Mike,
Asante kwa comment yako. Kwanza hata jibu lililotolewa na wizara ya mambo ya nje ni misleading.
Katika kujibu tuhuma, taarifa ya Wizara ya Mambo ya nje, imezungumzia bajeti ya idara ya Itifaki ya Wizara tu kwamba ndiyo inayotumika mahsusi kugharamia safari za Kikwete.
Uhalisia ni kwamba gharama za Rais kwa ujumla ikiwa ni pamoja na safari zake hazitegemei bajeti ya Idara ya Itifaki tu bali Rais anaweza kutumia fungu linaloitwa "Consolidated Fund" chini ya Ofisi ya Rais, ambalo ni kubwa sana, na hilo huwa haliingiliwi, kuchunguzwa wala kuulizwa undani wa matumizi yake. Hata ripoti za CAG huwa hazichanganui kwa kina matumizi yake. Watu wa usalama wa taifa pia huwa wanachota kutoka huko.
Na ni katika fungu hili ambako fedha za safari za rais huchotwa. I am told katika kila safari dola milioni tatu huchotwa kwa matumizi hayo na zikibaki hurudishwa. Lakini hatuna taarifa yoyote kuwa fedha zimekuwa zinarudishwa katika mfuko huo pindi safari ya rais inapomalizika. The only time kuna ushahidi wa kurudishwa fedha hizo ulikuwa wakati wa Mwalimu Nyerere.
em
2015-09-27 15:23 GMT-04:00 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mugada, wenye ufupi wa kufikiri, hawakuzichukulia kwa unakini point za Mbatia. Kuna siku moja jamaa alituma humu mtandaoni misemo miwili mmoja wa Mwalimu na mwingine wa Mkapa vyote vikaja kuwa sawa kabisa na kauli zilizotolewa kuhusiana na Rais wetu, utadhani walitabili kuna mtu atakuja kusema hivyo.Mbatia amechukulia angalizo la kwamba, kuna viongozi wengine wangeliweza kufanya kazi hiyo hiyo aliyokuwa anaifanya Rais, kama mabalozi, hapa hutatumia hata senti ya nauli labda ghalama za simu tu. Njia nyingine ni waziri wa nchi za nje huyu ataambatana na delegation ndogo kuliko ile ya Rais. Isije ikadhaniwa kuwa watu hawapendi kumuona Rais akiende nje, laa hasha! Ila safari ziwe na umhimu wa pekee. Yes, tofauti nyinge ya safai isiyoya lazima inaweza ikahusiana na likizo, hilo nalo hakuna atayelipigia kelele mtu anaweza kwenda kupumzika popote kule anakotaska akapumzike.Juu ya siku alizokaa nje hizo siwezi kusema ziko sawa , mimi sifahamu, aliyezitaja inawezekana anazifahamu ndiyo maana kazisema, maana mtu akibisha, jamaa si yupo? Anaweza kukuletea kalenda naanaybishiwe na lakusema.On Sunday, 27 September 2015, 19:33, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
James Mbatia yuko vizuri sana. Hadi sasa umma unamuona kama mtetezi mzuri sana wa wananchi wenye hali mbaya ya maisha kiuchumi. Mtu anayemuona Mbatia tofauti, mtu huyo ana lake jambo. Labda atakuwa ni mmoja wa watawala wa serikali ya CCM ambao wamejitajirisha kufuru kwa mali na rasilimali za nchi yetu Tanznaia, huku mamilioni ya Watanzania wakibaki masikini wa kutupa.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Sun, 9/27/15, 'jozackys' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, September 27, 2015, 6:27 PM
Elisa tumekuchoka
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Pamoja na kuwa nafikiri kuwa Rais Kikwete angeweza
kupunguza safari zake lakini ukweli ni kuwa Mbatia
ameonyeshqa sura yake asili ambayo ni kinyume na tulivyokuwa
tunamuona. Tulimuona kama kiongozi anayetanguliza uzalendo
kuliko itikadi. Baada ya kuona UKAWA inayumba ameamua
kutumia kila kitu ikiwa ni pamoja na heshima yake. Kwa kweli
Mbatia ana kazi kubwa sana kujiosha na huenda ikamgarimu
muda kurudia pale tulipomdhania.
>
>--------------------------------------------
>On Sun, 9/27/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Mbatia na Ukawa uzushi na uongo
dhidi ya rais Kikwete haviwezi kumpeleka ikulu Lowassa
> To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, September 27, 2015, 5:43 PM
>
> By
> mkulimawakiteto
>
>
>
> Kadri siku za kufanya uchaguzi mkuu
> unavyokaribia ndivyo tunavyowajua wanasiasa wetu na
kuwato
> maana kwa
> kuwa wamekuwa wakionyesha uhalisia wao kwa kushindwa
kuficha
> asilia na
> hulka zao kwa jinsi walivyo akiwemo Mwenyekiti wa Nccr
> Mageuzi Jemsi Mbatia.
>
>
>
> Mbatia amekuwa mzushi na
> Muongo katika
> harakati zake na Ukawa ili kuwaghiribu watanzania
> wafanikishe kumpeleka
> ikulu Edward Lowassa kwa njia yeyote ile hata kama ni
kwa
> kusema uongo
> ili mradi tu mgombea wao ashinde uchaguzi mkuu bila
> kuangalia athari za
> maneno yao ya uongo wanayojaribu kuyapandikiza vichwani
mwa
> watanzania.
>
>
>
>
>
> Nilikuwa namchukulia Mbatia kama
> mwanasiasa mkweli na Mweledi na makini lakini nimekuja
kujua
> kuwa hayupo
> hivyo kama tulivyokuwa tukidhani watanzania
wengi, Mbatia amekuwa kama wanasiasa
> wengine wachumia tumbo ambao wamekuwa wakipoteza
heshima zao
> kila kukicha.
>
>
>
> Akizungumza hivi karibuni na waandishi
wa habari Jemsi
> Mbatia
> alidai kuwa ktika kipindi cha miaka 10 chenye
wastani wa
> siku 3,650
> Rais Kikwete amesafiri mara 409 na alikuwa akikaa nje
ya
> Tanzania kwa
> wastani wa siku tano katika kila safari hivyo jumla
yake
> kuwa 2,045.
>
>
>
> Mbatia akijumuisha
> salafri hizo za rais Kikwete alisema jumla ya asilimia
56 ya
> muda wake aliokaa madarakani hadi kufikia sasa, Mbatia
> alifika mabali zaidi kwa kusema uongo kwa
kusema hgarama
> ambazo taifa
> imezibeba kutokna na safari hizo kwa mujibu wa safari
hizo
> ni trilioni
> 4.5.
>
>
>
> Serikali iliingilia kati uzushi huo na
Mbatia
> na kueleza uhalisia wake. Wizara ya mambo ya nje
na
> ushirikino wa
> kimataifa ilitoa ufafanuzi kuwa tangu rais Jakaya
Kikwete
> aiingia
> madarakani mwaka 2005, kiasi kikubwa kabisa cha bajeti
> kuwahi kutengwa
> kwa viongozi wakuu rais, makamu wa rais na waziri mkuu
ni
> shilingi
> bilioni 50 ambazo zilitengwa kwa mwaka 2014/2015. Kwa
ajili
> ya idara ya
> itifaki.
>
>
>
> Kwa miaka mingine yote imekuwa wastani
kati ya bilioni 5
> mpaka 25
> kulingana na mahitaji ya idara husika ilisema taarifa
hiyo
> ya wizara ya
> mamabo ya nje.
>
>
>
> Hebu Tuangalie baadhi ya mafanikio ya
safari za rais
> kikwete tangu
> aingie madarakani, Inawezekana kuwa rais Kikwete ndiye
kuwa
> ndiye
> anayeongoza mara kwa mara kwa safari za kwenda Marekani
> kuliko tawala
> zote tatu zilizopita.
>
>
>
> Katika ziara hizo za Marekani za rais Kikwete, wakati
wa
> utawala wa
> George Bush ulisaidia misaada ya kupambana na maralia
dawa
> na chanjo na
> vyandarua.
>
>
>
> Halikadhalika tulipatiwa msaada wa
dola za kimarekani
> million 700
> kupitia mfuko wa milleniam challenge (MCC) fedha
ambazo
> zimesaidia
> ujenzi wa barabara za Mtwara-Masasi-Tunduru
Songea hadi
> Mbamba Bay na
> ile ya Rukwa hadi Sumbawanga.
>
>
>
> Pia rais alifanya ziara katika nchi za Brazil na India
> ambapo katika
> ziara yake ya nchini India ilizaa mradi mkubwa wa
kuboresha
> miundombinu
> ya maji ndani jiji la Dar es Salaam pamoja na ujenzi
wa
> chanzo kipya cha
> maji cha katika mto Ruvu, Bagamoyo.
>
>
>
> Ziara za rais Kikwete nchini nBrazil
ndizo zilizoiwezesha
> Tanzania
> Kupata wataalam wa mahiri katika utafiti wa gesi
na miradi
> iliyozaa
> ujenzi wa visima vya gesi katikika mkoa ya
Mtwara
> uliopeleka umeme wa
> uhakika kwa wana Mtwara.
>
>
>
> Safari za rais Kikwete nchini Korea
zilileta matunda ya
> ujenzi wa mto
> Magarasi ambapo ujenzi wa mto huo umeufungua mkoa
wa kigoma
> ambao
> ulikuwa nyuma kimaendeleleo. Kigoma imefunguka kwa
shughuli
> zote za
> kiuchumi ikiwemo utalii ambazo zitaboresha maisha ya
wana
> Kigoma.
>
>
>
>
>
> Hali kadhalika Ziara za rais Kikwete nchini China
ilipelekea
> kuzaa
> ziara kubwa ya rais Xi Jinping wa china ambayo ilikuwa
ziara
> yake ya
> kwanza barani Afrika. Katika ziara ya Xi wa
china
> tulishuhudia Tanzania
> ikiingia mikataba mikubwa 17 ya miradi
mbalimbali ya
> kimendeleo
> isiyokuwa na hata chembe ya masharti wala hasara
kwa
> Taifa.
>
>
>
> Baadhi ya mikataba hiyo ni pamoja na ujenzi wa bandari
ya
> bagamoyo
> itakayokuwa bandari kubwa kuliko zote ukanda wa
jangwa la
> Sahara la
> Afrika. Ujenzi wa viwanda vya aina mbali mbali ambapo
ujenzi
> wote huo
> utaongeza ajira nchini.
>
>
>
> Pia kulisainiwa mkataba wa ushirikiano
wa kitaaluma
> utakaowawezesha
> maelfu ya watanzania kupata ufadhili wa kusoma fani
> mbalimbali katika
> vyuo vikuu nchini China kwa kufanya hivyo adui ujinga
> tutazidi
> kumthibiti.
>
>
>
> Rais Kikwete amefanya juhudi kubwa za
kutangaza vivutio
> vya Utalii
> Nchini akiwa nje katika zira zake ambazop zimewasidi
> kuongeza idadi ya
> watalii na safari za, Mashirika ya Ndege ya Qatar
Airways,
> Fly Dubai na
> Turkish Airlines kuongeza idadi ya safari zao nchini
> Tanzania. Juhudi
> hizo zimesaidia kuwashawishi watalii wengi zaidi
kuitembelea
> Tanzania.
>
>
>
> Idadiya watalii wa nje imeongezeka
kutoka 1,095,884 mwaka
> 2013 hadi
> watalii 1,102,026 mwaka 2014/2015. Mapato
yatokanayo na
> utalii
> yaliongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 1,853
mwaka
> 2013 hadi Dola
> za Marekani 1,983 mwaka 2014, sawa na ongezeko la
asilimia
> saba (7).
> Yote hayo kutokana na zira za rais Kikwete Nje ya
Tanzania.
>
>
>
>
>
> Mbatia anapaswa
> anapoeleza hasara za
> Safari na gharama zake pia awe anaeleza faida ya safari
hizo
> lakini
> asipofanya hivyo atakuwa sawa na wanasiasa wengine
wachumia
> tumbo ambao
> huwapotea haraka katika tasnia nzima ya siasa hapa
nchini.
>
>
>
> Pia namalizi kwa kusema Tunajua kuwa
hiki ni kipindi cha
> uchaguzi ni vizuri Mbatia
> na wenzake wakatangaza ilani yao kuwa nini
Watawafanyia
> Watanzania
> badala ya kueneza uongo ambao huwa haudumu hata siku
moja
> kwa kuwa
> hautachuwa muda mrefu kugundulika na muenezaji wa uongo
huo
> kuishia
> kudharauliwa.
>
>
>
> Namuhusia Mbatia badala
> ya kutumia muda
> mwingi kuzua mambo ya uongo ni bora akatumia muda huo
> kueleza na kunadi
> sera na ilani ya ukawa na kumsafisha mgombea wo Edward
> Lowassa na kashfa
> mbalimbali za kifisadi zinazomundama.
>
> 0789976314
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment