Elisa
Kwanini haya malalamiko yatolewe na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi? Kabla Maalim Seif kutangaza kuwa ameshinda Mwenyekiti wa Tume alikuwa busy kuchakachua kama kawaida yao. Alipoona ukweli umewekwa hadharani na ushahidi ndipo alipozidiwa akashindwa kuendelea kutangaza. Na hatimae kutokea yaliyotokea ya yeye kutangaza kuufuta uchaguzi akiweka hizo kasoro anazodai zilitokea Pemba
Kwa nini alalamike Mwenyekiti wa Tume na sio vyama vya siasa? Ina maana Pemba hakuna wanachama wa CCM ambao wangeweza kulalamikia hayo?
Siku ya uchaguzi kuna Naibu Waziri alikamatwa Pemba akiwa na gari namba Z745BZ likuwa na kura ambazo zilikuwa zimeshatiwa tick kwa Wagombea wa CCM. Ikumbukwe kwamba kabla ya Uchaguzi walijigamba kuwa Uchaguzi huu lazima watapata majimbo matano kisiwani Pemba lakini kwa vile Wapemba wanajua mbinu zao na wana msimamo mmoja hawakupata hata kata moja
Hizo propaganda za kupigwa na kufukuzwa kwanini zitolewe wakati wa kutangaza matokeo?
Zanzibar wapewe haki yao ya chaguo lao maisha yaendelee kwa sababu sasa hivi tunaishi kama vile nchi inaendeshwa na jeshi. Hali ya maisha imekuwa ngumu na mfumuko wa bei umekuwa mkubwa sana kiasi ambacho haijawahi kutokea Kisiwani hapa. Kilo moja ya nyama imefika Shs 12,000. Hali hii wengi tutaishia kuunga mchuzi mtupu maana hizo nyanya na vitunguu navyo havishikiki. Mateso ni makubwa kuliko mnavyotufikiria
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 2 Nov 2015 06:32:07
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
Jamani. nadhani ukweli unatakiwa kuhusu kilichotokea Pemba. Kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CCM walitimuliwa? Kuwa idadi ya kura ni nyingi kuliko idadi ya waliojiandikisha? Kuwa kura zilibebwa na watu na kwenda kuhesabiwa mahala pengine?
haya yakiwa kweli naweza kubadilisha msimamo na kuhizi ipo haia ya kurudia upigaji kura chini ya usimamizi makini na unaokubalika pande zote.
Swala la makamishena kuchapana-mmmH twaweza kutaka kujua kwa kiasi gani hii iliingilia matokeo
--------------------------------------------
On Sun, 11/1/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 1, 2015, 4:06 PM
Duuuh hii kali
Leo CUF kaiba baada ya Bihindi
kukamatwa na kura feki huko Pemba?
Nilikuwa napita tu
Fatma
Sent
from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.
-----Original
Message-----
From: "Amb. Ali"
<karume_ali@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 1 Nov 2015 10:46:27
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko]
Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
Hakuna akina Karume wanoitaka Cuf kushinda.
Maoni ya Mrs. Fatma O. Awadh (nee Fatma A. Karume) ni maoni
yake mwenyewe. Napendelea demokrasia iendelee lakini Rais
asichaguliwe na kura za wizi kama wanavyotaka Cuf. Tunataka
a free, fair and transparent election. Kilichotokea Pemba ni
massive rigging and electoral fraud. Hilo halikubaliki.
________________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com
<wanabidii@googlegroups.com>
on behalf of Leonard Chauka <leonejchauka@gmail.com>
Sent: Friday, October 30, 2015 3:25 PM
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: wanabidii; Wanazuoni@yahoogroups.com
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko]
Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
Kuna siku nilisema, watu ambao hawana data za
kutosha wasiandike kuhusu jambo kwa sababu watatoa taarifa
ambazo hazina ukweli. Hizi hoja za U-Hizbu, zinatumiwa na
watu wa CCM kuwagawa Wazanzibari. CCM haitakiwi Zanzibar.
Hivi Mzee Moyo, akina Himid akina Karume ambaye kutoka
moyoni anaitaka CUF lakini maslahi binafsi ndiyo
yanamchelewesha tu, Fatuma yeye ashachukua kadi tayari, je
hawa ni wapemba? Kama sio, u
Hizbu na u ASP
unatoka wapi? Hata Kama u- Hizbu umekuwa na nafasi, Kama
wananchi walio wengi wanautaka, tatizo liko wapi, si ni
demokrasia?
Sent from my
iPhone
> On 30 Oct 2015,
at 13:58, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:
>
> Hizbu
--
Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment