Monday, 22 February 2016

Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE

Point yako hii kali.
Mimi Mhaya. Kama naweza kukubali kuwa naishi nchi moja ya Tanganyika na mnyakusa wa mbeya ni ndugu yangu kwa sababu tu wajerumani waliamua hivyo halafu nakataa muungano uliotengenezwa na viongozi tuliowachagua utasema nina akili timamu?
--------------------------------------------
On Sun, 2/21/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, February 21, 2016, 10:52 AM

Muungano nani aliutaka? Ukilazimisha watu
kuungana watafika wakati watengane kwasababu ndoa ya lazima
ni ubakaji.
Sent
from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR
KWA NYERERE

Binafsi sijawahi kuelewa ni wapi
haswa Hizbu, CUF na SEIF wanataka kuipeleka ZANZIBAR!!

Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika. Lakini baada
ya kutumia nguvu shurti kero za muungano zishughulikiwe
mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU ZETU
KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.

Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.

Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka, na
wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari wasilojua
linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment