Monday, 2 November 2015

RE: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..

Fatma.

Mnahitaji maombi sana ili mwenyezi mungu afungue nyoyo za watawala waone nuru ya kutenda yale mema ili msije mkarudi mlikotoka kwani kutakuwa kubaya mno.  Ukweli mimi sikujua kuwa kuna chuki kubwa kiasi hiki kati ya Wazanzibari kiasi kwa wengine kuona dhulma, udanganyifu na roho mbaya ndio jibu ya matatizo ya Zanzibar (Unguja na Pemba).  Binafsi ninaamini kikinuka Unguja kwa njia yeyote na sisi wa bara hatutakuwa salama. Sasa hivi kuna watu wengi wazima wameanza kuondoka Zanzibar ambayo sio jambo nzuri na ni mzigo kwa walioko bara  na kwingineko wakati hali ya maisha nayo ni magumu.

Tuendelee kuomba Mungu asimamie na akemee wale wote wenye nia mbaya na kuitakia mabaya watu wa Zanzibar.

Poleni sana

Herment A. Mrema

> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
> To: wanabidii@googlegroups.com
> From: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 2 Nov 2015 16:15:44 +0000
>
> Elisa
>
> Kwanini haya malalamiko yatolewe na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi? Kabla Maalim Seif kutangaza kuwa ameshinda Mwenyekiti wa Tume alikuwa busy kuchakachua kama kawaida yao. Alipoona ukweli umewekwa hadharani na ushahidi ndipo alipozidiwa akashindwa kuendelea kutangaza. Na hatimae kutokea yaliyotokea ya yeye kutangaza kuufuta uchaguzi akiweka hizo kasoro anazodai zilitokea Pemba
> Kwa nini alalamike Mwenyekiti wa Tume na sio vyama vya siasa? Ina maana Pemba hakuna wanachama wa CCM ambao wangeweza kulalamikia hayo?
> Siku ya uchaguzi kuna Naibu Waziri alikamatwa Pemba akiwa na gari namba Z745BZ likuwa na kura ambazo zilikuwa zimeshatiwa tick kwa Wagombea wa CCM. Ikumbukwe kwamba kabla ya Uchaguzi walijigamba kuwa Uchaguzi huu lazima watapata majimbo matano kisiwani Pemba lakini kwa vile Wapemba wanajua mbinu zao na wana msimamo mmoja hawakupata hata kata moja
> Hizo propaganda za kupigwa na kufukuzwa kwanini zitolewe wakati wa kutangaza matokeo?
> Zanzibar wapewe haki yao ya chaguo lao maisha yaendelee kwa sababu sasa hivi tunaishi kama vile nchi inaendeshwa na jeshi. Hali ya maisha imekuwa ngumu na mfumuko wa bei umekuwa mkubwa sana kiasi ambacho haijawahi kutokea Kisiwani hapa. Kilo moja ya nyama imefika Shs 12,000. Hali hii wengi tutaishia kuunga mchuzi mtupu maana hizo nyanya na vitunguu navyo havishikiki. Mateso ni makubwa kuliko mnavyotufikiria
>
> Fatma
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Mon, 2 Nov 2015 06:32:07
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
>
>
> Jamani. nadhani ukweli unatakiwa kuhusu kilichotokea Pemba. Kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CCM walitimuliwa? Kuwa idadi ya kura ni nyingi kuliko idadi ya waliojiandikisha? Kuwa kura zilibebwa na watu na kwenda kuhesabiwa mahala pengine?
> haya yakiwa kweli naweza kubadilisha msimamo na kuhizi ipo haia ya kurudia upigaji kura chini ya usimamizi makini na unaokubalika pande zote.
> Swala la makamishena kuchapana-mmmH twaweza kutaka kujua kwa kiasi gani hii iliingilia matokeo
> --------------------------------------------
> On Sun, 11/1/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, November 1, 2015, 4:06 PM
>
> Duuuh hii kali
>
> Leo CUF kaiba baada ya Bihindi
> kukamatwa na kura feki huko Pemba?
>
> Nilikuwa napita tu
>
> Fatma
>
> Sent
> from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
> Tanzania.
>
> -----Original
> Message-----
> From: "Amb. Ali"
> <karume_ali@hotmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 1 Nov 2015 10:46:27
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko]
> Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
>
> Hakuna akina Karume wanoitaka Cuf kushinda.
> Maoni ya Mrs. Fatma O. Awadh (nee Fatma A. Karume) ni maoni
> yake mwenyewe. Napendelea demokrasia iendelee lakini Rais
> asichaguliwe na kura za wizi kama wanavyotaka Cuf. Tunataka
> a free, fair and transparent election. Kilichotokea Pemba ni
> massive rigging and electoral fraud. Hilo halikubaliki.
>
> ________________________________________
> From: wanabidii@googlegroups.com
> <wanabidii@googlegroups.com>
> on behalf of Leonard Chauka <leonejchauka@gmail.com>
> Sent: Friday, October 30, 2015 3:25 PM
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> Cc: wanabidii; Wanazuoni@yahoogroups.com
> Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko]
> Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
>
> Kuna siku nilisema, watu ambao hawana data za
> kutosha wasiandike kuhusu jambo kwa sababu watatoa taarifa
> ambazo hazina ukweli. Hizi hoja za U-Hizbu, zinatumiwa na
> watu wa CCM kuwagawa Wazanzibari. CCM haitakiwi Zanzibar.
> Hivi Mzee Moyo, akina Himid akina Karume ambaye kutoka
> moyoni anaitaka CUF lakini maslahi binafsi ndiyo
> yanamchelewesha tu, Fatuma yeye ashachukua kadi tayari, je
> hawa ni wapemba? Kama sio, u
> Hizbu na u ASP
> unatoka wapi? Hata Kama u- Hizbu umekuwa na nafasi, Kama
> wananchi walio wengi wanautaka, tatizo liko wapi, si ni
> demokrasia?
>
> Sent from my
> iPhone
>
> > On 30 Oct 2015,
> at 13:58, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Hizbu
>
> --
> Send Emails
> to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment