mtaji Wa chama ni chama ni wanachama,tuache fikra mgando turuhusu demokrasia ya vyama vingi,mwaka Huu tutashuhudia mabadiliko makubwa katika medani ya siasa hapa nchini,ushauri wangu tukubali kuruhusu mabadiliko
------------------------------
On Tue, Jul 28, 2015 9:31 AM PDT 'ananilea nkya' via Wanabidii wrote:
>Sawa kabisa Mike,
>Lakini huyo mtu ili aweze kufumua mfumo ni lazima kuwe na misingi ya kikatiba inayompa nguvu nguvu na zaidi inayoupa umma nguvu.
>Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Tue, 7/28/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 28, 2015, 4:05 PM
>
> Kwenye
> dunia ya leo jenda siyo hoja, tumekuja kuelewa na kuamin
> zaidi kuliko pale mwanzo kuwa binadamu ni sawa, kwa hiyo
> suala la kutoa nafasi sawa kwa wanawake na wanaume liko
> sahihi, ila tu nafasi kama hizo zisitolewe kwa lengo eti
> kuweka usawa, kuwe na nia njema ya kufanya hivyo, naamini
> kabisa hata kusudi lingelikuwa ni lazima kuwa na Spika
> mwanamke, kuna kinamama wengi tu makini hawakupewa hiyo
> nafasi na ninaamini wangelifanya kazi bora kuliko kuwa mtu
> mwenyenafasi nyetu kama hiyo kuwa msemaji wa chama. Je kwa
> nini binadam ni vigumu kunakili kwa watu
> wengini?Sipingani
> sana na yule mtu anayesema mtu mmoja anaweza akawa chanzo
> cha kufumua mfumo uliopo, inawezekana kabisa, kwa mfano Rais
> akijitoa kupambana na walio chini yake wale watakaovunja
> miiko ya uongozi, anaweza. Anakataa kata kata kugeuzwa kuwa
> jiwe la chumvi at any cost. Siyo mtu
> kuanza uongozi kwa nguvu na kadiri muda unavyopita nguvu
> zinazidi kufifia na kuwa mtizamaji kama wengine wasiokuwa na
> mamlka hayo.
>
>
>
> On Tuesday, 28 July
> 2015, 15:36, 'ananilea nkya' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
> Hapana John,
> Mfumo unafumuliwa kwa kuweka misingi, siyo mtu
> mmoja (Rais). Misingi ya kufumua mfumo Katiba ya Wananchi
> CCM waliizika pale Dodoma. Tusijidanganye. Tulidanganywa
> Bunge likiongozwa na mwanamke litakuwa poa kwa wananchi-je
> ni kweli Bunge lililoongozwa na mwanamke limesaidia wananchi
> au limewaumiza zaidi?
> Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
> --------------------------------------------
> On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
> TU
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:39 PM
>
> Muhingo
>
> unasema...'Kama
> ni mfumo CCM imeonekana
> kuufumua ndiyo maana ikamtema
>
> Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa
> kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui
> lini wameanza
> kuufumua huo mfumo wa ufisadi
> -past
> habits die hard. Kweli tunapoongolea
> siasa tunaongelea
> uendeshaji wa nchi, sio
> kamari, lakini ni muhimu kuwa na
> madiliko
> makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni
> miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao
> umezidi
> kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni
> wakati sasa wa
> kubadilisha. Tuko
> kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua
>
> silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko
> zaidi
> katika kuleta mabadiliko ya
> uendeshaji wa nchi. Lakini
> kumbuka Lowasa
> alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema
> sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai
> anazo kashfa za
> ufisadi kama walivyo
> wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'.
>
> Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na
> kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua
> bado. Ila kwa sasa
> tumjadili Lowasa kama
> ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini
>
> lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye
> mvuto
> kwa sasa (ana wafuasi wengi
> wanaoangalia mazuri yake), na
> ndio maana
> UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake.
> lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu
> wake katika
> kutenda, sitaki kueleza hapa
> mfano wa mazuri aliyoyatenda
> wengi
> wanayafahamu. Tuzidi
> kutafakari! John
>
>
>
>
>
>
> On Tuesday, July 28,
>
> 2015 12:48 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> John.
>
> Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo
> mbovu upi wa CCM?
>
> Ninayemuongelea mimi ni
> Lowasa aliyekuwa
> akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani
>
> na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa
> ambaye katika kukusanya kura za maoni
> ameonekana kutoa pesa
> kupindukia.
> namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao
> lazima ataongozana nao UKAWA ni Chenge,
> Lostam, Karamagi
> na wengine. naongelea
> Lowasa ambaye kila aliyeona
> anavyotumia
> pesa alizosema anapewa na marafikizake
>
> alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea
> kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata
> atakakokuwa. UKAWA
> inajiandaaje kumsaidia
> Lowasa kuwatuliza watu hao?
> naongelea hayo
> na mengine yanayofanana nayo na
> ndugu John
> tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au
>
> mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa
> manufaa
> ya watu wote.
>
> Kumbuka watanzania walipokuwa
> wanajenga
> imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa
> hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za
> vyama au
> magwanda wanayovaa. Ni ahadi
> zilizokuwa zinaonyesha
> kutambuliwa kwa
> matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na
>
> UKAWA.
> Kama ni mfumo CCM imeonekana
> kuufumua
> ndiyo maana ikamtema Lowasa.
> Watanzania wanataka mabadiliko.
> Wakiyakosa
> ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM
>
> imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema
> akina Lowasa.
> Nawaza kuwa
> huenda
> wakayafurahia mabadiliko kwa
> sababu hawana chuki na CCM
> ila mfumo.
> Mfumo ilioanza kuufumua.
> Nisaidie
> John kunielewesha zaidi.
>
>
> --------------------------------------------
> On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] UKAWA SUMU
> HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
> TU
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:08 PM
>
> najaribu
>
> kuchangia hoja ya comments
> za Muhingo na Mollel, kwa
> mtazamo
> wangu hili halina shida kwenye
> siasa. lazima tukubali kwenda
> na
> mabadiliko. upepo wa
> siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
> pia
> tujifunze na siasa za nchi nyingine.
> wakati
> Kibaki
> alipohama KANU Alisingiziwa
> ni fisadi lakini akashinda
>
> uraisi, na
> tunaona siasa za kenya
> zilivyobadilika baada ya
> changamoto za
> upinzani. maendeleo pia
>
> yamepatikana. Ugomvi
> wa ufisadi nchini
> sio
> wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu
> wengi
> hamtaki kelewa hili.
> Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo
> ni
> mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya
>
> kuingia UKAWA. kama
> alikua ni fisadi
> kwa
> nini hadi leo hakuna hatua zozote
>
> zilizochukuliwa dhidi yake?
> sasa basi kama lowasa
> anahamia
> UKAWA ataendana na mfumo na sera
> za UKAWA ambazo zinagiga
>
> vita ufisadi wa
> kimfumo sio wa mtu
> mojamoja ili kuleta
>
>
> ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya
> siasa
> nchini kwa hiyo kama
> lengo la UKAWA
> ni kushika dola njia
> iliyotumika ni sahihi.
> The
> ends justify the means. Ndugu
> Muhingo
> inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi
> ya
> siasa na kuelewa hasa maana ya
> mageuzi.wasalaamJohn
>
>
>
>
>
>
> On
> Tuesday, July 28,
> 2015 10:31 AM,
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
> Molel nadhani
> una
> matatizo. Toka tumepata uhuru siasa
> za
> Tanzania zinasema
>
> maadui wetu ni Ujinga,
> Maradhi na umaskini.
> How comes you
> are
>
> telling people that in Politics we dont have permanent
> enemies. It is America that dont have
> permnent
> friends
> though
> you can not creat enemities
> beterrn it and
> Israel.
> usyaly we dont have
> enemity with people but their
> behaviours.
> Hooligans cant
> change just because they have
> changed
> memberships of political parties
>
>
> --------------------------------------------
> On Mon, 7/27/15, 'Lesian Mollel'
> via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re:
>
> [wanabidii] UKAWA SUMU
> HAIONJWI HATA SIKU,
> UKIONJA UTAKUFA
> TU
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Monday, July 27, 2015, 2:16 AM
>
> Elisa muhingo,siasa
> hujui
> na hutakaa ujue coz
> unalazimisha
> ubongo wako
>
> kwenda
>
> kusikotakiwa
> mzee,read here
> carefully'
> in politics we
> dont have
> a
> permeernent enemy' elewa bro au
> niweke
> kwa
> kiswahiki
> sanifu....kwenye siasa
> hakunaga
> uadui wa kudumu
>
> ,,,,,,,
>
>
> Remeber slaa
> katoka ccm'sasa
> lowasa
> kuingia chadema
> ni shida mzee,kwann asiingie
> ilhali
> ni mtanzani na hana hatia yeyote
> na ana mengi
> ambayo
> anayo
> sirini na kibaya zaidi anungwa
> na watu wengi ambao nyinyi
>
>
> hamuwaoni
>
> kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa
>
> wanaona'stop
> your eneminity
> bropeace
> and love...usije ufe
> na dhambi ya
> chuki
>
>
>
> Lesian
>
> Hosea
> Ndaki
> <hosea.ndaki@gmail.com>
> wrote:
>
> Tuwe
> na subira, ccm
> wameshatangaza wa kwao,
>
>
> tusubiri na wengine ukawa
> chadema cuf adc act, na tuone
> sera
> na ilani ya kila
> mmoja,
> hatuwezi
> kufanya maamuzi kwa
> mwali
> mmoja aliyechezwa
>
> ngoma wakati wengine bado
> wako kwa
>
> shangazi
> na kungwi.
>
> Hatujazijua
> sera za ccm
> na
> ilani yao ya
>
> uchaguzi, hivyo
> hivyo kwa ukawa na
> wengine, kipenga
>
>
> kikishapulizwa na kila mmoja
> akaanza
> kujinadi ndipo
> tutafanya maamuzi.
> Tukizidisha makelele
>
> tutawachanganya
> wazee wetu, tutulie
>
> kwanza.
>
>
> 2015-07-26
> 22:51
> GMT+03:00
>
> 'jbifabusha' via
>
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Mtalika.
> Una mapenzi
> ya
> kupitiliza kwa CCM.
>
> kwani ni lazima UKAWA
> kuweka mgombea?
> Usituchoshe
> na
> ngonjera
>
> zako.
> WSent from
> Samsung
>
>
> Mobile
>
>
>
>
> --------
> Original message
>
> --------
> From: 'mpombe
> mtalika' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date:
>
> To: ELISA
>
> MUHINGO' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Subject:
> [wanabidii]
> UKAWA
> SUMU
> HAIONJWI
> HATA
> SIKU,
> UKIONJA UTAKUFA TU
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi
> tangu
> chama
> tawala
> kutangaza
> mgombea wake
> wa
> Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
>
>
>
>
>
>
>
> Hapo nyuma
> UKAWA walisikika wakitamba
> kuwa wanamsubiri
>
>
> kwa
>
> umakini mkubwa
> mgombea wa CCM, ili
>
>
> wajipange
> kumsambaratisha. Baada ya
> uteuzi
> wa mgombea wa
> CCM,
> UKAWA ni kama
>
> wameingia kizunguzungu na
> kigugumizi,
> maana
> mahesabu yao
> yamegota vibaya.
>
>
>
>
> Kinachoonejana
> dhahiri ni kwamba uhai wa
> UKAWA
> unapewa
> uhalali tu
> na makosa ya
> chama tawala.
> Chama tawala
> kinapo weka mambo
> yao safi na kwa
> umakini,
> UKAWA
> wanaishiwa
> hoja
> na uhalali wa kisiasa, kwa
> vile wao
> wenyewe
> hawana unifying
> ideology, apart from being reactionary!
>
>
>
>
> Tunachoshudia hivi sasa katika
> UKAWA,
> kushindwa vibaya
>
>
> kukubaliana juu ya
>
> mgombea wao urais ni
> kiekelezo tosha
> kuwa
> UKAWA ni utapeli
>
> wa kisiasa kati ya
>
>
> mambumbumbu wanao wania urais.
>
> Hawajui nni awawakilishe na
>
> hawajui huko wanaenda
> kufanya
> nini.Hii
> ni
> hatari kubwa!
>
> Watu
> wanaonadiwa na
> mamluki
> wa kibiashara inaelekea
> watainunua UKAWA
> wakati
>
> wowote ule na ni
> kwa nia moja tu, kukamata dili zote za
>
> dola
> ili
> wanufaike
>
> kiuchumi.
> Lakini wananchi makini
> wanaendekea
> kugutuka.
>
>
>
>
>
> Tunajua kuwa hata
> wapinzani ni watanzania
>
>
> na huko kuna
> watu
>
> makini
> kitaifa.
>
> Simpigii debe Dr
> Skaa
> lakini haingii akilini
> Dr Slaa
>
> kumtangaza
> Lowassa kuwa
>
> fisadi,
> halafu kula
> matapishi yake bila
> maelezo na
> kumkaribisha
>
> fisadi huyo
>
> huyo kukipigia debe chama
> chao.
>
>
>
>
>
>
> Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani
>
> makini utakao
> sahihisha kama sio
>
> kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa
>
> kukumbatia ufisadi
> ulio
>
> temwa na chama
> tawala, UKAWA
> unawakaribisha kina Rosta na
> Karamaga and
> co.
> iliwagawane rasilmali
>
> za nchi hii.
>
>
>
>
>
> Mungu
> bariki, mpaka hivi sasa ndani ya
> UKAWA ni mtafaruku wa
>
> kukaribia
> kusambaratika kwani
> hawajui
> wanaenda Ikulu
> kufanya nini na
> kwa
>
> madhumuni gani
> kwa
>
> mwananchi wa kawaida.
>
>
>
>
>
>
> Sumu haionjwi
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this
>
> Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
>
>
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts
> must be presented
> responsibly. Your
> continued membership
>
> signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
>
>
>
> You received this message because you are
>
> subscribed to
> the
>
> Google
> Groups "Wanabidii"
> group.
>
>
> To unsubscribe
> from this group and
> stop receiving emails
>
>
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
> visit
>
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this
>
> Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
>
>
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts
> must be presented
> responsibly. Your
> continued membership
>
> signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
>
>
>
> You received this message because you are
>
> subscribed to
> the
>
> Google
> Groups "Wanabidii"
> group.
>
>
> To unsubscribe
> from this group and
> stop receiving emails
>
>
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
> visit
>
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
>
> sole
> responsibility
>
> for
> any legal consequences
> of his or her
> postings, and
> hence
>
>
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
> agree
> to this
> disclaimer
> and pledge to
> abide by
> our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
>
>
> You received this
> message because you are subscribed to
>
> the
>
> Google Groups
> "Wanabidii"
> group.
>
>
> To unsubscribe
> from this group and
> stop receiving emails
>
>
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
> visit
>
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
>
> Send
>
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma
> Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
>
> sole
> responsibility
>
> for
> any legal consequences
> of his or her
> postings, and
> hence
>
>
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
> agree
> to this
> disclaimer
> and pledge to
> abide by
> our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
>
>
> You received this
> message because you are subscribed to
>
> the
>
> Google Groups
> "Wanabidii"
> group.
>
>
> To unsubscribe
> from this group and
> stop receiving emails
>
>
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
> visit
>
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
> this Forum bears the
> sole
> responsibility for any legal
>
> consequences of his or her postings, and hence
> statements
> and facts must be presented
> responsibly. Your
> continued
> membership signifies that you
> agree to this disclaimer and
> pledge to
> abide by our
> Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
>
>
> because you are subscribed to the Google
> Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop
>
> receiving emails from it, send an
> email
> to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
> sole
> responsibility
> for
> any legal consequences
> of his or her
> postings, and hence
>
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you
> agree
> to this
> disclaimer
> and pledge to abide by
> our Rules and
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
>
> You received this
> message because you are subscribed to
>
> the
> Google Groups
> "Wanabidii"
> group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options,
> visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
> this Forum bears the
> sole responsibility for any legal
>
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your
> continued
> membership signifies that you
> agree to this disclaimer and
> pledge to
> abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
>
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop
> receiving emails from it, send an
> email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and
> Guidelines.
>
>
> ---
>
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii"
> group.
>
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment