Lesian
Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
Lesian
Link imeambatanishwa
2015-07-25 17:32 GMT+03:00 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Jamani naombeni hayo makala ya boss wangu wa zaman jet mkongwe mh mbwambo pleease nifowadieni namie nione hoja zake ni kati wa waandishi naowaheshim sana kwa kua analytical
Lesian
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Mwanahabari nguli Johnson Mbwambo,
>Awali ya yote nikupe pole nyingi kwa kuondokewa na baba mzazi. Mungu ailaze pema kwenye uzima wa milele roho ya marehemu.
>
>Nakuandikia maneno haya machache baada ya kusoma makala yako yenye kichwa cha habari:Kama akiwa Rais Nani atamfunga 'gavana' Magufuli? ambayo nimeipata kupitia
>: http://www.raiamwema.co.tz/kama-akiwa-rais-nani-atamfunga-%E2%80%98gavana%E2%80%99-magufuli
>
>Nakupongeza sana kwa kuonyesha mfano wa aina ya uchambuzi ambao wanahabari wanapaswa kufanya ili vyombo vya habari viweze kutoa mchango mkubwa kwa ajili ya nchi kupata uongozi madhubuti tuendako.
> Binafsi ninaamini kuwa ni hadi hapo chama kinachotawala nchi yetu sasa --CCM kitakapoamua kwa hiari au kulazimishwa kuukubali mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa dhati kabisa na kushiriki na wananchi kuweka Katiba Mpya ya kuuendesha mfumo huo ndipo chaguzi zitakapoanza kutoa uongozi wa nchi unaoweza kutoa mchango mkubwa wa kuiondoa nchi katika lindi la umaskini na kudumisha amani ya kweli mioyoni mwawananchi siyo hii amani feki inayozungumzwa majukwaani na wasaka maslahi ya kushika dola ili kujinufaisha mmoja mmoja na kama kikundi kidogo cha watawala.
>
>Uchaguzi nchini kwetu kwa sasa, kwa mtazamo wangu, ni mradi (project) wa kukamata dola basi iwe ni kwa kutumia ufisadi kama ule wa EPA uchaguzi wa 2005 na sasa usanii wa 'usafi' wa mtu mmoja 'bulldozer'(tingatinga) kama ulivyoeleza kwenye makala yako ili mradi kufanikisha kukamata dola wakati nchi nzima inanuka ufisadi ulioasisiwa watawala na chama chao ili kulinda madaraka yao na maslahi yao na wala siyo maslahi ya nchi na wananchi.
> Kuendesha mfumo wa vyama vingi kifeki feki, nchi inabamizwa kweli kweli. Ni maumivu makubwa kwa wananchi! Tafadhali anayetaka kujibu nilichoandika hapa aisome kwanza makala ya Mbwambo.
>
>Asante sana Johnson Mbwambo kwa utumishi wa nchi uliotukuka. Mungu akulinde na kukubariki sana kwa mapenzi yako makubwa kwa nchi yetu. Nchi yetu kwanza maana kila mmoja wetu atapita, nchi itabaki, lakini itabakiikiwa katika hali gani kama hatuipendi kwa dhati? Itabaki vipi kama sisi wanahabari hatuna ujasiri wa kuandika ukweli hata kama ni mchungu ili wanaoutaka uongozi wa nchi wajifunze, wakiri makosa, waombe radhi, wabadilike –watoe uongozi mahiri?
>
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata
"truth shall set you free"

No comments:
Post a Comment