Friday, 26 June 2015

Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Akichaguliwa mgonjwa, akisepa au kusepeshwa na stress-tutaanza moja na watangaza nia watakuwa double wa sasa mpaka mpiga debe wa bodaboda. Tuandae majeneza. Kuwaje kila atajwaye mgonjwa? Tusiombeane dua baya na dua la kuku halimpati mwewe.

--------------------------------------------
On Fri, 26/6/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 26 June, 2015, 8:19a

Muganga;Kila mtu
ni mgonjwa katika hali ya maisha ilivyo,lakini tunaangalia
nani yupo na nafuu kuweka kukabili majukumu fulani.Hakuna
mkamilifu. Reuben

On Thursday, June
25, 2015 11:17 AM, Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:

Hivi kuna mgonjwa kupita
Lowassa? Mwandosya mgonjwa, Slaa mgonjwa basi tumpe
Makongoro, huyu ndiye chiboko ya Lowassa.
Sent from my iPhone
On Jun 24,
2015, at 3:37 PM, "'Lesian Mollel' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ungana nae,mwandosya mgonjwa na hana hata
sifa za kua rais'kachoooka vile na hana sera sera zake
ni kusema watu hajawahisema ana nini ataklofanya kwa
watanzania,anachowaambia watanzania ni eti lowasa ana
kashfa' ndo sera zake'akisimam mwandosya ni rahis
sana slaa au hata mbatia kujizolea kuraaa hana wafuasi
Lesian

fadhil
fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

ndugu
Tamimu naungana na wewe Mwandosya anatufaa hana historia ya
ufisadi, na maisha yake ni kawaida, haiwezekani mtu
akiulizwa umepataje utajiri wako anasrema yeye ni kingozi na
umasaini ukiwa kiongozi unapewa ngombe wa kuchinja wakija
wageni ili usipate tabu.

halafu anasema ana ng'ombe kati ya
8000 mpaka 10000, hivi utajiri alikuwa nao ni sawa wa hiyo
mifugo aliyoitaja, tunajua bei ya ng"ombe jamani
tusidanganyane

2015-06-24 21:45 GMT+03:00
Tamimu Gillo <tamimugillo@gmail.com>:
Mimi kwa muono
wangu nadhani Tunahitaji Rais aliye msafi,asiye zongwa na
rushwa yeye binafsi wala wanaomzunguka,upo msemo wa
waswahili unasema ukitaka kumjua mtu tazama
wanaomzunguka,,,bw.Frank Maziku nimependa comment yako safi
sana unatuonesha njia wacha mimi nijilipue nadhani walau
Prof Mark Mwandosya anatufaa kutusukuma.....

Tamimu
Adamu Gillo.
Young Journalist.
Songea,Tanzania.
 +255753337420
"Vijana
kwanza"

2015-06-23 21:20 GMT-07:00
fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Licha ya kujisambaza vijijini
upinzani pia unakazi ya kujenga uwazi na demokrasia ya kweli
ndani ya vyama vyao na viache kufanya maigizo.
Haiwezi miaka yote wawe kina lipumba tu wakijitokeza
wengi wanaitwa maamluki na wasaliti.
On Jun 23, 2015 11:43
PM, "Choli Gogo" <choligogo@gmail.com> wrote:
Kwa mtazamo wangu
Binafsi nataka mtu ambae anaweza kusema hadharani wewe ni
mla rushwa...Kwa mara ya kwanza ndani ya ccm mtu ambae
sikuweza hata kufikiria anaweza taja jina wewe ni
Mla Rushwa basi ni Charles Makongoro baada
ya kusema wazi na kukemea Amenifanya niamini
pengine anaweza sahihisha makosa ya Wazee (mfano baba ake
mzee Nyerere).
Mwingien baada ya kusikiliza Hotuba
yake nikaona ana make sence ni Professor
MUHONGO.Hii ni kwa Upande wa CCM..vyama vya
Upinzani nadhani vijikite katika kujenga upinzani Bora
kuanzia vijijini ili tuwe na mbadala
 kwa ajili ya maendeleo na si kukimbilia
Ikulu
Haya ni maoni
yangu
2015-06-12 7:52 GMT-04:00
'Frank Maziku' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ahsante sana Mwandishi umeandika
vema,Pia unaonekana unaona mbali,lakini kwa niaba ya wengine
nikuulize Jambo Moja tuu,Watanzania tumekuwa na Tabia ya
kukataa kitu kwa nia Njema tuu BILA kutoa mbadala,huyo hafai
je nani mbadala wake/anaefaaa,kutupa mawazo ya upande Mmoja
naona Kama umetunyima Utamu ambao imebakia nao wewe
Mwenyewe!

Au ndio tusubirie Tuchaguliwe,Kuwa Watanzania Bado hatujawa
na uwezo wa kuchagua?

Mi nimeshapoteza kura hata bado sijajua nimpe Nani,labda
ikifika siku hiyo ndo ntajua!

Ahsante!

Sent from my iPhone

> On Jun 12, 2015, at 2:18 PM, "'mpombe
mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>

> Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia
wewe ni nani

>

> SIKU Edward Lowassa alipotangaza rasmi kugombea urais
wa Tanzania nilibahatika kumsikiliza na nilishuhudia umati
mkubwa wa watu waliofurika kumsikiliza. Ni kweli yalikuwa ni
mafuriko ya watu.

>

> Sijui kama walikwenda kwa hiari yao au walilipwa ili
waende kwenye mkutano huo. Hilo sijui wala si ajenda yangu
kwenye makala hii. Jambo ambalo ninataka wasomaji wa makala
hii walizingatie ni aina ya watu waliokuwepo kwenye mafuriko
hayo, kwani ndege wenye manyoa yanayofanana ndiyo wanaoruka
pamoja.

>

> Tumeona utawala wa Rais Jakaya Kikwete. Rais aliyeingia
kwa hamasa kubwa akibeba matumaini na matamanio ya mamilioni
ya Watanzania . Utawala wa Kikwete ulikuja na kila ahadi za
kurudisha utukufu wa Taifa. Lakini Kikwete atakapoondoka
mwezi wa kumi mwaka huu, Je atakuwa amefanikiwa kurudisha
heshima ya taifa letu? Na wakati wa mchakato wa kugombea
urais, Watanzania wengi walimuunga mkono Kikwete hadi baadhi
ya viongozi wa dini walifikia kusema alikuwa chaguo la
Mungu. Walisema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu!

>

> Leo ukisema kwamba Kikwete alikuwa chaguo la Mungu,
sijui kama Watanzania wengi watakubaliana na wewe. Sijui.
Rais Kikwete alitengeneza mtandao uliomsaidia kuingia
Ikulu.Lowassa ametengeneza mtandao unaomsaidia aingie
Ikulu.

>

> Isipokuwa katika maelezo yake Lowassa, amejitahidi
kujitofautisha na Kikwete na hasa aliposema suala la urafiki
wao lisihusishwe katika azma yake ya kuomba nafasi ya kuwa
rais. Anawataka Watanzania wampime kama yeye binafsi na
wasilihusishe suala la urafiki wao.

>

> Sijui kwa nini kwa sasa Lowassa anajitenga na Kikwete.
Lakini Watanzania wanakumbuka Lowassa aliwahi kusema urafiki
wao si wa kukutana barabarani.

>

> Kwa kuwa Lowassa anaomba nafasi ya nyeti ya urais ni
muhimu Watanzania wajiridhishe bila shaka yoyote Lowassa ni
nani. Na je anaweza kukabiliana na changamoto zinazolikabili
Taifa letu hasa ufisadi, rushwa na kuporomoka kwa
maadili.

>

> Mwalimu Nyerere katika kitabu chake, Nyufa, cha mwaka
1995, alisema: "Sasa Tanzania inanuka rushwa… tunataka
kiongozi anayejua hivyo, ambaye atasema rushwa kwangu mwiko,
mwaminifu kabisa kabisa, hawezi kugusa rushwa na… watoa
rushwa watamjua hivyo. Lakini hatutaki aishie hapo tu, maana
haitoshi wewe mwenyewe uwe mwaminifu…Unaweza ukawa wewe
mwaminifu kabisa kabisa, lakini una shinikizo la ndugu zako,
jamaa zako na marafiki zako."Kwa hiyo si inatosha wewe
kuwa mwaminifu tu, lakini uwe na uwezo wa kuwaambia jamaa
zako kwa kauli ambayo wataiheshimu na hawatarudia tena.

>

> Unawaambia jamaa na rafiki zako kwa dhati kabisa…
Ikulu ni mahali patakatifu, mimi sikuchaguliwa na wananchi
wa Tanzania kuja kupageuza pango la walanguzi na hakuna
serikali yoyote duniani inayoongozwa bila miiko".

>

> Zipo taarifa zinazoeleza kwamba fedha nyingi zimetumika
katika kufanya maandalizi ya mkutano wa Arusha uliosababisha
mafuriko ya watu. Aidha, ndugu Lowassa mara kadhaa amekiri
kwamba marafiki zake ndio wanaomchangia kufanikisha safari
yake ya matumaini.

>

> Hivyo fedha nyingi anazochangia kwenye harambee kwenye
misikiti na makanisani nyingine anatoa yeye na nyingine
anachangiwa na hawa marafiki zake ambao wengi wao ni wafanya
biashara matajiri na wengi wao ni wale waliotajwa kwenye
kashfa za ufisadi na tuhuma mbalimbali.

>

> Hawa marafiki zake Lowassa wamesaidia sana kumjua
Lowassa ni nani, kwani wahenga walisema, "Nionyeshe
marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani au wewe una
tabia gani".

>

> Hawa marafiki zake na Lowassa wanaweza kuwasababisha
Watanzania wamtilie shaka Lowassa kama anaweza kuwa safi na
kustahili kupewa dhamana ya kuongoza nchi. Naomba
niwakumbushe kauli ya Mwalimu Nyerere kuhusu mmoja wa
wagombea urais kwenye NEC Dodoma mwaka 1995, "Hapa
hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si
safi". "Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe nae
chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu.

>

> Hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu! Lakini mtakumbuka mke
wa Kaisari alipotuhumiwa kwa ugoni, Kaisari akaagiza
uchunguzi ufanyike". "Uchunguzi ukafanyika na ikabainika
kwamba si kweli. Lakini Kaisari bado akamwacha, akasema mke
wa Kaisari hapaswi hata kutuhumiwa. Na sisi hapa mgombea
wetu hapaswi hata kutuhumiwa wakati wapo wengine wasafi
ambao hawana tuhuma."Kama mtamteua huyu mimi sitapiga
kampeni. Siko tayari kumsafisha mtu matope halafu nimwombee
kura.

>

> Hapana kabisa . Huyu najua si msafi na nchi nzima
inajua si msafi. Hafai kuwa mgombea wetu".

>

> Aidha, mtakumbuka pia kuwa mwaka 1995, kundi la Vijana
lilimtaka Lowassa ateuliwe kugombea urais wa Tanzania. Hata
hivyo, ilitolewa kauli kuwa Lowassa alikuwa na tuhuma za
rushwa, kujilimbikizia mali na kupungukiwa na maadili,
kinyume na katiba ya CCM na kanuni za chama hicho.

>

> Kamati Kuu ilipopeleka mapendekezo ya kutompendekeza
kugombea urais, Lowassa alitetewa kwa makelele, kihuni, bila
kufuata taratibu za kikao cha NEC Dodoma. Kundi moja
lilikuwa limejiandaa kumpitisha kwa hoja ya nguvu na si kwa
nguvu ya hoja.

>

> Waliyatetea maelezo ya Kamati Kuu, lakini waliyakataa
yale ya nyongeza aliyoyatoa Mwenyekiti Ali Hassan Mwinyi
(Rais wa wakati huo) ambaye alielezea tuhuma hizo zilizokuwa
zinamkabili Lowassa. Hivyo, naomba kusisitiza kwamba Lowassa
hakuwa chaguo la CCM katika uchaguzi wa mwaka 1995. Katika
kikao hicho cha Kamati Kuu, Mwalimu Nyerere aliamua kusaidia
kikao kwa kutoa maelezo ya nyongeza.

>

> Aliwauliza wajumbe wa NEC maswali, kwamba wao ni wahuni
au ni viongozi wa CCM? Ikiwa wao ni viongozi wa CCM, je,
hivyo ndivyo wanavyopaswa kumtafuta mgombea wa urais, kwa
makelele?

>

> Kama Watanzania wangewaona walivyokuwa wanafanya katika
kikao hicho, je, wangeamini kuwa wao ni viongozi kweli?
(Wajumbe walibaki kimya). Kisha Mwalimu aliendelea
kusisitiza maelezo aliyoyatoa Mwenyekiti Ali Hassan Mwinyi
akisema: "Mwinyi amemstahi sana Lowassa".

>

> Hakuwaambia wajumbe wa NEC baadhi ya tuhuma mbaya
kabisa kuhusu Lowassa. Ikiwa NEC inachoombwa ni kuchagua
kati ya wenye tuhuma za rushwa kuchaguliwa kwa nafasi ya
urais, na wale wasioitaka, basi huu ni wakati muafaka kwao
kuipeleka hoja hiyo mbele ya Watanzania waiamue kwa kuwa
ndani ya NEC hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza mwenzie, wote
ni wajumbe sawa kwa mujibu wa katiba ya CCM".

>

> Hatimaye kikao cha NEC kiliondoa jina la Lowassa,
kikawateua Benjamin William Mkapa, Cleopa David Msuya na
Jakaya Mrisho Kikwete kuwa wagombea. Majina
yaoyaliwasilishwa kwenye Mkutano Mkuu ambao ndio uliopaswa
kumchagua miongoni mwao kuwa mgombea

>

> Mwandishi Fred Mpendazoe

>

> Toleo la 409: Jun 10 2015

>

> --

> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

>

> Kujiondoa Tuma Email kwenda

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>

> Disclaimer:

> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.

> ---

> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.

> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment