Emma. Wacha maneno hayo leo. yalistahili kuishia 24 October. Naamini ilijulikana ndiyo. Kuwa watanzania hawawezi kukosea kuipeleka nafasi ya urais mbali na magufuli aliyekuwa ndani ya chama kilichokuwa kimechafuliwa na waliokuwa CHADEMA. hakun a ndadhalia nyingine nyuma ya ushindi. Ni vizuri kufika mahala tukakubaliana na ukweli unaopatikana nje ya tulivyowaza.
--------------------------------------------
On Wed, 11/4/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Harufu ya urais ilianzia Kahama
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, November 4, 2015, 11:13 PM
Walishajua
mapema kwa sababu matokeo yalishapikwa na
NECem
2015-11-04 14:44 GMT-05:00
'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Harufu ya urais ilianzia
Kahama
HADI saa nne za asubuhi ya Oktoba 26 mwaka huu, mgombea
wa ya urais
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, alikuwa
anatumia
?mifumo na muundo wa kiprotokali? ya chama hicho tawala.
Lakini mfumo huo wa kiprotokali ulibadilika ghafla wakati
msafara wake
ulipowasili mjini Kahama, mkoani Shinyanga, ukitokea
wilayani Chato
ambako mgombea huyo alikwenda kupiga kura yake Oktoba 25,
Jumapili
iliyopita.
Kwa kawaida wakati wa kampeni Dk. Magufuli alitumia gari
la CCM na
wakati wote alikaa kiti cha mbele na kuhudumiwa kiulinzi na
maofisa wa
CCM wakisadiwa pia na maofisa protokali wa chama hicho.
Dk. Magufuli na timu yake ya kampeni waliamua kutumia
usafiri wa
barabara kurudi jijini Dar es Salaam akitokea Chato badala
ya usafiri wa
ndege uliozoeleka kwa viongozi wengi wa Tanzania.
Msafara huo uliwasili Kahama majira ya nne asubuhi na
kusimama katika
hoteli moja iliyoko pembezoni mwa barabara kuu ya
Kahama-Shinyanga, kwa
lengo la ?kuchimba? dawa.
Baada ya mapumziko hayo mafupi yaliyochukua dakika 10 hivi
Raia Mwema
lilishuhudia maofisa wa CCM na wale wa Idara ya Usalama
wakijadiliana na
kabla msafara kuendelea, Dk. Magufuli alibadilishiwa gari
na
?kukalishwa? kiti cha nyuma, hali iliyoashiria kuwa kuna
mabadiliko
katika mfumo wa kiprotokali.
Aidha mfumo wa kuendesha magari ulibadilika, kwa tahadhari
huku gari
la mgombea huyo likiwekwa kati na kuhakikisha kuwa hakuna
gari au kitu
chochote kitakachohatarisha usalama wake na ule wa msafara
mzima.
Wakati viongozi wa mikoa husika ambako msafara ulipita
kuanzia Geita,
Shinyanga, Tabora na Singida, walitokeza kumpokea
wakiongozwa na
makamanda wa polisi wa mikoa hiyo.
Moja wa maofisa wa juu wa CCM aliliambia Raia Mwema kuwa
wamefikia
uamuzi wa kubadilisha mfumo huo na kumkabidhi Dk. Magufuli
kwa timu
maalumu ya maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa, baada ya
kupokea
maelekezo kutoka ngazi juu.
Tumepokea maelekezo kutoka juu tubadilishe utaratibu na sisi
ni wajibu
kutekeleza amri,alieleza ofisa huyo bila ya kufafanua
zaidi.
Kuna kila dalili kuwa kwa taarifa za matokeo ya awali,
ushindi kwa CCM
unanukia na tumeongoza katika baadhi ya mikoa na majimbo
hivyo jukumu
la ulinzi sasa tunaliacha kwa timu maalumu ya watu wa
Idara,? alieleza
ofisa mwingine.
Msafara wa Dk. Magufuli ulipumzika juzi, Jumatatu, mjini
Dodoma na
uliendelea na safari ya kurudi Dar es Salaam kwa njia hiyo
hiyo ya
barabara, kusubiri matokeo ya mwisho ya uchaguzi huo wa
kihistoria
nchini. -
Chanzo Raia
Mwema
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment