Friday, 24 July 2015

Re: [wanabidii] Nimesikitishwa na Freeman Mbowe kuuza CHADEMA kwa Edward Lowasa

Habari za kipuuzi hizo, mtu yeyote atayewziamini naye ni mpuuzi kama mtoa habari alivyo, 
Whatever the case, awe Lowas kuwasilisha CHADEMA au mtu mwingini, kama Lowasa ataamua kuhamia CHADEMA unategemea ni lugha gani itakayotumika kupumbaza umma, ni kutumia uongo wa kijinga kama huo, nani kuapewa nini!

On Friday, 24 July 2015, 17:28, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kuna watu wengine nadhani walizaliwa kwa bahati mbaya sana. Huu uongo wa kusingizia watu unaofanywa na mtu unayetegemea ana busara maana yake nini? Ulikuwepo wakati Lowasa anampa Mbowe hizo hela? Ukifikishwa mahakamani kuthibitisha hongo hiyo utaonesha ushahidi gani? Ulipata muda wa kuzihesabu?
Hivi jamani watu wengine mlitanguliza nini siku mnazaliwa? Imenikera sana, na huyu mtu ashikishwe adabu kwa kutuletea uongo wa kijinga na kipumbavu kama huu. Akadanganye mkewe na wanae na sio sisi

On Friday, July 24, 2015 5:31 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mzuri;
Napata kigugumizi,hizi taarifa zako ni za kweli?
Jana/Juzi nimemsikia Lissu akiongea kwenye mkutano kwamba mgombea keshapatikana na sote tunamjua sana,but wanasubiri apatikane mwenza ambaye kwa katiba ya ukawa/chadema lazima atoke visiwani,hakuwa na nia ya kumtaja lakini akajikuta anamtaja kwamba ni Slaa.
Sasa wewe unaleta habari mpya kabisa?nani mwongo wewe au Lissu??
Reuben

On Friday, July 24, 2015 7:00 AM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

Nimesikitishwa na uamuzi wa Freeman Mbowe kuuza CHADEMA kwa shilingi Bilioni 10 tu kwa Edward Lowasa
Nimepokea taarifa kwa masikitiko makubwa sana juu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN AIKAEL MBOWE kuuza chama kwa shilingi bilioni 10 kwa fisadi Lowasa ambaye kwa mara kadhaa ametajwa kuhusika kwenye kashfa nyingi za ufisadi hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Edward Lowasa amempa Freeman Mbowe in personal shilingi Bilioni 10 kama hongo ili aweze kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA.
Hakika hizi ni taarifa mbaya sana kwa wapenda demokrasia nchini na kwamba vita dhidi ya ufisadi sasa inakuwa ngumu. Hii ni kwa sababu hawa wapinzani ambao ndio tuliwategemea kuiamsha serikali dhidi ya mapambano ya rushwa ndo wameingia kwenye mkumbo wa kutoa na kupokea rushwa. Hii ni fedheha kubwa sana kwao na ni aibu kwa siasa za Tanzania. Mbowe kanajisi upinzani na amedhalilisha sana siasa za nchi yetu.
Kwa Lowasa kuhamia upinzani si tatizo. Ila tatizo ninaloliona hapa ni hili la kutoa shilingi bilioni 10 ili tu ateuliwe kuwa mgombea urais. Kama kiongozi wa chama anaweza kununuliwa kwa shilingi bilioni 10, vipi kuhusu rasilimali za nchi yetu? Tutamtofautishaje na wale machifu ambao walikubali kuwekeana mikataba na wakoloni kwa kupewa tu bunduki, vioo na vipande vya nguo huku wao wakitoa vipande vya dhahabu? Hakika inaniuma sana na inasikitisha sana.
Ni dhahiri sasa hatuna upinzani wa kweli nchini bali tuna wachumia tumbo. Freeman Mbiwe pupa na tamaa ya fedha inamfanya asione azma aliyonayo juu ya maelfu ya wafuasi wake ambao walimuona kama ni kiongozi jasiri na mchukia rushwa. Sasa katumbukia kwenye shimo. Nani atamnasua? Tafakari na chukua hatua.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment