Marekani ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania. Kutofuatwa kwa misingi ya kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kuwa na Tume huru ya Uchaguzi ndiyo tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume iliyoundwa naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti wa CCM (Rais) ndiye huyo huyo anayeelekeza majeshi ya ulinzi na usalama yawanyanyase wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado kutakuwa na uchaguzi hapo?
CCM inajua wazi kwamba haipendwi na wananchi ndiyo maana inang'ang'ania Katiba iliyopo inayompa madaraka makubwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda masilahi yake madarakani.
Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
On Thursday, March 24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mara baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na yaliyotokea Marekani ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania. Sababu mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar na 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa dola.
Majuzi baada ya uchaguzi Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi kufanyika bila waliogoma kushirikishwa.
Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

No comments:
Post a Comment