Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

Sawa kabisa Mike,
Lakini huyo mtu ili aweze kufumua mfumo ni lazima kuwe na misingi ya kikatiba inayompa nguvu nguvu na zaidi inayoupa umma nguvu.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 4:05 PM

Kwenye
dunia ya leo jenda siyo hoja, tumekuja kuelewa na kuamin
zaidi kuliko pale mwanzo kuwa binadamu ni sawa, kwa hiyo
suala la kutoa nafasi sawa kwa wanawake na wanaume liko
sahihi, ila tu nafasi kama hizo zisitolewe kwa lengo eti
kuweka usawa, kuwe na nia njema ya kufanya hivyo, naamini
kabisa hata kusudi lingelikuwa ni lazima kuwa na Spika
mwanamke, kuna kinamama wengi tu makini hawakupewa hiyo
nafasi na ninaamini wangelifanya kazi bora kuliko kuwa mtu
mwenyenafasi nyetu kama hiyo kuwa msemaji wa chama. Je kwa
nini binadam ni vigumu kunakili kwa watu
wengini?Sipingani
sana na yule mtu anayesema mtu mmoja anaweza akawa chanzo
cha kufumua mfumo uliopo, inawezekana kabisa, kwa mfano Rais
akijitoa kupambana na walio chini yake wale watakaovunja
miiko ya uongozi, anaweza. Anakataa kata kata kugeuzwa kuwa
jiwe la chumvi at any cost. Siyo mtu
kuanza uongozi kwa nguvu na kadiri muda unavyopita nguvu
zinazidi kufifia na kuwa mtizamaji kama wengine wasiokuwa na
mamlka hayo.



On Tuesday, 28 July
2015, 15:36, 'ananilea nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Hapana John,
Mfumo unafumuliwa kwa kuweka misingi, siyo mtu
mmoja (Rais). Misingi ya kufumua mfumo  Katiba ya Wananchi
CCM waliizika pale Dodoma. Tusijidanganye. Tulidanganywa
Bunge likiongozwa na mwanamke litakuwa poa kwa wananchi-je
ni kweli Bunge lililoongozwa na mwanamke limesaidia wananchi
au limewaumiza zaidi?
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
TU
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:39 PM

Muhingo

unasema...'Kama
ni mfumo CCM imeonekana
kuufumua ndiyo maana ikamtema

Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa
kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui
lini wameanza
kuufumua huo mfumo wa ufisadi
-past
habits die hard. Kweli tunapoongolea
siasa tunaongelea
uendeshaji wa nchi, sio
kamari, lakini ni muhimu kuwa na
madiliko
makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni
miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao
umezidi
kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni
wakati sasa wa
kubadilisha. Tuko
kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua

silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko
zaidi
katika kuleta mabadiliko ya
uendeshaji wa nchi. Lakini
kumbuka Lowasa
alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema
sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai
anazo kashfa za
ufisadi kama walivyo
wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'.

Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na
kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua
bado. Ila kwa sasa
tumjadili Lowasa kama
ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini

lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye
mvuto
kwa sasa (ana wafuasi wengi
wanaoangalia mazuri yake), na
ndio maana
UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake.
lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu
wake katika
kutenda, sitaki kueleza hapa
mfano wa mazuri aliyoyatenda
wengi
wanayafahamu. Tuzidi
kutafakari! John

 




    On Tuesday, July 28,

2015 12:48 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

   

  John.

Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo
mbovu upi wa CCM?

Ninayemuongelea mimi ni
Lowasa aliyekuwa
akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani

na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa
ambaye katika kukusanya kura za maoni
ameonekana kutoa pesa
kupindukia.
namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao
lazima ataongozana nao UKAWA  ni Chenge,
Lostam, Karamagi
na wengine. naongelea
Lowasa ambaye kila aliyeona
anavyotumia
pesa alizosema anapewa na marafikizake

alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea
kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata
atakakokuwa. UKAWA
inajiandaaje kumsaidia
Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo
na mengine yanayofanana nayo na
ndugu John
tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au

mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa
manufaa
ya watu wote.

Kumbuka watanzania walipokuwa
wanajenga
imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa
hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za
vyama au
magwanda wanayovaa. Ni ahadi
zilizokuwa zinaonyesha
kutambuliwa kwa
matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na

UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana
kuufumua
ndiyo maana ikamtema Lowasa.
Watanzania wanataka mabadiliko.
Wakiyakosa
ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM

imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema
akina Lowasa.
Nawaza kuwa
huenda
wakayafurahia mabadiliko kwa
sababu  hawana chuki na CCM
ila mfumo.
Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie
John kunielewesha zaidi.


--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA SUMU
HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
TU
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:08 PM
 
  najaribu

kuchangia hoja ya comments
za Muhingo na Mollel, kwa
mtazamo
  wangu hili halina shida kwenye
siasa. lazima tukubali kwenda
  na
mabadiliko. upepo wa
siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
  pia
tujifunze na siasa za nchi nyingine.
wakati
Kibaki
  alipohama KANU Alisingiziwa
ni fisadi lakini akashinda
 
uraisi, na
tunaona siasa za kenya
zilivyobadilika baada ya
  changamoto za
upinzani. maendeleo pia

yamepatikana. Ugomvi
  wa ufisadi nchini
sio
wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu
  wengi
hamtaki kelewa hili.
Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo
  ni
mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya

kuingia UKAWA. kama
  alikua ni fisadi
kwa
nini hadi leo hakuna hatua zozote

zilizochukuliwa dhidi yake?
sasa basi kama lowasa
anahamia
  UKAWA ataendana na mfumo na sera
za UKAWA ambazo zinagiga
 
vita ufisadi wa
kimfumo sio wa mtu
mojamoja ili kuleta


ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya
siasa
  nchini kwa hiyo kama
lengo la UKAWA
ni kushika dola njia
  iliyotumika ni sahihi.
The
ends justify the means. Ndugu
  Muhingo
inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi
ya
  siasa na kuelewa hasa maana ya
mageuzi.wasalaamJohn
 


 
 
   
On
Tuesday, July 28,
  2015 10:31 AM,
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii

<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
 
 
 
 
  Molel nadhani
una
  matatizo. Toka tumepata uhuru siasa
za
Tanzania zinasema
 
maadui wetu ni Ujinga,
Maradhi na umaskini.
How comes you
  are

telling people that in Politics we dont have permanent
  enemies. It is America that dont have
permnent
friends
  though
you can not creat enemities
beterrn it and
Israel.
  usyaly we dont have
enemity with people but their
  behaviours.
Hooligans cant
change just because they have
  changed
memberships of political parties


--------------------------------------------
  On Mon, 7/27/15, 'Lesian Mollel'
via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

 
Subject: Re:
 
[wanabidii] UKAWA SUMU
HAIONJWI HATA SIKU,
UKIONJA UTAKUFA
  TU
 
To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Monday, July 27, 2015, 2:16 AM
 
  Elisa muhingo,siasa
hujui
  na hutakaa ujue coz
unalazimisha
ubongo wako
 
kwenda
 
kusikotakiwa
mzee,read here
  carefully'
in politics we
  dont have
a
  permeernent enemy' elewa bro au
niweke
kwa
  kiswahiki
sanifu....kwenye siasa
hakunaga
  uadui wa kudumu
 
,,,,,,,
 
 
Remeber slaa
katoka ccm'sasa
  lowasa
  kuingia chadema
ni shida mzee,kwann asiingie
ilhali
  ni mtanzani na hana hatia yeyote
na ana mengi
  ambayo
anayo
  sirini na kibaya zaidi anungwa
  na watu wengi ambao nyinyi

 
hamuwaoni
 
kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa

wanaona'stop
  your eneminity
bropeace
and love...usije ufe
  na dhambi ya
  chuki
 


Lesian
 
  Hosea
Ndaki
<hosea.ndaki@gmail.com>
  wrote:
 
  Tuwe
  na subira, ccm
wameshatangaza wa kwao,
 

tusubiri na wengine ukawa
chadema cuf adc act, na tuone
  sera
  na ilani ya kila
mmoja,
hatuwezi
  kufanya maamuzi kwa
mwali
  mmoja aliyechezwa

ngoma wakati wengine bado
wako kwa
 
shangazi
  na kungwi.
 
  Hatujazijua
  sera za ccm
na
ilani yao ya
 
uchaguzi, hivyo
  hivyo kwa ukawa na
wengine, kipenga
 
 
kikishapulizwa na kila mmoja
akaanza
kujinadi ndipo
  tutafanya maamuzi.
Tukizidisha makelele
 
tutawachanganya
  wazee wetu, tutulie

kwanza.
 

  2015-07-26
22:51
  GMT+03:00
 
'jbifabusha' via
 
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Mtalika.
  Una mapenzi
ya
  kupitiliza kwa CCM.
 
kwani ni lazima UKAWA
  kuweka mgombea?
Usituchoshe
na
  ngonjera

zako.
  WSent from
Samsung


  Mobile
 
 
 
 
--------
Original message

  --------
  From: 'mpombe
mtalika' via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 
  Date: 
 
  To: ELISA
 
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
 
  Subject:
[wanabidii]
UKAWA
  SUMU
HAIONJWI
  HATA
SIKU,
UKIONJA UTAKUFA TU
 

 
 
 

 
 

 
  Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi
tangu
  chama
  tawala
  kutangaza
  mgombea wake
wa
Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
 
 
 

 
 

  Hapo nyuma
  UKAWA walisikika wakitamba
kuwa wanamsubiri
 
 
kwa
 
umakini mkubwa
mgombea wa CCM, ili


wajipange
  kumsambaratisha. Baada ya
  uteuzi
  wa mgombea wa
CCM,
UKAWA ni kama
 
wameingia kizunguzungu na
  kigugumizi,
  maana
  mahesabu yao
yamegota vibaya.
 
 

 
  Kinachoonejana
dhahiri ni kwamba uhai wa
UKAWA
  unapewa
  uhalali tu
na makosa ya
  chama tawala.
Chama tawala
kinapo weka mambo
  yao safi na kwa
  umakini,
UKAWA
  wanaishiwa
hoja
na uhalali wa kisiasa, kwa
  vile wao
wenyewe
  hawana unifying
  ideology, apart from being reactionary!
 
 
 

  Tunachoshudia hivi sasa katika
UKAWA,
  kushindwa vibaya

 
kukubaliana juu ya
 
mgombea wao urais ni
kiekelezo tosha
kuwa
  UKAWA ni utapeli
 
wa kisiasa kati ya
 

mambumbumbu wanao wania urais.
 
  Hawajui nni awawakilishe na

hawajui huko wanaenda
kufanya
  nini.Hii
ni
  hatari kubwa!
 
  Watu
  wanaonadiwa na
mamluki
wa kibiashara inaelekea
  watainunua UKAWA
wakati
 
  wowote ule na ni
kwa nia moja tu, kukamata dili zote za

dola
  ili
wanufaike
 
  kiuchumi.
Lakini wananchi makini
wanaendekea
  kugutuka.
 

 
 
 
Tunajua kuwa hata
wapinzani ni watanzania


na huko kuna
  watu
 
makini
  kitaifa.
 
  Simpigii debe Dr
  Skaa
lakini haingii akilini
Dr Slaa
 
  kumtangaza
Lowassa kuwa
 
fisadi,
halafu kula
  matapishi yake bila
maelezo na
  kumkaribisha

fisadi huyo

  huyo kukipigia debe chama
  chao.
 
 

 
 
 
Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani

makini utakao
  sahihisha kama sio
 
kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa
 
kukumbatia ufisadi
  ulio

temwa na chama
  tawala, UKAWA
unawakaribisha kina Rosta na
  Karamaga and
co.
  iliwagawane rasilmali
 
za nchi hii.
 
 
 
 

Mungu
  bariki, mpaka hivi sasa ndani ya
UKAWA ni mtafaruku wa
 
kukaribia
  kusambaratika kwani
  hawajui
wanaenda Ikulu
kufanya nini na
  kwa
 
madhumuni gani
  kwa

mwananchi wa kawaida.
 

 

 

  Sumu haionjwi
 
 

 
 

 
  --

 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
    Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
 
   
 

 
Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this

Forum bears the sole
  responsibility
  for any legal consequences


of his or her postings, and hence
 
  statements and facts
must be presented
responsibly. Your
  continued membership

signifies that you agree
  to this
  disclaimer and pledge to abide by
  our Rules and
 
Guidelines.
 
 
  ---

 


 
You received this message because you are

subscribed to
  the
 
Google
Groups "Wanabidii"
  group.
 

  To unsubscribe
  from this group and
stop receiving emails
 
 
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 

 
  --
 

  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
    Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
 
   
 

 
Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this

Forum bears the sole
  responsibility
  for any legal consequences


of his or her postings, and hence
 
  statements and facts
must be presented
responsibly. Your
  continued membership

signifies that you agree
  to this
  disclaimer and pledge to abide by
  our Rules and
 
Guidelines.
 
 
  ---

 


 
You received this message because you are

subscribed to
  the
 
Google
Groups "Wanabidii"
  group.
 

  To unsubscribe
  from this group and
stop receiving emails
 
 
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 

 
 

  --

 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 

   
 
 
Disclaimer:
 
 
 
Everyone posting to this Forum bears the

sole
  responsibility
 
for
any legal consequences
  of his or her
postings, and
hence
 


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
  to this
  disclaimer
and pledge to
abide by
  our Rules and

  Guidelines.
 
 
  ---
 


 
  You received this
message because you are subscribed to

the
 
Google Groups
"Wanabidii"
  group.
 

  To unsubscribe
  from this group and
stop receiving emails
 
 
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 

  --
 
 
Send
 
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 

   
 
 
Disclaimer:
 
 
 
Everyone posting to this Forum bears the

sole
  responsibility
 
for
any legal consequences
  of his or her
postings, and
hence
 


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
  to this
  disclaimer
and pledge to
abide by
  our Rules and

  Guidelines.
 
 
  ---
 


 
  You received this
message because you are subscribed to

the
 
Google Groups
"Wanabidii"
  group.
 

  To unsubscribe
  from this group and
stop receiving emails
 
 
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
  --
 
Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole
responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence
statements
  and facts must be presented
responsibly. Your
continued
  membership signifies that you
agree to this disclaimer and
  pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message


because you are subscribed to the Google
Groups
  "Wanabidii" group.

To unsubscribe
  from this group and stop

receiving emails from it, send an
  email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.
 
    
 
 
  --

 
  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
to this
  disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 


You received this
message because you are subscribed to

the
  Google Groups
"Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment