Sunday, 27 September 2015

Re: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa

Ama kweli Njaa huvunja Imani, Njaa huvunja Maadili, mja anapokuwa ktk Njaa hata Uongo kwake huwa ni nyenzo . . . . tumsamehe Mr Mbatia


Sent from my LG Mobile


------ Original message------

From: 'ananilea nkya' via Wanabidii

Date: Sun, 27 Sep 2015 9:33 PM

To: wanabidii@googlegroups.com;

Subject:Re: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa


James Mbatia yuko vizuri sana. Hadi sasa  umma unamuona kama mtetezi mzuri sana wa wananchi wenye hali mbaya ya maisha kiuchumi. Mtu  anayemuona Mbatia tofauti, mtu huyo  ana lake jambo. Labda atakuwa ni mmoja wa watawala wa serikali ya CCM ambao wamejitajirisha kufuru kwa mali na rasilimali za nchi yetu Tanznaia, huku mamilioni ya Watanzania wakibaki masikini wa kutupa.Ananilea Nkya E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com--------------------------------------------On Sun, 9/27/15, 'jozackys' via Wanabidii  wrote: Subject: Re: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii"  Date: Sunday, September 27, 2015, 6:27 PM  Elisa tumekuchoka    'ELISA MUHINGO' via Wanabidii  wrote:  >Pamoja na kuwa nafikiri kuwa Rais Kikwete angeweza kupunguza safari zake lakini ukweli ni kuwa Mbatia ameonyeshqa sura yake asili ambayo ni kinyume na tulivyokuwa tunamuona. Tulimuona kama kiongozi anayetanguliza uzalendo kuliko itikadi. Baada ya kuona UKAWA inayumba ameamua kutumia kila kitu ikiwa ni pamoja na heshima yake. Kwa kweli Mbatia ana kazi kubwa sana kujiosha na huenda ikamgarimu muda kurudia pale tulipomdhania. > >-------------------------------------------- >On Sun, 9/27/15, fadhil fadhil  wrote: > > Subject: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa > To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"  > Date: Sunday, September 27, 2015, 5:43 PM >  > By > mkulimawakiteto >                      >                  >                  > Kadri siku za kufanya uchaguzi mkuu  > unavyokaribia ndivyo tunavyowajua wanasiasa wetu na kuwato > maana kwa  > kuwa wamekuwa wakionyesha uhalisia wao kwa kushindwa kuficha > asilia na  > hulka zao kwa jinsi walivyo akiwemo Mwenyekiti wa Nccr > Mageuzi Jemsi Mbatia. >  >    >  > Mbatia amekuwa mzushi na > Muongo katika  > harakati zake na Ukawa ili kuwaghiribu watanzania > wafanikishe kumpeleka  > ikulu Edward Lowassa kwa njia yeyote ile hata kama ni kwa > kusema uongo  > ili mradi tu mgombea wao ashinde uchaguzi mkuu bila > kuangalia athari za  > maneno yao ya uongo wanayojaribu kuyapandikiza vichwani mwa > watanzania. >  >  >  >    >  > Nilikuwa namchukulia Mbatia kama  > mwanasiasa mkweli na Mweledi na makini lakini nimekuja kujua > kuwa hayupo >  hivyo kama tulivyokuwa tukidhani watanzania wengi, Mbatia amekuwa kama wanasiasa > wengine wachumia tumbo ambao wamekuwa wakipoteza heshima zao > kila kukicha. >  >  >  >   Akizungumza hivi karibuni na waandishi wa habari Jemsi > Mbatia >  alidai kuwa ktika kipindi cha miaka 10 chenye wastani wa > siku 3,650  > Rais Kikwete amesafiri mara 409 na alikuwa akikaa nje ya > Tanzania kwa  > wastani wa siku tano katika kila safari hivyo jumla yake > kuwa 2,045. >  >  >  >   Mbatia akijumuisha > salafri hizo za rais Kikwete alisema jumla ya asilimia 56 ya > muda wake aliokaa madarakani hadi kufikia sasa, Mbatia >  alifika mabali zaidi kwa kusema uongo kwa kusema  hgarama > ambazo taifa  > imezibeba kutokna na safari hizo kwa mujibu wa safari hizo > ni trilioni  > 4.5. >  >  >  >   Serikali iliingilia kati uzushi huo na Mbatia >  na kueleza uhalisia wake. Wizara ya mambo ya nje na > ushirikino wa  > kimataifa ilitoa ufafanuzi kuwa tangu rais Jakaya Kikwete > aiingia  > madarakani mwaka 2005, kiasi kikubwa kabisa cha bajeti > kuwahi kutengwa  > kwa viongozi wakuu rais, makamu wa rais na waziri mkuu ni > shilingi  > bilioni 50 ambazo zilitengwa kwa mwaka 2014/2015. Kwa ajili > ya idara ya  > itifaki. >  >  >  >   Kwa miaka mingine yote imekuwa wastani kati ya bilioni 5 > mpaka 25  > kulingana na mahitaji ya idara husika ilisema taarifa hiyo > ya wizara ya  > mamabo ya nje. >  >  >  >   Hebu Tuangalie baadhi ya mafanikio ya safari za rais > kikwete tangu  > aingie madarakani, Inawezekana kuwa rais Kikwete ndiye kuwa > ndiye  > anayeongoza mara kwa mara kwa safari za kwenda Marekani  > kuliko tawala  > zote tatu zilizopita. >  >  >  > Katika ziara hizo za Marekani za rais Kikwete, wakati wa > utawala wa  > George Bush ulisaidia misaada ya kupambana na maralia dawa > na chanjo na  > vyandarua. >  >  >  >   Halikadhalika tulipatiwa msaada wa dola za kimarekani > million 700  > kupitia mfuko wa milleniam challenge (MCC) fedha ambazo > zimesaidia  > ujenzi wa barabara  za Mtwara-Masasi-Tunduru Songea hadi > Mbamba Bay na  > ile ya Rukwa hadi Sumbawanga. >  >  >  > Pia rais alifanya ziara katika nchi za Brazil na India  > ambapo katika  > ziara yake ya nchini India ilizaa mradi mkubwa wa kuboresha > miundombinu  > ya maji ndani jiji la Dar es Salaam pamoja na ujenzi wa > chanzo kipya cha >  maji cha katika mto Ruvu, Bagamoyo. >  >  >  >   Ziara za rais Kikwete nchini nBrazil ndizo zilizoiwezesha > Tanzania  > Kupata wataalam wa  mahiri katika utafiti wa gesi na miradi > iliyozaa  > ujenzi wa visima vya gesi  katikika mkoa ya Mtwara > uliopeleka umeme wa  > uhakika  kwa wana Mtwara. >  >  >  >   Safari za rais Kikwete nchini Korea zilileta matunda ya > ujenzi wa mto  > Magarasi  ambapo ujenzi wa mto huo umeufungua mkoa wa kigoma > ambao  > ulikuwa nyuma kimaendeleleo. Kigoma imefunguka kwa shughuli > zote za  > kiuchumi ikiwemo utalii ambazo zitaboresha maisha ya wana > Kigoma. >  >  >  >    >  > Hali kadhalika Ziara za rais Kikwete nchini China ilipelekea >  kuzaa  > ziara kubwa ya rais Xi Jinping wa china ambayo ilikuwa ziara > yake ya  > kwanza barani Afrika. Katika ziara ya  Xi wa china > tulishuhudia Tanzania >  ikiingia mikataba mikubwa 17 ya miradi mbalimbali  ya > kimendeleo  > isiyokuwa na hata chembe ya masharti  wala hasara kwa > Taifa. >  >  >  > Baadhi ya mikataba hiyo ni pamoja na ujenzi wa bandari ya > bagamoyo  > itakayokuwa  bandari kubwa kuliko zote ukanda wa jangwa la > Sahara la  > Afrika. Ujenzi wa viwanda vya aina mbali mbali ambapo ujenzi > wote huo  > utaongeza ajira nchini. >  >  >  >   Pia kulisainiwa mkataba wa ushirikiano wa kitaaluma > utakaowawezesha  > maelfu ya watanzania kupata ufadhili wa kusoma fani > mbalimbali katika   > vyuo vikuu nchini China kwa kufanya hivyo adui ujinga > tutazidi  > kumthibiti. >  >  >  >   Rais Kikwete amefanya juhudi kubwa za kutangaza vivutio > vya Utalii  > Nchini akiwa nje katika zira zake ambazop zimewasidi > kuongeza idadi ya  > watalii na safari za, Mashirika ya Ndege ya Qatar Airways, > Fly Dubai na  > Turkish Airlines kuongeza idadi ya safari zao nchini > Tanzania. Juhudi  > hizo zimesaidia kuwashawishi watalii wengi zaidi kuitembelea > Tanzania.  >  >  >  >   Idadiya watalii wa nje imeongezeka kutoka 1,095,884 mwaka > 2013 hadi  > watalii 1,102,026 mwaka 2014/2015.  Mapato yatokanayo na > utalii  > yaliongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 1,853 mwaka > 2013 hadi Dola  > za Marekani 1,983 mwaka 2014, sawa na ongezeko la asilimia > saba (7).  > Yote hayo kutokana na zira za rais Kikwete Nje ya Tanzania. >  >  >  >    >  > Mbatia anapaswa > anapoeleza hasara za  > Safari na gharama zake pia awe anaeleza faida ya safari hizo > lakini  > asipofanya hivyo atakuwa sawa na wanasiasa wengine wachumia > tumbo ambao  > huwapotea haraka katika tasnia nzima ya siasa hapa nchini.  >  >  >  >   Pia namalizi kwa kusema Tunajua kuwa hiki ni kipindi cha > uchaguzi ni vizuri Mbatia >  na wenzake wakatangaza ilani yao kuwa nini Watawafanyia > Watanzania  > badala ya kueneza uongo ambao huwa haudumu hata siku moja > kwa kuwa  > hautachuwa muda mrefu kugundulika na muenezaji wa uongo huo > kuishia  > kudharauliwa. >  >  >  > Namuhusia Mbatia badala > ya kutumia muda  > mwingi kuzua mambo ya uongo ni bora akatumia muda huo > kueleza na kunadi  > sera na ilani ya ukawa na kumsafisha mgombea wo Edward > Lowassa na kashfa >  mbalimbali za kifisadi zinazomundama. >  > 0789976314 >  >  >  >  > --  >  > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com >  >   >  > Kujiondoa Tuma Email kwenda  >  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya > kudhibitisha ukishatuma >  >   >  > Disclaimer: >  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility > for any legal consequences of his or her postings, and hence > statements and facts must be presented responsibly. Your > continued membership signifies that you agree to this > disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >  > ---  >  > You received this message because you are subscribed to the > Google Groups "Wanabidii" group. >  > To unsubscribe from this group and stop receiving emails > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >  > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. >  > >--  >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com > >Kujiondoa Tuma Email kwenda  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. >---  >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com  Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. ---  You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment