'salhabakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Tote yatawezekana kama tutapata strong katiba, na sipbkatuba inayopendekezwa, na kwa staili ya kuipebdekeza. Maana kusema ndiyi, au hapana kwa katiba nzima, ni kichekesho. Kwa sababu. Kuna vipengele ni vizuri, na vingine ni vibaya. Sasa hapo unaranyaje!
SB
On Feb 23, 2016 3:41 PM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Haya mawazo ya strong man bila ujenzi wa strong institutions endeleeni nayo. Mazoea ya one man show yametufikisha hapa.
On Feb 23, 2016 01:11, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Au labda tunahitaji vyote.
Kikwete alijaribu kujenga vitu fulani. Mfano TAKUKURU. Akaiweka ukiisoma utadhani angalau rushw itapungua. Kwa kuwaa hakuwa Strongman TAKUKURU haikufanya kazi.
lakini pia 'a weakman' hawezi kujenga a 'strong instituition'.
Tunahitaji a strong man ili a stong community imshinikize kujenga a strong institution. Kwa sababu tumempata 'aa strong man' Tujitahidi kabla hajaondoka aache a strong institution.
Pamoja na juhudi zake kama strong man anaonekana ni mtu anayeweza kujenga a strong institution.
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, November 26, 2015, 8:44 PM
Exactly Muganda.
There you are.
Sent from my Huawei Mobile
Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:
Nadhani tunachohitaji kama
alivyosema Obama ni strong institutions na si strongmen.
Kama rais atatawala kinyume na matarajio yetu tukiwa na
strong institutions tutamkemea na yeye atachukua a
step back aone ni wapi ameteleza. Tumekaa kimya Kikwete
alipokuwa akivurunda kwa sababu hatuna strong institution ya
kumkemea. Leo tunasherehekea juhudi za Magufuli kwa sababu
ameanza kubomoa misingi mibovu aliyotuwekea Kikwete. What if
in another 10 years we get another Kikwete?We
shall keep quiet and hope for the best? The best start is a
new constitution that will tell the president in no
uncertain terms he is not above the
law.em
2015-11-26 12:20 GMT-05:00
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Suali ninalojiuliza, hiyo heshima ya Tanzania
inarudi kutoka wapi? And why and how did we get ourselves in
this mess ya heshima kupotea?And why were we so quiet
about it all this time?em
2015-11-26 7:51 GMT-05:00
Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Ni sawa kabisa Elisa, lakini hatutakiwi kuwa nyuma
ya watendaji wa serikali wanao 'over do it' ili
waonekane wanatekeleza kauli mbiu ya "hapa kazi
tu" maana kwa kufanya hivyo watawaumiza wananchi, ambao
mara nyingi hawana mtetezi.
2015-11-26 15:23 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Tunahitaji kuwa nyuma ya
magufuli katika haya anayoyafanya na kuwa tayari ukabiliana
naye pale tutakapoona haendi tunakotaka. wapi Kuweka mifumo
ambayo hata akija mwingine hataifumua. Mfano katiba. lazima
tanzania iwe na katiba nzuri. isiyomruhusu mathalan rais
kuwa na kijiji cha mawaziri. Isiyomruhusu rais kuchagua mtu
yeyote kuwa Mkuu wa EWilaya au Mkoa ili mradi amemfurahisha
mama Ngina au kacheza ngoma rais akaburudika.
Katika hilo hatuhitaji kukubali kila kitu. hapo tutajua kuwa
aje yeyote atalipeleka taifa linakostahili.
--------------------------------------------
On Thu, 11/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KWA MWENDO HUU HESHIMA YA
TANZANIA IKO KARIBU KURUDI
To: wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment