Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

Muhingo unasema...
'Kama ni mfumo CCM imeonekana kuufumua ndiyo maana ikamtema Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui lini wameanza kuufumua huo mfumo wa ufisadi -past habits die hard. Kweli tunapoongolea siasa tunaongelea uendeshaji wa nchi, sio kamari, lakini ni muhimu kuwa na madiliko makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao umezidi kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni wakati sasa wa kubadilisha. Tuko kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko zaidi katika kuleta mabadiliko ya uendeshaji wa nchi. Lakini kumbuka Lowasa alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai anazo kashfa za ufisadi kama walivyo wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'. Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua bado. Ila kwa sasa tumjadili Lowasa kama ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa (ana wafuasi wengi wanaoangalia mazuri yake), na ndio maana UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake. lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu wake katika kutenda, sitaki kueleza hapa mfano wa mazuri aliyoyatenda wengi wanayafahamu. 
Tuzidi kutafakari!
John





On Tuesday, July 28, 2015 12:48 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


John.
Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo mbovu upi wa CCM?
Ninayemuongelea mimi ni Lowasa aliyekuwa akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa ambaye katika kukusanya kura za maoni ameonekana kutoa pesa kupindukia. namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao lazima ataongozana nao UKAWA  ni Chenge, Lostam, Karamagi na wengine. naongelea Lowasa ambaye kila aliyeona anavyotumia pesa alizosema anapewa na marafikizake alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata atakakokuwa. UKAWA inajiandaaje kumsaidia Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo na mengine yanayofanana nayo na ndugu John tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa manufaa ya watu wote.
Kumbuka watanzania walipokuwa wanajenga imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za vyama au magwanda wanayovaa. Ni ahadi zilizokuwa zinaonyesha kutambuliwa kwa matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana kuufumua ndiyo maana ikamtema Lowasa. Watanzania wanataka mabadiliko. Wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema akina Lowasa.
Nawaza kuwa huenda wakayafurahia mabadiliko kwa sababu  hawana chuki na CCM ila mfumo. Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie John kunielewesha zaidi.

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:08 PM

najaribu
kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa mtazamo
wangu hili halina shida kwenye siasa. lazima tukubali kwenda
na mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
pia tujifunze na siasa za nchi nyingine. wakati Kibaki
alipohama KANU Alisingiziwa ni fisadi lakini akashinda
uraisi, na tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya
changamoto za upinzani. maendeleo pia yamepatikana. Ugomvi
wa ufisadi nchini sio wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu
wengi hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo
ni mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya kuingia UKAWA. kama
alikua ni fisadi kwa nini hadi leo hakuna hatua zozote
zilizochukuliwa dhidi yake? sasa basi kama lowasa anahamia
UKAWA ataendana na mfumo na sera za UKAWA ambazo zinagiga
vita ufisadi wa kimfumo sio wa mtu mojamoja ili kuleta
ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya siasa
nchini kwa hiyo kama lengo la UKAWA ni kushika dola njia
iliyotumika ni sahihi. The ends justify the means. Ndugu
Muhingo inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi ya
siasa na kuelewa hasa maana ya mageuzi.wasalaamJohn
 



    On Tuesday, July 28,
2015 10:31 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

   

  Molel nadhani una
matatizo. Toka tumepata uhuru siasa za Tanzania zinasema
maadui wetu ni Ujinga, Maradhi na umaskini. How comes you
are telling people that in Politics we dont have permanent
enemies. It is America that dont have permnent friends
though you can not creat enemities beterrn it and Israel.
usyaly we dont have enemity with people but their
behaviours. Hooligans cant change just because they have
changed memberships of political parties
--------------------------------------------
On Mon, 7/27/15, 'Lesian Mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
TU
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Monday, July 27, 2015, 2:16 AM
 
  Elisa muhingo,siasa hujui
  na hutakaa ujue coz unalazimisha ubongo wako
kwenda
  kusikotakiwa mzee,read here
carefully' in politics we
  dont have a
permeernent enemy' elewa bro au niweke kwa
  kiswahiki sanifu....kwenye siasa hakunaga
uadui wa kudumu
  ,,,,,,,

Remeber slaa katoka ccm'sasa
  lowasa
kuingia chadema ni shida mzee,kwann asiingie ilhali
  ni mtanzani na hana hatia yeyote na ana mengi
ambayo anayo
  sirini na kibaya zaidi anungwa
na watu wengi ambao nyinyi
  hamuwaoni
kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa wanaona'stop
  your eneminity bropeace and love...usije ufe
na dhambi ya
  chuki

Lesian
 
  Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
  wrote:
 
  Tuwe
na subira, ccm wameshatangaza wa kwao,

tusubiri na wengine ukawa chadema cuf adc act, na tuone
sera
  na ilani ya kila mmoja, hatuwezi
kufanya maamuzi kwa mwali
  mmoja aliyechezwa
ngoma wakati wengine bado wako kwa
  shangazi
na kungwi.
 
  Hatujazijua
sera za ccm na ilani yao ya
  uchaguzi, hivyo
hivyo kwa ukawa na wengine, kipenga

kikishapulizwa na kila mmoja akaanza kujinadi ndipo
  tutafanya maamuzi. Tukizidisha makelele
tutawachanganya
  wazee wetu, tutulie
kwanza.
 
  2015-07-26 22:51
GMT+03:00
  'jbifabusha' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Mtalika.
  Una mapenzi ya
kupitiliza kwa CCM.
  kwani ni lazima UKAWA
kuweka mgombea? Usituchoshe na
  ngonjera
zako.
  WSent from Samsung

Mobile
 
 

-------- Original message
  --------
  From: 'mpombe mtalika' via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 
  Date: 

To: ELISA
  MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 
  Subject: [wanabidii] UKAWA
SUMU HAIONJWI
  HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

 
 
 
 
 
 
  Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu
chama
  tawala
  kutangaza
mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
 
 
 
 
 
  Hapo nyuma
UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri

kwa
  umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili
wajipange
  kumsambaratisha. Baada ya
uteuzi
  wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama
wameingia kizunguzungu na
  kigugumizi,
maana
  mahesabu yao yamegota vibaya.
 
 
 
  Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA
unapewa
  uhalali tu na makosa ya
  chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo
yao safi na kwa
  umakini, UKAWA
  wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa
vile wao wenyewe
  hawana unifying
  ideology, apart from being reactionary!
 
 
 
  Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA,
kushindwa vibaya
  kukubaliana juu ya
  mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa
UKAWA ni utapeli
  wa kisiasa kati ya
  mambumbumbu wanao wania urais.
 
  Hawajui nni awawakilishe na
hawajui huko wanaenda kufanya
  nini.Hii ni
hatari kubwa!
 
  Watu
wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea
  watainunua UKAWA wakati

wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za
dola
  ili wanufaike

kiuchumi. Lakini wananchi makini wanaendekea
  kugutuka.
 


  Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania
na huko kuna
  watu
  makini
kitaifa.
 
  Simpigii debe Dr
Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa

kumtangaza Lowassa kuwa
  fisadi, halafu kula
matapishi yake bila maelezo na
  kumkaribisha
fisadi huyo
  huyo kukipigia debe chama
chao.
 
 


  Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani
makini utakao
  sahihisha kama sio
  kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa
kukumbatia ufisadi
  ulio temwa na chama
  tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na
Karamaga and co.
  iliwagawane rasilmali
  za nchi hii.
 
 
 
  Mungu
bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa
  kukaribia
  kusambaratika kwani
hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na
  kwa
madhumuni gani
  kwa mwananchi wa kawaida.
 
 
 
  Sumu haionjwi
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
  --
 
  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda


  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 

You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment