Tatizo la watanzania kukosa maendeleo ni sisi wenyewe kutokufanya yanayotakiwa. hadi sasa TZ ina matajiri wengi lakini hawajiungi kuchukua mikopo hata bank ya dunia na mashirika makubwa ya nje kufufua viwanda au kulima mashamba ya mamlaka mbali mbali wakalisha viwanda. Nani anawakataza? Wao wanatumia hela za bank za bongo kujaza used spareparts, madela, nguo toka nchi za nje na kuzisafirisha ndani na nje ya nchi. Fika maduka ya kariakoo uone vijana wanavyojaza hizo nguo malori ya nchi jirani. Viwanda wamegeuza karakana na used items. Maeneo yaliyopimwa kuweka viwanda mfano Africana, Tegeta barabara ya Bagamoyo-upande wa kushoto utaona kuna halls za sherehe, bar wanalewa na Car wash. Viwanda ji vichache na vya chuma chakavu. Ni karakana za mbao, masofa, vitanda na vioo kutoka ulaya sio kuzalisha kama alivyopewa eneo hilo na limepimwa mwa mkpo wa world bank under Sites and Services Program.
Tunajituma-maembe, mananasi, nyanya etc vinaoza masoko ya TZ; hayabebwi na kusafirishwa kutoka vijijini; ni dalali kila kona mpaka wananchi wanashindwa kuuza kupata fedha nzuri. Manununzi ya nyanya kuna dalali ukikataa anafanya watu wasinunue mazao yako, ticket ua bus dalali upende usipende, unapanda bus la daladala kuna anayenani bus na unalijua limeandikwa kinakwenda wapi anamidomo imebabuba kwa gongo, mchafu yu[po pombe mbwiii-ubungo-manzese ...kawe...Bunju..! asipooewa hela-atamkunja konda. Kutwa, hiyo nguvu kazi halafu mgombea unatangaza kuwapa ajira-zitashuka kama mvua? Matajiri chukueni mashamba ya mamlaka yaliyokaa bure mpaka waje akina Dangote au wachina. kajengeni nyumba, weka trekta, miundombinu, processing industrie vijana waajiriwe, wazalishe, muuze ndani na nje, viwanda ili tufike uchumi wa kati. kazi yenu ni kuchukua ninyi mashamba, kuweka mifugo inayotesa watu sio kufuga kisasa ni kuzururisha tu. Sokoine Unv-imezalisha mazao, mifugo bora
hamtumii kwa nini? kazi ni mawizara kupima miji-Cities, kuhamisha watu ktk makazi yao, kubomolesha nyumba eti miji sasa sio vijiji, kukata mazao na kuwaongezea umasikini wakati ulaya kuna miji na mashamba-cities with farms!!
Kati ya hao wagombea nani anaweza kuonyesha mfano wa utendaji kwake kama wanavyoonyesha akina Firikunjombe? Kazi yao eti-wafanyabiashara wadogo hamtobughudhiwa na askari au watumishi wa halmashauri, kuwapa bajaji, bodaboda, kuwapa meza za kuuzia barabarani biashara-pumba tupu. Hapo wanapouza kinyesi, mainzi, eti wasizingatie sheria za usafi wa chakula, mazingira-wasibughuziwe wanaganga njaa! Likitokea lori likosee njia au kuwa na hitilafu liwavamie na kuwaua na moto kuwaka kuwachoma-serikali haijali usalama wetu. Vijijini tupo kuanzia asubuhi ni kulewa pombe; kitupo cha kilimo au mifugo kinaweza kuwa jirani na kijiji hicho hakuna anayekubali kuiga. Ila fuga wewe ng'ombe kisasa, panda maembe ya muda mfupi yazae-hutokula hata moja wataiba wao. Ng'ombe utakuta wamemchinja wamekuachia utumbo na kichwa! Wabongo hao-masikini, jeuri kufanyakazi-afanyiwe yy ale tu. Ukimwambia kabati lina wire na kioo, sasa anafungua mlango wa wire na kioo mainzi
yanajaa-asifanye hivyo-atakusonya, atakuchukia. akisha kupita bwana afya mkaguzi-anafungua anaacha wazi-Nasi tunakula kama kawa hatuachi kususa kula vichafu.
Watanzania kukosa maendeleo ni uvivu wetu, kukataa kushaurika na kubadili tabia na mienendo yetu. Tunapenda kulalamika sio kufanyakweli. Tumeingiza siasa, udugu katika utendaji. Hata ukienda pale penye kila kitu-utakuta nyumba ya tope na miti ipo wazi, inavuja na udogo na maji bure, nyasi kibao-serikali haitujali. Asichangie matibabu shs 10 elfu kwa mwaka lakini daili analewa elfu 2+ kwa mwezi 80 elfu+ bado sigara na michepuko!! Mbunge haonekani jimboni, Diwani ndio ana miliki bar za pombe za kienyeji kijijini. Mtaji wa kituo cha polisi ni Bar-ipo hapo na maduka ya kupangisha frame zao-tutafika? Jirani na chuo cha kilimo wananchi wanalima milimani bila terracing; choo cha zahanati kibovu kimebomoka na bwana afya yupo hapo na kuna fundi wa serikali; penye jengo la wizara ya afya-vyoo vibovu, vimefungwa haviingiliki na nje septic tanks zinafurika-tunangoja budget!! Mto ubungo upo jirani na ofisi ya wizara ya maji na chuo cha maji-kaangalie uchafu wa solid
waste, mtu fafuga ng'ombe ana zizi hapo daraja la ubungo kinyesi anatupa mtoni, wamehamia wafanya biashara kila uchafu mtoni-next to the respective river and water conservation offices? unataka nini cha wendawazimu bongoland ukikose!! Inachefua!!
--------------------------------------------
On Tue, 2/6/15, Dr. Leonard E. Mboera <lmboera@nimr.or.tz> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re; Tunahitaji maelezo ya upande wa pili wa wanaotangaza nia
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 2 June, 2015, 11:28
Japhet,
Kinachonipa shida katika hizi
"kampeni za kutangaza nia" ni kwamba,
wengi wao wana mikakati mizuri sana kinadharia.
Mikakati ambayo kila
mmoja wao anaamin
ataitekeleza tu akipewa URAISI. Wote waliotangulia
kutangaza nia viongozi wa juu Serikalini na
kwenye Chama cha
Mapinduzi. Miaka yote hiyo
wameshindwa kusukuma ajenda zao (hizo) ili
zitekelezwe na Serikali na Chama. Inanipa shida
kuamini eti wakipewa
URAISI basi kila kitu
kitakuwa poa. KWANI NCHI HII INAONGOZWA NA
MAWAZO/MAAMUZI YA RAISI au ya CHAMA
TAWALA??!!
Matumaini
tunayopewa si ya kweli, hayakubaliki na wala hayawezekani.
Raisi yeyote atakayepatika ni lazima
afuate, aheshimu na atekeleze
ajenda za
Chama chake. Kwa asilimia kubwa, hata baada ya uchaguzi
wanaongoza Chama watakuwa ni wale waliopo leo.
Kama walikataa
mabadiliko, walishindwa
kutekeleza ajenda za kutuvusha, kutupeleka
kwenye matumaini, basi raisi ajaye miongoni
mwao HATAWEZA!
Kubwa hapo
ni moja: Wote hawazungumzii TATIZO LA WATANZANIA kukosa
maendeleo ni nini? Kama hawaweki wazi TATIZO,
basi hata SULUHISHO
wanalofikiria haliwezi
kuibadilisha nchi wala watu wake.HAKUTAKUWA NA
MAAENDELEO hata kwenye awamu ya 5!
TUSUBIRI
On Tue, 2 Jun 2015 07:47:59 +0000 (UTC)
"'mwassa jingi' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
> Japhet hoja yako ni ya msingi
sana na naomba waandishi na wachambuzi
>wenzangu tuzingatie hoja hii.Mwassa
>
> From:
'Japhet Makongo' via Wanabidii
><wanabidii@googlegroups.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, June 1, 2015 11:47 PM
> Subject: [wanabidii] Re; Tunahitaji
maelezo ya upande wa pili wa
>wanaotangaza nia
>
>
Tumewasikia na tunaendelea kuwasikia wanaotamani kuongoza
nchi yetu
>miaka 5 ijayo. Wanaeleza
mambo mengi watakayofanya kwa mbwembwe za
>kila aina. Kimsingi hivyo ndivyo ilivyo, ni
wajibu wao. Vyombo vya
>habari vina kazi
kubwa kufahamisha umma haya yote. Ombi langu kwa
>vyombo vya habari, sambamba na kutujuza
wanayosema hawa waheshimiwa
>tunatarajia
kusikia pia yale wasiyosema. Upande wa pili wa
>shillingi...wa kuwasaidia kueleza udhaifu
wao wa nyuma ambao kwa
>namna moja
unaweza kuwa umechangia kushidwa kwa utawala unaondoka, na
>hasa waow akiwa sehemu ya utawala hu.
Tusaidieni kuweka hadharani
>tetesi zinazohusu udhaifu wao ambao
hawawezi kusema. Hii itasaidia
>wa-Tz
kufanya maamuzi sahihi.
>
Makongo ----------------------------------------------------------------Japhet
>Maingu Makongo
>
Director, Ubunifu Associates Ltd
> P.O.
Box 32670, Dar es Salaam, TANZANIA
>
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
> Tel: +253 24 2732125+253 24 2732125,
Mobile:+253 758 270 254+253 758
>570
253CallSend SMSAdd to SkypeYou'll need Skype Credit--
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma
Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
>ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone
posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>legal consequences of his or her
postings, and hence statements and
>facts must be presented responsibly. Your
continued membership
>signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by
>our Rules and Guidelines.
> ---
> You received
this message because you are subscribed to the Google
>Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it,
>send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email
kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
>kudhibitisha
ukishatuma
>
>
Disclaimer:
> Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any
>legal consequences of his or her postings,
and hence statements and
>facts must be
presented responsibly. Your continued membership
>signifies that you agree to this disclaimer
and pledge to abide by
>our Rules and
Guidelines.
> ---
>
You received this message because you are subscribed to the
Google
>Groups "Wanabidii"
group.
> To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it,
>send
an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment