Wednesday, 3 June 2015

Re: [wanabidii] Re:Mwigulu Nchemba: AVUTIA WENGI

Tusubiri waanze kuchukuwa fomu ili tuwapime vizuri,hii haraka matokeo yake kila siku mtu anabadilika mara namtaka lowasa,kesho akioneshwa picha namtaka wasira,akiona hotuba mzuri ni muhongo sisi tuwe watulivu wasituendeshe hawa nia yao ni kukaa magogoni tu jipya tunalo sisi tukifanya uchaguzi sahihi

Sent from Yahoo Mail on Android

From:"'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Wed, Jun 3, 2015 at 10:44
Subject:[wanabidii] Re:Mwigulu Nchemba: AVUTIA WENGI

Mwigulu Nchemba ndiye mwanasiasa pekee katika watangaza nia  wote ambaye hotuba yake imevutia wengi na kuwa gumzo kila mahali. Katika wengi waliosikiliza hotuba yake, inasemekana ndio hotuba pekee yenye mvuto na iliyobeba uhalisia wa mambo. Ni kweli taifa hili tunahitaji mabadiliko na ni kweli  wakati huo wa mabadiliko ni sasa.. Sifa kuu ya Mwigulu ni ukweli na uwazi na utendaji wake wa kazi uliothibitika..pia anajulikana sana kwa sifa yake ya uadilifu na usafi na sio mwizi..Ujasiri na umakini pia vinamuongezea maxi nyingi haswa katika jukumu hilo kubwa analoliomba...Mwigulu hana makundi na ni dhahiri kuwa hana wa kumlipa fadhira zaidi ya kuwaletea tija watz..Mungu ibariki Tanzania na tunaomba utufikishe tunapoomba tufike kwa amani...Ngupula.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment