Fadhil pamoja na Mwandosya lakini na Bwana mdogo huyu naye atazamwe-Mwigulu. Ngupula membe akitutia mashaka wengi tunamuacha. Mimi nikiulizwa kwa nini watu wanamkataa Membe nitasema kwa sababu anaungwa mkono na Familia ya Kikwete. Watu wana mashaka kuwa huenda akatumiwa kulinda uhalifu uliofanwa na familia hiyo. Kumbuka watu wananon'gona kuhusu utajili wa familia hiyo kuwa umezuka ghafla
--------------------------------------------
On Wed, 6/3/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, June 3, 2015, 11:10 AM
mimi nampa
nafasi Mwandosya, kwa hawa aambao tayari wameshatangaza nia,
2015-06-03 10:34 GMT+03:00
'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kumpinga
Lowassa ni jambo jingine...lkn kudhani kuwa Membe anaweza
kuwa rais bora wa nchi huo ndio muujiza mkubwa...Kwa hiyo
toeni hoja zote mlizonazo lkn msisahau kuwa Membe naye
hafai...Ngupula
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Mrema kuna watu wamekuwa Hypnotised. Wamelala hawasikii
sauti nyingine. Ninafurahi wapo wanaosikia na wanaanza
kukubali japo kulinganisha sera ya watu na kuwapima wale
wanaosukumwa na shida za watu na wale wanaoonekana kutunga
hotuba kuvutia wasikilizaji Lakini kazi ipo na ni vizuri CCM
ikatoa mgombea ambaye kama wananchi watampa kura asiwe na
harufu ya ufisadi
>--------------------------------------------
>On Mon, 6/1/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
wrote:
>
> Subject: RE: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA
EDWARD LOWASSA!
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, June 1, 2015, 8:15 PM
>
>
>
>
> Tusichoke kuwaelimisha hawa vijana na
> wazee ambao wana umaskini mkubwa wa mawazo, umaskini wa
roho
> zao, na umaskini wa mifuko yao kwani
kinachosababisha
> watu kuwa na mawazao finyu ni kuzidiwa na njaa.
>
> Herment A. Mrema
>
> > Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA
MATUMAINI
> NA EDWARD LOWASSA!
> > From: emuganda@gmail.com
> > Date: Mon, 1 Jun 2015 12:57:10 -0400
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Na yule Mhindi aliyevunjiwa jumba lake kwa amri
ya
> Lowassa and at the end of the day serikali
ikalazimika
> kumlipa millioni 600. Ndio maamuzi magumu hayo ya
> ukurupukaji?
> > em
> >
> > Sent from my iPhone
> >
> > > On Jun 1, 2015, at 4:35 AM,
"'ELISA
> MUHINGO' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
> > >
> > > Molel. Nomb\ unieleweshe. Maji ya ziwa
> victoria lipi Misri kuna ziwa Victoria? Mimi najua Ziwa
hilo
> liko Tanzania. tanzania iliamua kuyatumia maji hayo
si
> waziri pekee. kama Misri ingeamua kutuvamia si waziri
husika
> angeamuru majeshi kupigana na Misri. Huo uamuzi ni
> collective decision. matokeo yoyote yasingekabiliwa
na
> waziri. Kama katika hilo kuna uamuzi mgumu basi
alifanya
> rais. Ndiye alikuwa na uwezo wa kusema Misri wakija
hivi
> tutafanya hivi. Tumezoea ubadhilifu na uzembe ndiyo
maana
> mtu akitimiza sehemu ya wajibu wake tunasema ni
exemplary
> Kutimua Dawasco basi Magufuli ndiye mwenye maamuzi
magumu.
> ametimua makandarasi wangapi. Na Mrema labda twaweza
kumsema
> aliwahi kufanya maamuzi magumu sio huyu jamaa yenu.
> > >
--------------------------------------------
> > > On Mon, 6/1/15, 'lesian mollel'
via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
> > >
> > > Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA
MATUMAINI
> NA EDWARD LOWASSA!
> > > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Date: Monday, June 1, 2015, 2:04 AM
> > >
> > > FUATILIA
> > > VZR BROKwa
> > > utawala wa lowasa hakuna hicho kitu rudisha
hela
> na kaz nje,
> > > nenda same watakusimulia DED alivotimuliwa
baba,
> nenda Egypt
> > > alipofanya maamuz magum kua tutatumia maji
ya
> victoria penda
> > > msipenda, nenda kawaulize city water
waliokuja na
> usanii wao
> > > wa maji fake dar, nini wasema muganda au
humjui
> edo vZr ktk
> > > usimamiaji na ufuatiliajiiiiiHuyu
> > > tuachieni tu aingie ikulu nchi ikae
stable,
> mugandaaa hapa
> > > dar sasa ni tabu alfu kumi ni sawa na mia
hata
> lakini haina
> > > issaue nao twafa wenzako hukju ndio maana
> hatuwatak kina
> > > mwingulu sjiu waropokaji tu wasiokua na
chembe ya
> > > ukwelitchao
> > >
> > >
> > > From: Emmanuel Muganda
> > > <emuganda@gmail.com>
> > > To:
> > > "wanabidii@googlegroups.com"
> > > <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Sent: Sunday,
> > > May 31, 2015 3:42 PM
> > > Subject: Re:
> > > [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA
EDWARD
> LOWASSA!
> > >
> > > Lesian,Nakumbuka
> > > alipoikuwa waziri wa maji Lowassa alikwenda
Mara
> na
> > > akaambiwa viongozi katika wizara yake
> "walitumia
> > > vibaya" hela za umma. Lowassa
kamawaziri
> > > aliwaambia wazirudishe hizo hela na kesi
ikaishia
> hapo. Enzi
> > > za mkoloni na enzi za Nyerere maafisa hao
> wangetimuliwa kazi
> > > na kupelekwa mahakamani.Kwa hiyo mimi naona
hii
> > > ni slogan tu ya kushinda uchaguzi kama
tulivyopewa
> slogan ya
> > > maisha bora kwa kila mtanzania mwaka
> > > 2005.em
> > > 2015-05-31 16:23 GMT-04:00
> > > 'lesian mollel' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>:
> > >
> > >
> > > maamuz magum ni
> > > hivi mganda, mtu amekula rushwa live
anaambiwa
> ajiuzulu
> > > tuuu, haitoshi alipaswa arejeshe
alichokiiiba,
> laki ni kwa
> > > kua maamuz ya ccm na serikali yake
iliokuwepo
> ilikua ni ya
> > > kishikaji hakuna maamuz yeyote
waliochukuliwa
> waliofanya
> > > ufisadi huoo, angel merkel alishawahi kuomba
pccb
> ya kule au
> > > anti corruption bereau yaoliwachunguze
wale
> waliomchangia
> > > kushinda uchaguz kama wanakwepa kodi ama
la,
> hakuna cha
> > > kubebwa lazima uwajibikaji uchukue mkondo
wake,
> > > uwajijibikaji kuanzia kwa mwananchi hadi
> serikali.
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > From: Emmanuel
> > > Muganda <emuganda@gmail.com>
> > > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> > > <wanabidii@googlegroups.com>
> > >
> > > Sent: Sunday, May 31,
> > > 2015 12:01 PM
> > > Subject: Re:
> > > [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA
EDWARD
> LOWASSA!
> > >
> > > Bado sijaelewa kauli mbiu ya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment