Monday, 2 November 2015

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..

Jamani. nadhani ukweli unatakiwa kuhusu kilichotokea Pemba. Kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CCM walitimuliwa? Kuwa idadi ya kura ni nyingi kuliko idadi ya waliojiandikisha? Kuwa kura zilibebwa na watu na kwenda kuhesabiwa mahala pengine?
haya yakiwa kweli naweza kubadilisha msimamo na kuhizi ipo haia ya kurudia upigaji kura chini ya usimamizi makini na unaokubalika pande zote.
Swala la makamishena kuchapana-mmmH twaweza kutaka kujua kwa kiasi gani hii iliingilia matokeo
--------------------------------------------
On Sun, 11/1/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, November 1, 2015, 4:06 PM

Duuuh hii kali

Leo CUF kaiba baada ya Bihindi
kukamatwa na kura feki huko Pemba?

Nilikuwa napita tu

Fatma

Sent
from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

-----Original
Message-----
From: "Amb. Ali"
<karume_ali@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 1 Nov 2015 10:46:27
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko]
Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..

Hakuna akina Karume wanoitaka Cuf kushinda.
Maoni ya Mrs. Fatma O. Awadh (nee Fatma A. Karume) ni maoni
yake mwenyewe. Napendelea demokrasia iendelee lakini Rais
asichaguliwe na kura za wizi kama wanavyotaka Cuf. Tunataka
a free, fair and transparent election. Kilichotokea Pemba ni
massive rigging and electoral fraud. Hilo halikubaliki.

________________________________________
From: wanabidii@googlegroups.com
<wanabidii@googlegroups.com>
on behalf of Leonard Chauka <leonejchauka@gmail.com>
Sent: Friday, October 30, 2015 3:25 PM
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Cc: wanabidii; Wanazuoni@yahoogroups.com
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko]
Uchambuzi: Zanzibar Inaumiza Kichwa..

Kuna siku nilisema, watu ambao hawana data za
kutosha wasiandike kuhusu jambo kwa sababu watatoa taarifa
ambazo hazina ukweli. Hizi hoja za U-Hizbu, zinatumiwa na
watu wa CCM kuwagawa Wazanzibari. CCM haitakiwi Zanzibar.
Hivi Mzee Moyo, akina Himid akina Karume ambaye kutoka
moyoni anaitaka CUF lakini maslahi binafsi ndiyo
yanamchelewesha tu, Fatuma yeye ashachukua kadi tayari, je
hawa ni wapemba? Kama sio, u
Hizbu na u ASP
unatoka wapi? Hata Kama u- Hizbu umekuwa na nafasi, Kama
wananchi walio wengi wanautaka, tatizo liko wapi, si ni
demokrasia?

Sent from my
iPhone

> On 30 Oct 2015,
at 13:58, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:
>
> Hizbu

--
Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment