Friday, 6 November 2015

Re: [wanabidii] HONGERA UKAWA MPEIPA NCHI SOMO

Asante sana kiwasila kwa kunikumbusha ingawa tunayemkumbusha anapenda kuyasikia yanayofurahisha nafsi yake na anaowafagilia

On Nov 6, 2015 7:25 PM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Umesahau mengine machache Fadhili-wajitahidi majimbo yao yawe ya MFANO kulinganisha yale wa wapinzani wao CCM. yaani waonyeshe utendaji mzuri katika matumizi ya mfuko wa jimbo, kutafuta hela za wahisani-marafiki zao na kufinance miradi ya wananchi inayotokana na mipango ya bottom-up ya priority za watu wao. Badala ya kutumia hela kuhonga watu wahame watumie katika miradi ya maendeleo inayoonekana sio katika malumbano bungeni, kulele, kutoka nje kisha wao kuota vitambi wakati uzembe wa CCM na wakwao ktk maendeleo jimboni unakuwa hauna tofauti ni sawa na nyani kucheka kundule. Hao UKAWA wasaidie NGO zao hizo za kisiasa zijihusishe na community-mobilization, education, organization for implementation of sustainable projects and programs for solving own problems. Wasitegemee vitashuka kama mvua na vitaletwa na fulani tu. Hapa Kazi tu!! Wote tubadilike kifikra tusiwe tegemezi kusubiri vituke tu! Kimatendo-kwa kufanyakazi kiufanisi, kuwa na mipango kibinafsi,
 kifamilia, kiukoo, kijamii ya kujitegemea tukijitambua na kujithamini ili kujiletea maendeleo.

Wabongoland, hata kukimbia kimataifa kuanzia EA na kidunia tunashindwa. Wakenya wanaogopwa dunia nzima kwa mbio. Nasi tuna makabila ambayo ni wakimbiaj. Lakini, lakini kufanya mazoezi-mpaka uwekwe hotelini upewe posho ndio ule zoezi na bado unakula na kulewa badala ya zoezi la nguvu. Umoja sio katika maneno, mabango, mapikipiki kupita mbio kugawa vipeperushi na kuichama CCM. Ni wapanzi wa UKAWA vyama vya siasa, NGO zao na jamii wanachama wao kuonyesha kiutendaji katima himaya zao practical examples za utendaji badala ya kukaa vijiweni. Tunangojea vishuke kama mvua! Mabadilikooooo! Lakini sisi wenyewe hatubadiliki kiakili na kiutendaji. Tunabwata ili tuonekane kuwa tunaipinga CCM na serikali yake ili donors wetu watupe funding zaidi. Ikija Evaluation ya utendaji wetyu kikazi katika majimbo yetu kuona hela za majimbo na za misaada zilivyotumika--hakuna tofauti na yule tunayempigia kelele na kumlaumu. Yonda ni Yonda tu kajisemea mmakonde!!

--------------------------------------------
On Fri, 6/11/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] HONGERA UKAWA MPEIPA NCHI SOMO
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Friday, 6 November, 2015, 18:11

 Mama Nkya umesahau
 kuwaambia ukawa ili wajijenge zaidi waachane na kufanyia
 hujuma ukiambiwa majimbo yako ni 10 usichukue majimbo ya
 wenzako na huko ni kuzigawa kura na kumsababishia mwenzako
 kushindwa kama walivyofanyiwa kina matatiro.
 Wakumbushe ili ukawa wafanikiwe waache kuchukua makapi
 kutoka ccm kama kina sumaye na kingunge wakisema cvm
 haijafanya jambo wakati  wao walokuwa watendaji wakuu.
 Pia umesahau kuwahusia kuws ili umoja huo uendelee
 chadema wasitafune ruzuku peke yao wawagawie na wenzao ambao
 waliwaunga mkono katika urais.
 Vile vile ungeeausia waende bungeni kupambana kwa hoja
 wtz hatutaki kuona migomo bungeni wakafanye kazi wakiyotumwa
 katika majimbo yao. Bado hujachewa wausie na hayo mama
 On Nov 6, 2015 5:16 PM,
 "'Mashaka Makana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Mama Nkya
 unanichanganya! Wewe ni mwanaharakati au mwanasiasa? 

 Sent
 from Yahoo Mail on Android  From:"'ananilea
 nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date:Fri, Nov 6, 2015 at 17:00
 Subject:[wanabidii] HONGERA UKAWA MPEIPA
 NCHI SOMO

  HONGERA UKAWA MPEIPA NCHI
 SOMO

 Na Ananilea Nkya

 Baada ya uchaguzi mkuu
 kukamilika,  Watanzania  wote  wanaopigania mabadiliko 
 ili  kila baada ya uchaguzi nchi  yetu ipate uongozi 
 uongozi
  utakaowezesha  mamilioni ya Watanzania wanaoteseka kwa
 umaskini kuondokana na umaskini  wao,  bila shaka
 watavipongeza  vyama   vinanyounda  Umoja wa Katiba ya
 Wananchi UKAWA.

 UKAWA
 wametoa somo kubwa kwa nchi yetu kuhusu changamoto kuu
 zinazokabili nchi yetu kufikia uchaguzi huru na wa haki kama
 nitakavyoeleza katika  makala hii.

 Aidha wanachama na viongozi wa CCM ambao
 waliamua kuchukua maamuzi magumu  kuondoka katika chama
 hicho  na kuungana na UKAWA katika kupigania mabadiliko nao
 wanastahili pongezi kubwa.

 Miongoni  viongozi hao ni   Edward Lowassa
 aliyekuwa mgombea Urais  CHADEMA –UKAWA ---ambaye
 ushawishi wake wa kisiasa umeacha historia  ya aina yake
 katika uchaguzi wa vyama vingi Tanzania.

 Wengine Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Waziri
 Mkuu mstaafu Mheshimiwa  Fredrick Sumaye na Waziri wa Mambo
 ya Ndani mstaafu Lawrence Macha.

 Viongozi
  hawa  wamejitoa mhanga kukubali kujishusha na kuwa sehemu
 ya harakati za  wananchi  kutafuta mabadiliko ya
 kunufaisha walio wengi.

 Tena  wamejitoa  bila kujali  kudhalilishwa
 kwa matusi   na kunyanyaswa na vyombo vya dola kama
 wanavyonyanyaswa wananchi  wa kawaida.

 Ninaamini  ni watu wasioitakia mema Tanzania
 na wasiojali maslahi ya Watanzania wengi ndio pekee
 watawabeza viongozi  hawa kutokana na uamuzi wao wa
 kuungana na wana mabadiliko.

 Lakini  Watanzania  wanaoelewa vema  mchango
 wa  uongozi  katika harakati za ukombozi watawapongeza na
 kuwatia   moyo viongozi hawa waliojitoa mhanga na kuthamini
 mchango wao katika kupigania  maslahi ya Watanzania  walio
 wengi  maana bila  viongozi  kujitolea ili kuleta 
 mabadiliko, mabadiliko hayawezi kupatikana.

 Zaidi ya yote  vyama
 vinavyounda UKAWA ambavyo ni 
  NLD,  NCCR-Mageuzi, CHADEMA Nna CUF  vinastahili pongezi
 kubwa kwa sababu  umoja wao katika uchaguzi wa mwaka huu
 umetoa somo jipya katika siasa za  vyama vingi Tanzania.

 Jambo moja kubwa  ambalo
 UKAWA wamewathibitishia Watanzania  ni kwamba vyama vya 
 upinzani vikishirikiana kwa dhati  na kujiandaa vema 
 kupata viongozi makini  na wenye dhamira ya kweli  ya
 kuleta  mabadiliko kweli  ya kunufaisha mamilioni ya
 Watanzania maskini,  wanashinda   uchaguzi kwa kura
 nyingi.

 Jambo muhimu zaidi
 sana   ambalo UKAWA  wametoa  somo kwa Watanzania katika
 uchaguzi huu  ni kwamba  nchi yetu bado ina safari ndefu 
 kufikia uchaguzi HURU NA WA HAKI unaowesha mshindi
 kutangazwa mshindi na si vinginevyo.  Je amani inaweza
 kutamalaki kwenye jamii yetu  kama uhuru na haki kwenye
 uchaguzi vitaendelea kuchezewa kwenye uchaguzi?

 Swali
  hili  msingi wake   ni mgogoro ulipo sasa  kuhusu
 kutotangazwa kwa  matokeo ya  mshindi katika uchaguzi  wa
 Urais Zanzibar  na  UKAWA kutokukubali matokeo  ya
 Urais.

 UKAWA  katika
 uchaguzi huu wametoa somo kwamba kuna matatizo makubwa
 matatu   yanayokwamisha uchaguzi huru na wa haki 
 Tanzania. Mambo hayo ni haya:
 1)   
 Walioko madarakani  kutokuwa na dhamira ya dhati (political
 willingness)  kuona mfumo wa siasa za vyama vingi
 ukistawi  na kuleta manufaa kwa  mamilioni ya Watanzania
 wanaoteseka kwa umaskini nchini. Dhamira inakosekana
 kutokana walioko madarakani kunufaika na  kuwepo kwao
 madarakani.
 2)     Mifumo ya  kisheria
 na kitaasisi iliyokuwa inatumika kutawala wakati wa mfumo wa
 chama kimoja cha siasa kuendelea kutumika katika mfumo wa
 vyama vingi hivyo kunufaisha chama kilikuwa madarakani.
 3)   
  Vyombo vya dola kutumika kisiasa kunyanyasa  wananchi 
 wanapodai haki  ya uchaguzi huru na wa haki.

 Hivyo  matatizo haya 
 yasipotafutiwa ufumbuzi wa  kikatiba  kabla ya uchaguzi
 mwingine 2020 tbila shaka  idadi ya wapiga kura 
 ikapungua  sana   uchaguzi ujao kutokana na wanachi kukata
 tamaa kwamba uchaguzi hauna manufaa yoyote kw amaisha
 yao.

 Lakini kibaya zaidi
 tusishangae  umaskini  ukiongezeka   mara dufu 
 miongoni  mwa  mamilioni ya Watanzania tuendako  maana 
 hata kama  serikali  ya Rais John Magufuli itafanya kazi
 kubwa na kuweza kukuza uchumi  kutoka asilimia saba (7%)
 ilivyo sasa na kufikia asilimia  kumi na tatu (13%) huenda
 uchumi huo usiwanufaishe Watanzania wengi wanaoteseka kwa 
 umaskini.

 Hii ni kutokana 
 Katiba na mifumo ya kiutawala iliyopo nchini hivi sasa 
 kutoa mwanya kwa watawala
  kujitajirisha  zaidi wao wenyewe kwa fedha  na mali za 
 za nchi  huku  mamilioni ya Watanzania  wakibaki maskini
 wa kutupa.

 Kwa hiyo  kazi
 kubwa aliyonayo Rais Dr John Magufuli, UKAWA,  vyama
 vingine vyote vya siasa  na Watanzania wote  ni kutafakari
 hatma ya mamilioni ya Watanzania wanaoteseka kwa umaskini 
 kwa kuzingatia  hayo matatizo  matatu niliyoyaainisha hapo
 juu.  Mungu Ibariki Tanzania.
  
 Note: Ninaridhia anayetaka kuchapisha andiko
 hili afanya hivyo lengo likiwa ni kujifunza tuijenge nchi
 yetu nzuri Tanzania.






 Ananilea Nkya
  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
 Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to
 this Forum bears the sole responsibility for any legal
 consequences of his or her postings, and hence statements
 and facts must be presented responsibly. Your continued
 membership signifies that you agree to this disclaimer and
 pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message
 because you are subscribed to the Google Groups
 "Wanabidii" group.
 To unsubscribe
 from this group and stop receiving emails from it, send an
 email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment