Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

Hapana John,
Mfumo unafumuliwa kwa kuweka misingi, siyo mtu mmoja (Rais). Misingi ya kufumua mfumo Katiba ya Wananchi CCM waliizika pale Dodoma. Tusijidanganye. Tulidanganywa Bunge likiongozwa na mwanamke litakuwa poa kwa wananchi-je ni kweli Bunge lililoongozwa na mwanamke limesaidia wananchi au limewaumiza zaidi?
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:39 PM

Muhingo
unasema...'Kama
ni mfumo CCM imeonekana kuufumua ndiyo maana ikamtema
Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa
kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui lini wameanza
kuufumua huo mfumo wa ufisadi -past
habits die hard. Kweli tunapoongolea siasa tunaongelea
uendeshaji wa nchi, sio kamari, lakini ni muhimu kuwa na
madiliko makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni
miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao umezidi
kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni wakati sasa wa
kubadilisha. Tuko kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua
silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko zaidi
katika kuleta mabadiliko ya uendeshaji wa nchi. Lakini
kumbuka Lowasa alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema
sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai anazo kashfa za
ufisadi kama walivyo wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'.
Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na
kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua bado. Ila kwa sasa
tumjadili Lowasa kama ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini
lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye mvuto
kwa sasa (ana wafuasi wengi wanaoangalia mazuri yake), na
ndio maana UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake.
lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu wake katika
kutenda, sitaki kueleza hapa mfano wa mazuri aliyoyatenda
wengi wanayafahamu. Tuzidi
kutafakari! John






On Tuesday, July 28,
2015 12:48 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



John.
Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo
mbovu upi wa CCM?
Ninayemuongelea mimi ni
Lowasa aliyekuwa akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani
na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa
ambaye katika kukusanya kura za maoni ameonekana kutoa pesa
kupindukia. namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao
lazima ataongozana nao UKAWA  ni Chenge, Lostam, Karamagi
na wengine. naongelea Lowasa ambaye kila aliyeona
anavyotumia pesa alizosema anapewa na marafikizake
alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea
kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata atakakokuwa. UKAWA
inajiandaaje kumsaidia Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo na mengine yanayofanana nayo na
ndugu John tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au
mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa manufaa
ya watu wote.
Kumbuka watanzania walipokuwa
wanajenga imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa
hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za vyama au
magwanda wanayovaa. Ni ahadi zilizokuwa zinaonyesha
kutambuliwa kwa matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na
UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana kuufumua
ndiyo maana ikamtema Lowasa. Watanzania wanataka mabadiliko.
Wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM
imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema
akina Lowasa.
Nawaza kuwa huenda
wakayafurahia mabadiliko kwa sababu  hawana chuki na CCM
ila mfumo. Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie
John kunielewesha zaidi.

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
TU
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:08 PM

najaribu

kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa
mtazamo
wangu hili halina shida kwenye
siasa. lazima tukubali kwenda
na
mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
pia tujifunze na siasa za nchi nyingine.
wakati Kibaki
alipohama KANU Alisingiziwa
ni fisadi lakini akashinda
uraisi, na
tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya
changamoto za upinzani. maendeleo pia
yamepatikana. Ugomvi
wa ufisadi nchini sio
wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu
wengi
hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo
ni mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya
kuingia UKAWA. kama
alikua ni fisadi kwa
nini hadi leo hakuna hatua zozote

zilizochukuliwa dhidi yake? sasa basi kama lowasa
anahamia
UKAWA ataendana na mfumo na sera
za UKAWA ambazo zinagiga
vita ufisadi wa
kimfumo sio wa mtu mojamoja ili kuleta

ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya
siasa
nchini kwa hiyo kama lengo la UKAWA
ni kushika dola njia
iliyotumika ni sahihi.
The ends justify the means. Ndugu
Muhingo
inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi ya
siasa na kuelewa hasa maana ya
mageuzi.wasalaamJohn
 




   
On Tuesday, July 28,
2015 10:31 AM,
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii

<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

   

  Molel nadhani una
matatizo. Toka tumepata uhuru siasa za
Tanzania zinasema
maadui wetu ni Ujinga,
Maradhi na umaskini. How comes you
are
telling people that in Politics we dont have permanent
enemies. It is America that dont have permnent
friends
though you can not creat enemities
beterrn it and Israel.
usyaly we dont have
enemity with people but their
behaviours.
Hooligans cant change just because they have
changed memberships of political parties

--------------------------------------------
On Mon, 7/27/15, 'Lesian Mollel'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA SUMU
HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
TU
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Monday, July 27, 2015, 2:16 AM
 
  Elisa muhingo,siasa
hujui
  na hutakaa ujue coz unalazimisha
ubongo wako
kwenda
 
kusikotakiwa mzee,read here
carefully'
in politics we
  dont have a
permeernent enemy' elewa bro au niweke
kwa
  kiswahiki sanifu....kwenye siasa
hakunaga
uadui wa kudumu
 
,,,,,,,

Remeber slaa
katoka ccm'sasa
  lowasa
kuingia chadema ni shida mzee,kwann asiingie
ilhali
  ni mtanzani na hana hatia yeyote
na ana mengi
ambayo anayo
  sirini na kibaya zaidi anungwa
na watu wengi ambao nyinyi
 
hamuwaoni
kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa
wanaona'stop
  your eneminity bropeace
and love...usije ufe
na dhambi ya
  chuki


Lesian
 
  Hosea Ndaki
<hosea.ndaki@gmail.com>
  wrote:
 
  Tuwe
na subira, ccm
wameshatangaza wa kwao,


tusubiri na wengine ukawa chadema cuf adc act, na tuone
sera
  na ilani ya kila
mmoja, hatuwezi
kufanya maamuzi kwa
mwali
  mmoja aliyechezwa

ngoma wakati wengine bado wako kwa
 
shangazi
na kungwi.
 
  Hatujazijua
sera za ccm na
ilani yao ya
  uchaguzi, hivyo
hivyo kwa ukawa na wengine, kipenga

kikishapulizwa na kila mmoja
akaanza kujinadi ndipo
  tutafanya maamuzi.
Tukizidisha makelele
tutawachanganya
  wazee wetu, tutulie

kwanza.
 
  2015-07-26
22:51
GMT+03:00
 
'jbifabusha' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Mtalika.
  Una mapenzi
ya
kupitiliza kwa CCM.
 
kwani ni lazima UKAWA
kuweka mgombea?
Usituchoshe na
  ngonjera

zako.
  WSent from Samsung


Mobile
 
 

--------
Original message
  --------
  From: 'mpombe mtalika' via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 
  Date: 

To: ELISA
 
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 
  Subject: [wanabidii]
UKAWA
SUMU HAIONJWI
  HATA
SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU


 
 
 
 
 
 
  Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu
chama
  tawala
  kutangaza
mgombea wake wa
Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
 
 
 
 
 
  Hapo nyuma
UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri

kwa
 
umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili

wajipange
  kumsambaratisha. Baada ya
uteuzi
  wa mgombea wa CCM,
UKAWA ni kama
wameingia kizunguzungu na
  kigugumizi,
maana
  mahesabu yao yamegota vibaya.
 
 
 
  Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa
UKAWA
unapewa
  uhalali tu
na makosa ya
  chama tawala. Chama tawala
kinapo weka mambo
yao safi na kwa
  umakini, UKAWA
  wanaishiwa
hoja na uhalali wa kisiasa, kwa
vile wao
wenyewe
  hawana unifying
  ideology, apart from being reactionary!
 
 
 
  Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA,
kushindwa vibaya
 
kukubaliana juu ya
  mgombea wao urais ni
kiekelezo tosha kuwa
UKAWA ni utapeli
  wa kisiasa kati ya
 
mambumbumbu wanao wania urais.
 
  Hawajui nni awawakilishe na

hawajui huko wanaenda kufanya
  nini.Hii
ni
hatari kubwa!
 
  Watu
wanaonadiwa na mamluki
wa kibiashara inaelekea
  watainunua UKAWA
wakati

wowote ule na ni
kwa nia moja tu, kukamata dili zote za

dola
  ili wanufaike

kiuchumi. Lakini wananchi makini
wanaendekea
  kugutuka.
 



 
Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania

na huko kuna
  watu
 
makini
kitaifa.
 
  Simpigii debe Dr
Skaa
lakini haingii akilini Dr Slaa

kumtangaza Lowassa kuwa
 
fisadi, halafu kula
matapishi yake bila
maelezo na
  kumkaribisha

fisadi huyo
  huyo kukipigia debe chama
chao.
 
 



 
Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani

makini utakao
  sahihisha kama sio
  kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa
kukumbatia ufisadi
  ulio
temwa na chama
  tawala, UKAWA
unawakaribisha kina Rosta na
Karamaga and
co.
  iliwagawane rasilmali
  za nchi hii.
 
 
 
 
Mungu
bariki, mpaka hivi sasa ndani ya
UKAWA ni mtafaruku wa
  kukaribia
  kusambaratika kwani
hawajui
wanaenda Ikulu kufanya nini na
  kwa
madhumuni gani
  kwa
mwananchi wa kawaida.
 
 

 
  Sumu haionjwi
 
 
 
 
 
  --

 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   
 

  Disclaimer:
 

Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences

of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
 
Guidelines.


  ---
 


You received this message because you are
subscribed to
the
  Google
Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
  --
 

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
   
 

  Disclaimer:
 

Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences

of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree
to this
  disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
 
Guidelines.


  ---
 


You received this message because you are
subscribed to
the
  Google
Groups "Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
 
 
  --

 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
to this
  disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 


You received this
message because you are subscribed to

the
  Google Groups
"Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 
  --
 
 
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
to this
  disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 


You received this
message because you are subscribed to

the
  Google Groups
"Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit

https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment