Sunday, 26 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

Mpombe,

Hapa unatoa utabiri au unaleta habari? Mambo ya Ngoso muachie Ngoso mwenyewe, waache wakiwa tayari watatuambia.


------------------------------
On Sun, Jul 26, 2015 5:44 PM AST (Arabian) 'mpombe mtalika' via Wanabidii wrote:

>Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu chama tawalakutangaza mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
>
>Hapo nyuma UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri kwaumakini mkubwa mgombea wa CCM, ili wajipange kumsambaratisha. Baada ya uteuziwa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama wameingia kizunguzungu na kigugumizi, maanamahesabu yao yamegota vibaya.
>
>Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA unapewa uhalali tu na makosa yachama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo yao safi na kwa umakini, UKAWAwanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa vile wao wenyewe hawana unifyingideology, apart from being reactionary!
>
>Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA, kushindwa vibaya kukubaliana juu yamgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa UKAWA ni utapeli wa kisiasa kati yamambumbumbu wanao wania urais.
>Hawajui nni awawakilishe na hawajui huko wanaenda kufanya nini.Hii ni hatari kubwa!
>Watu wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea watainunua UKAWA wakatiwowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za dola ili wanufaikekiuchumi. Lakini wananchi makini wanaendekea kugutuka.
>Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania na huko kuna watumakini kitaifa.
>Simpigii debe Dr Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa kumtangaza Lowassa kuwafisadi, halafu kula matapishi yake bila maelezo na kumkaribisha fisadi huyohuyo kukipigia debe chama chao.
>
>Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani makini utakao sahihisha kama siokupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa kukumbatia ufisadi ulio temwa na chamatawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na Karamaga and co. iliwagawane rasilmaliza nchi hii.
>
>Mungu bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa kukaribiakusambaratika kwani hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na kwa madhumuni ganikwa mwananchi wa kawaida.
>
>Sumu haionjwi
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment