Wednesday, 3 June 2015

Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!

mimi nampa nafasi Mwandosya, kwa hawa aambao tayari wameshatangaza nia,

2015-06-03 10:34 GMT+03:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kumpinga Lowassa ni jambo jingine...lkn kudhani kuwa Membe anaweza kuwa rais bora wa nchi huo ndio muujiza mkubwa...Kwa hiyo toeni hoja zote mlizonazo lkn msisahau kuwa Membe naye hafai...Ngupula

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Mrema kuna watu wamekuwa Hypnotised. Wamelala hawasikii sauti nyingine. Ninafurahi wapo wanaosikia na wanaanza kukubali japo kulinganisha sera ya watu na kuwapima wale wanaosukumwa na shida za watu na wale wanaoonekana kutunga hotuba kuvutia wasikilizaji Lakini kazi ipo na ni vizuri CCM ikatoa mgombea ambaye kama wananchi watampa kura asiwe na harufu ya ufisadi
>--------------------------------------------
>On Mon, 6/1/15, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
>
> Subject: RE: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, June 1, 2015, 8:15 PM
>
>
>
>
> Tusichoke kuwaelimisha hawa vijana na
> wazee ambao wana umaskini mkubwa wa mawazo, umaskini wa roho
> zao, na umaskini wa mifuko yao  kwani kinachosababisha
> watu kuwa na mawazao finyu ni  kuzidiwa na njaa.
>
> Herment A. Mrema
>
> > Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI
> NA EDWARD LOWASSA!
> > From: emuganda@gmail.com
> > Date: Mon, 1 Jun 2015 12:57:10 -0400
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Na yule Mhindi aliyevunjiwa jumba lake kwa amri ya
> Lowassa and at the end of the day serikali ikalazimika
> kumlipa millioni 600. Ndio maamuzi magumu hayo ya
> ukurupukaji?
> > em
> >
> > Sent from my iPhone
> >
> > > On Jun 1, 2015, at 4:35 AM, "'ELISA
> MUHINGO' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> > >
> > > Molel. Nomb\ unieleweshe. Maji ya ziwa
> victoria lipi Misri kuna ziwa Victoria? Mimi najua Ziwa hilo
> liko Tanzania. tanzania iliamua kuyatumia maji hayo si
> waziri pekee. kama Misri ingeamua kutuvamia si waziri husika
> angeamuru majeshi kupigana na Misri. Huo uamuzi ni
> collective decision. matokeo yoyote yasingekabiliwa na
> waziri. Kama katika hilo kuna uamuzi mgumu basi alifanya
> rais. Ndiye alikuwa na uwezo wa kusema Misri wakija hivi
> tutafanya hivi.  Tumezoea ubadhilifu na uzembe ndiyo maana
> mtu akitimiza sehemu ya wajibu wake tunasema ni exemplary
> Kutimua Dawasco basi Magufuli ndiye mwenye maamuzi magumu.
> ametimua makandarasi wangapi. Na Mrema labda twaweza kumsema
> aliwahi kufanya maamuzi magumu sio huyu jamaa yenu.
> > > --------------------------------------------
> > > On Mon, 6/1/15, 'lesian mollel' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> > >
> > > Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI
> NA EDWARD LOWASSA!
> > > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Date: Monday, June 1, 2015, 2:04 AM
> > >
> > > FUATILIA
> > > VZR BROKwa
> > > utawala wa lowasa hakuna hicho kitu rudisha hela
> na kaz nje,
> > > nenda same watakusimulia DED alivotimuliwa baba,
> nenda Egypt
> > > alipofanya maamuz magum kua tutatumia maji ya
> victoria penda
> > > msipenda, nenda kawaulize city water waliokuja na
> usanii wao
> > > wa maji fake dar, nini wasema muganda au humjui
> edo vZr ktk
> > > usimamiaji na ufuatiliajiiiiiHuyu
> > > tuachieni tu aingie ikulu nchi ikae stable,
> mugandaaa hapa
> > > dar sasa ni tabu alfu kumi ni sawa na mia hata
> lakini haina
> > > issaue nao twafa wenzako hukju ndio maana
> hatuwatak kina
> > > mwingulu sjiu waropokaji tu wasiokua na chembe ya
> > > ukwelitchao
> > >
> > >
> > >    From: Emmanuel Muganda
> > > <emuganda@gmail.com>
> > >  To:
> > > "wanabidii@googlegroups.com"
> > > <wanabidii@googlegroups.com>
> > >  Sent: Sunday,
> > > May 31, 2015 3:42 PM
> > >  Subject: Re:
> > > [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD
> LOWASSA!
> > >
> > > Lesian,Nakumbuka
> > > alipoikuwa waziri wa maji Lowassa alikwenda Mara
> na
> > > akaambiwa viongozi katika wizara yake
> "walitumia
> > > vibaya" hela za umma. Lowassa kamawaziri
> > > aliwaambia wazirudishe hizo hela na kesi ikaishia
> hapo. Enzi
> > > za mkoloni na enzi za Nyerere maafisa hao
> wangetimuliwa kazi
> > > na kupelekwa mahakamani.Kwa hiyo mimi naona hii
> > > ni slogan tu ya kushinda uchaguzi kama tulivyopewa
> slogan ya
> > > maisha bora kwa kila mtanzania mwaka
> > > 2005.em
> > > 2015-05-31 16:23 GMT-04:00
> > > 'lesian mollel' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>:
> > >
> > >
> > > maamuz magum ni
> > > hivi mganda, mtu amekula rushwa live anaambiwa
> ajiuzulu
> > > tuuu, haitoshi alipaswa arejeshe alichokiiiba,
> laki ni kwa
> > > kua maamuz ya ccm na serikali yake iliokuwepo
> ilikua ni ya
> > > kishikaji hakuna maamuz yeyote waliochukuliwa
> waliofanya
> > > ufisadi huoo, angel merkel alishawahi kuomba pccb
> ya kule au
> > > anti corruption bereau yaoliwachunguze wale
> waliomchangia
> > > kushinda uchaguz kama wanakwepa kodi ama la,
> hakuna cha
> > > kubebwa lazima uwajibikaji uchukue mkondo wake,
> > > uwajijibikaji kuanzia kwa mwananchi hadi
> serikali.
> > >
> > >
> > >
> > >
> > > From: Emmanuel
> > > Muganda <emuganda@gmail.com>
> > >  To: "wanabidii@googlegroups.com"
> > > <wanabidii@googlegroups.com>
> > >
> > >  Sent: Sunday, May 31,
> > > 2015 12:01 PM
> > >  Subject: Re:
> > > [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD
> LOWASSA!
> > >
> > > Bado sijaelewa kauli mbiu ya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment