mhegera' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>> Somo na ndugu yangu Elias Msuya upo sahihi
kabisa
>> serikali ya CCM wanafahamu kabisa kwamba
wamepoteza
> mvuto
>> walichobakiza sasa ni vitisho tu kutumia Jeshi la
>> Polisi...
>>
>>
>>> Elias Mhegera
>>
>>> Pan African Human Rights Defender
>>
>>> Director of Research and Investigations
>>
>>
>>> Tanzania Journalists for Human Rights
Association
>> (Journorights)
>>
>>> Journalist and Counselor
>>
>>
>>> Tel: 255-0754-826272
>>
>    255-0715-076272
>>
>>> Email: mhegeraelias@yahoo.com
>
>>
>>>           
   mhegera@gmail.com
>>
>>> The only thing we have to fear is fear itself
>>
>>
>>
>>> --------------------------------------------
>>
>>> On Fri, 3/25/16,
>> 'Elias Msuya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>>
>>
>>> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
GANI
> NA
>> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>>
>>> Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
>>
>>
>>> Marekani
>>
>>> ina shida na wizi wa kura unaoendelea
Tanzania.
>> Kutofuatwa
>>
>>> kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na
kuwa
> na
>> Tume
>>
>>> huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa
na
> Tume
>>
>>> iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye
> mgombea
>> halafu
>>
>>> useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa
> CCM
>> (Rais)
>>
>>> ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya ulinzi
na
>> usalama
>>
>>> yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde
> uchaguzi,
>> bado
>>
>>> kutakuwa na uchaguzi hapo?
>>
>>> CCM
>>
>>> inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi ndiyo
> maana
>>
>>> inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa
>> madaraka
>>
>>> makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili
> kulinda
>>
>>> masilahi yake madarakani.
>>
>>> Hili halikubaliki na Marekani na mataifa
mengine
>>
>>> ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
>>
>>
>>
>>
>>
>>>      On Thursday, March
>>
>>> 24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
>> Wanabidii
>>
>> <wanabidii@googlegroups.com>
>> wrote:
>>
>>
>>
>>>    Mara
>>
>>> baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na
yaliyotokea
>> Marekani
>>
>>> ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya
Tanzania.
>> Sababu
>>
>>> mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi
wa
>> Zanzibar na
>>
>>> 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao
ina
> haki
>> ya
>>
>>> kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
mtandao
>> kuvuruga
>>
>>> uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
>>
>>
>>> Majuzi baada ya uchaguzi
>>
>>> Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi
> kufanyika
>> bila
>>
>>> waliogoma kushirikishwa.
>>
>>
>>> Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
>>
>>> salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa
na
> tume
>> za
>>
>>> uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>>
>>>    Send
>>
>>> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>>
>>>    Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>
>>
>>>    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>>
>>> Utapata Email ya
>>
>>>    kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>>
>>>    Disclaimer:
>>
>>
>>
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>>
>>> responsibility
>>
>>>    for any legal consequences
>>
>>> of his or her postings, and hence
>>
>>
>>> statements and facts must be presented
> responsibly.
>> Your
>>
>>>    continued membership signifies
> that you agree
>>
>>> to this
>>
>>>    disclaimer and pledge to abide by
>>
>>> our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>> ---
>>
>>
>>>    You received this
>>
>>> message because you are subscribed to the
>>
>>
>>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>>
>>
>>>    To unsubscribe from this group
and
> stop
>>
>>> receiving emails
>>
>>>    from it, send an email to
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>
>>>    For more options, visit
>>
>>> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>> --
>>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>>
>>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>> Disclaimer:
>>
>>> Everyone posting to
>>
>>> this Forum bears the sole responsibility for
any
>> legal
>>
>>> consequences of his or her postings, and hence
>> statements
>>
>>> and facts must be presented responsibly. Your
>> continued
>>
>>> membership signifies that you agree to this
> disclaimer
>> and
>>
>>> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>> ---
>>
>>> You received this message
>>
>>> because you are subscribed to the Google
Groups
>>
>>> "Wanabidii" group.
>>
>>> To unsubscribe
>>
>>> from this group and stop receiving emails from
it,
> send
>> an
>>
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>> For more options, visit
>>
>>> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>>
>>
>>> --
>>
>>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>> Utapata Email ya
>>
>>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>>
>>> Disclaimer:
>>
>>
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>> responsibility
>>
>>> for any legal consequences of his or her
postings,
> and
>> hence
>>
>>> statements and facts must be presented
> responsibly.
>> Your
>>
>>> continued membership signifies that you agree
to
>> this
>>
>>> disclaimer and pledge to abide by our Rules
and
>>
>>> Guidelines.
>>
>>
>>> ---
>>
>>
>>> You received this message because you are
> subscribed to
>> the
>>
>>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>>
>>> To unsubscribe from this group and stop
receiving
>> emails
>>
>>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>
>>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>> --
>>
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>> Kuj
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings,
and
> hence
>> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>> continued membership signifies that you agree to
this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are
subscribed to
> the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>   
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>   
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings,
and
> hence
>> statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>> continued membership signifies that you agree to
this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are
subscribed to
> the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or
her
> postings, and hence statements and facts must be
presented
> responsibly. Your continued membership signifies that
you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules
> and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
subscribed to
> the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment