Kwa hili niseme tu...subirini mtu kama Membe akipita....urais CCM itausikia radion tu...
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Erooo Mollel-kama hakuna ajira kwa wenye degrii hakuna pia ajira kwa Maasai kijijiji, Kwere, Lugulu, Mangati, Safwa, Vidunda, Manyema 120+ tribes. Vitoto kuuza kahawa, karanga, wamama wa kimasai na ile morani kuuza dawa za ngiri, za nguvu za me na ke mijini ni kujitakia.
>
>Kama ingekaa kijijini na kupanda mbonga ikauza hotelini kama invyofanya NCAA, ikafug Heifer ng'ombe ya kisasa kama inavyosaidia Heifer International Tanzania support ikauza masiwa na mutu ile Mh Lowasa ingeweka Kituo ya kukusanya masiwa kampuni ya Azam ingenunua masiwa hiyo na kutuusia masiwa safi. Vituo ya mifugo iko nyingi nchini.
>
>Anyway- Mtanzania asitegemee kupewa ajira bali kujitafutia pale alipo. Akina mama wa kimasai wapo active sokoni iwe masoko ya ndani ya NCAA, Olbalbal, Terrat au wapi utawaona wanauza mpaka mboga za majani. Wakulima wana opportunities nyingi pamoja na vikundi vya kuzalisha mali kujiunga, kupata gari la chakula barafu na kusafirisha kupeleka hoteli mijini. Tatizo ni kikundi kinapoundwa-wanachama kugombea madaraka na kuwa mafisadi mpaka kukiua. Vikundi vingi vinakufa kwa tabia zetu za uroho wa madaraka na ufisadi. Kila kona ndio hivi. Wahisani wa ndani na nje ya nchi husaidia kuvianzisha na hufa baada ya muda mfupi. Kubadilisha uongozi tabua na akibadilishwa kiongozi anahama au kupoteza files hakuna maendeleo. Hata networking NGOs ziwe za pastoralists au wakulima ni ufisadi mkubwa. Masoko mengi Tanzania wauzaji sokoniwanatoa kodi. Lakini hali ya soko mbaya-mabanda yanavuja, uongozi unakusanya mapato lakini huoni kuboresha soko. Wanaweza wakajenga la ghorofa
> kwa kufungua account ya chama/umoja wao, members wakanunua hiza, wakaweka mihela, wakamlipa contractor ajenge ghorofa au kumwomba Mchechu awajengee. wakaweka storage facilities pamoja na cold storage; wakaweka restaurants za natural foods juu ghorofani ya milo ya makabila mbali mbali-hata watalii wangekwenda kula iwe mwenge sokoni dar, mabibo, kariakoo, Ilala sokoni, buguruni au unga limited, kijenge, mbuyuni Arusha. Tupo kama Robot hatujitumi. Ila kunywa pombe ukiwa bar kando la bwawa la kinyesi la mabibo-poa ni kama kawaida.
>
>Unayemtetea wewe sawa sio sisi. wengine hatujaona mabadiliko jimboni kwake pamoja na kuwa billionea. bado mnahanja na mifugo kila kona, kunywa maji machafu kuchangia na mifugo hivyo kuongeza matatizo mengine ya kunywa maji ya kinyesi cha mifugo na dip ya mifugo. Tunawapewa marafiki zetu wafugaji lakini tunaomba wafuge kisasa wakati umefika; watulie pamoja watoto wasomeshwe waishi na wazazi wapate love sio kutegemea NGOs, outsidered kugharimia shule zao. Ninyi matajiri-tumieni utajiri kimaendeleo. Vijana wafuge kisasa wasitegemee kazi za ulinzi mijini-madhara ni mengi. Kule penye raslimali nyingi tunasema wabongo tubadilike-tujikwamue tuache kubweteka. sasa mbunge ambaye yupo yupo, jimboni haonekani, hajafanya lolote-halafu anatuambia yeye ndio jibu-hatumuelewi; Maamuzi magumu?! kweli hata jimboni hujazuia watu kufuga beyond land's carrying capacity na waache kupima uwezo wa mkuki kwa kupasua bomba la maji na kuwapa akina mama shida ya kusaka maji kwa
> punda. Tunataka mbunge atakayeshirikiana na viongozi wa chini, taasisi GVT na Non-GVT kuhamasisha bottom-up development; tunataka Rais anayeona mbali, mwenye uthubutu na maamuzi kusukuma gurudumu kila sekta ifanye kweli. Kuogopana na kulindana ni tatizo. Kura ya watanzania inaweza ikababaishwa na vijisenti wanavyopewa wakamchagua mtu asiyefaa. Ila tunaomba tu kamati husika na kuteua majina ya mwisho ifanye maamuzi magumu tumpate anayestahili tusonge mbele. Ubishani una mwisho wake baada ya matokeo kutoka. Tutayarishe majeneza tu!! Ulitegemea jina litapita au utakuwa rais kumbe kapa!
>
>
>--------------------------------------------
>On Thu, 25/6/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] CCM imethibisha kuwa mgombea wake ndiye Rais wa Tanzania na hakuna mtu maarufu zaidi ndani ya chama hicho
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, 25 June, 2015, 13:45
>
> Unaadika makala as if wewe ur odering
> cc au as if unaakilisha maoni ya watanzania ni kosa,et
> wananchi wanategemea cc kuteua.......wewe sema mimi
> nategemea cc au nec kuteua......usisemee watu
> La pili huwez kupelekea watu jitu zoba zoba lisilo na sera
> au poyoyo akiambiwa hutubia analia au anaishia kulaum au
> kulalamika au kusema majungu oooh fulani mwiz wa
> richmond....au anakusanya watu,ooor kaiba esrow u know am
> always loughing tena jamaa ni lisomi nguli kabisa
> Napenda kuona mtu mwenye haiba,mvumilivu,asieropoka ovyo na
> mwenye sera,anaetoa matumain mapya kwa taifa hili ambalo
> halina tena matumain,ajira vijana washakata tamaaa,kina mama
> hoi,vitoto viko tu vinatumikishwa kuuuza kahawa na karanga
> kwenye mabaa na kufanya kaz za kitumwa majumbani......no
> hope at all halafu unapewa mic unaanza kulaum badala ya
> kutuambia utatutoeaje hapaaaaaaaaaaaaaaaa
> Lesian
>
> 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >
> >Sera inaonekana kuwa-waache wajimalize wenyewe!!
> Unapokuwa huwezi kumwambia uwazi usiyemtaka, unamuwekea
> mazingira tata anajimaliza mwenyewe. Ona utitiri wa mpaka
> mtu wa std 7 anaruhusiwa kuchukua form. Ina maana, misingi
> na vigezo vya uchaguzi hakuna? Hata matangazo ya kazi yana
> vigezo wanaangika-uwe na degree ya accounting na ukiwa na
> uzoefu wa miaka kadhaa ni added advantage. Ina maana uzoefu
> lakini uwe na usomi wa suala hilo uweze kuwa na ufanisi
> kazini ukashauri na kuongoza masuala ya account kampuni
> isiende mrama. Unapoacha watu 36 kuchukua form ya Urais kitu
> kikubwa hiki kuna mchezo wa foriti-tunahoji-pamoja na
> kukomaa kwa demokrasia-kuna dosari ktk chama chetu. Nini
> hasa ni nia ya kuacha iwe hivi? Mungu atusaidie.
> >
> >--------------------------------------------
> >On Thu, 25/6/15, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] CCM imethibisha kuwa mgombea
> wake ndiye Rais wa Tanzania na hakuna mtu maarufu zaidi
> ndani ya chama hicho
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Thursday, 25 June, 2015, 10:03
> >
> > Nimeipenda hii maada, hisia
> > zangu zinanitumakuwa ndani ya ccm hakuna kiongozi na
> wao
> > wanalijua hili. Kama wangekuwa naye mmoja
> wangemsimamisha
> > kwa kauli moja lakini kwa vile hawana kila mmoja
> anataka
> > kujaribu bahati yake hata kama anajiona
> hatoshi.Hawaaminiani
> > wenyewe kwa wenyewe je sisi tutawaamini vipi? Pamoja
> na
> > demokrasia lakini ni aibu kwa hili wanalofanya
> >
> >
> > From: mngonge franco
> > <mngonge@gmail.com>
> > To:
> > "wanabidii@googlegroups.com"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
>
> > Sent:
> > Thursday, June 25, 2015 9:24 AM
> > Subject: Re:
> > [wanabidii] CCM imethibisha kuwa mgombea wake ndiye
> Rais wa
> > Tanzania na hakuna mtu maarufu zaidi ndani ya chama
> hicho
> >
> > Kwa maneno haya "Hadi sasa, CCM ni chama
> > pekee ambacho kimeweza kubeba haiba na taswira
> > ya utaifa na Chama chenye hazina ya viongozi,
> demokrasia
> > pana na mifumo". Fikiri na jiulize mara mbili mbili,
> > bila shaka hizi ni feeling na mapenzi ya mwandishi wa
> makala
> > hiyo haina uhalisia wala data zozote.
> >
> > Watu kukaa kimya au kuhudhuria mikutano kuna
> > vitu wanavitafuta, kama ni mfuatiliaji wa mikutano ya
> Kinana
> > utagundua watu wengi huenda kwenye mikutano kulalamika
> siyo
> > kusifia chama kwamba kinafanya vizuri. Ni haiba gani
> chama
> > kimebeba? Ni aina gani ya hazina ya viongozi waliobebwa
> na
> > CCM? Power mongers au viongozi waadilifu? Ni demokrasia
> gani
> > pana? Think twice before raising such concerns. Wako
> > watanzania zaidi ya milioni 45 sijui mwandishi ana
> uhakika
> > gani kama watu wote wenye talent na uwezo wa kuongoza
> wako
> > ndani ya CCM. Mara nyingi kiongozi mzuri hakurupuki na
> > kujitangaza kwenye vyombo vya habari bali uonwa na watu
> na
> > kuombwa awaongoze. Namalizia kwa maneno" Kibaya
> > ujitembeza na kizuri chajiuza"
> >
> > 2015-06-24 21:09 GMT+03:00
> > 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> >
> >
> > KWA zaidi
> > ya mwezi mmoja sasa, macho na masikio ya Watanzania
> yamekuwa
> > yakielekezwa kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambako
> pazia
> > la uchaguzi wa ndani ya Chama wa kumsaka mgombea urais
> > lilifunguliwa. Hadi sasa wagombea wasiopungua
> > 38wamejitokeza, baadhi wametangaza nia na wengine
> wamechukua
> > fomu bila kutangaza nia hadharani kama wengine.
> >
> >
> >
> > Mwitikio wa wananchi na vyombo vya habari umekuwa
> mkubwa
> > sana kiasi kwamba wananchi na vyombo vya habari ni
> kama
> > wamesahau kuwa kuna matukio mengine yanaendelea
> nchini,
> > ikiwamo Bunge la Bajeti mjini Dodoma, ambalo kwa
> kawaida,
> > huvuta msisimko kuliko tukio lolote lingine la
> kitaifa.
> >
> >
> >
> > Somo kubwa ninaloliona ni ule ukweli kuwa pamoja na
> mawaa
> > yake, bado Watanzania wengi, wenye vyama na wasio na
> vyama,
> > wanaitazama na kuitumainia CCM kwa uongozi wa nchi.
> Ukweli
> > huu unaakisi ile nasaha ya Baba wa Taifa Mwalimu
> Julius
> > Kambarage Nyerere kuwa "Rais wa nchi yetu anaweza
> kutoka
> > Chama chochote cha siasa, lakini Rais bora wa Tanzania
> > atatoka CCM".
> >
> >
> >
> > Hadi sasa, CCM ni chama pekee ambacho kimeweza kubeba
> haiba
> > na taswira ya utaifa na Chama chenye hazina ya
> viongozi,
> > demokrasia pana na mifumo. Pengine ndio sababu wananchi
> na
> > vyombo vya habari hawaonyeshi shauku hiyo hiyo kwa
> michakato
> > inayoendelea ndani ya vyama vya upinzani ikiwemo vile
> > vinavyounda Ukawa, maana vina wigo finyu wa demokrasia
> ya
> > ndani ya vyama hivyo na isitoshe wagombea wake ni wale
> wale
> > wa siku zote. Na wengine wanapoonesha nia huundiwa
> zengwe na
> > kufukuzwa.
> >
> >
> >
> > Jambo ambalo halina mjadala ni kuwa Watanzania
> wanahitaji
> > mabadiliko ambayo yatawatoa katika lindi la umasikini
> na
> > ufisadi. Pamekuwepo na chambuzi mbalimbali hapo nyuma
> > zikihitimisha kwamba kiu hiyo ya Watanzania ya
> mabadiliko
> > ilimaanisha kuchoshwa na CCM, ama kuitoa CCM
> madarakani.
> > Tofauti na chambuzi hizo, tunachokishuhudia ni
> wananchi
> > kuendelea kuamini mabadiliko haya yanaweza tu kutokea
> na
> > kuletwa na CCM na si nje ya CCM.
> >
> >
> >
> > Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika
> Desemba
> > mwaka jana yanatupa fundisho kubwa. Kwa matarajio ya
> > wapinzani, kufanyika kwa uchaguzi ule baada ya Bunge
> la
> > Katiba kukamilisha Katiba Inayopendekezwa tuliyoambiwa
> > imechukiza wananchi, na kufuatiwa na mjadala wa Bunge
> wa
> > sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, CCM ingeanguka
> katika
> > uchaguzi wa serikali za mitaa. Pamoja na yote hayo,
> CCM
> > ilipata asilimia 84 ya kura ikilinganishwa na
> wapinzani
> > waliopata 16.
> >
> >
> >
> > Ukiachana na picha ya jumla inayoonyesha kuwa asilimia
> za
> > ushindi kwa wapinzani zilipanda kutoka asilimia nne
> mwaka
> > 2009 hadi 16 mwaka 2014, ukifanya uchambuzi wa kina wa
> > maeneo waliyoshinda wapinzani, utaona kwa kiasi
> kikubwa,
> > pale wapinzani walipoongeza viti, ushindi wao ni
> matokeo
> > zaidi ya hujuma zilizosababiswa na teuzi za ndani za
> CCM
> > kuliko jitihada na mkakati wa ushindi wa upinzani.
> >
> > Ndio sababu kuna mtawanyiko wa viti walivyoshinda
> > wapinzani ndani ya kata, wilaya na mikoa ambao
> ukiujumlisha
> > haukupi uhakika wa kusema kata, jimbo au wilaya fulani
> > imechukuliwa na upinzani. Kwa kifupi, ushindi wa
> upinzani
> > hauonekani kuwa ushindi wa kimkakati.
> >
> >
> >
> > Kabla ya CCM kutangaza ratiba yake ya uchaguzi,
> kulikuwepo
> > na manung'uniko na lawama kutoka kwa wananchi tena
> wengi
> > wasio wanachama wa CCM kuhusu kuchelewa kutangazwa kwa
> > ratiba ya uchaguzi wa CCM. Binafsi, haikunishangaza
> sana
> > kutokana na ukweli kuwa, kwa ukubwa wake na dhamana
> yake,
> > CCM si ya wana CCM peke yao bali inamhusu kila
> Mtanzania.
> >
> > Ndio kusema, yale maneno ya Baba wa Taifa ya mwaka 1995
> kuwa
> > CCM ikishatangaza mgombea ni kama imeshatangaza Rais wa
> nchi
> > yetu bado yangali mujarabu hadi sasa.
> >
> > Katika uhai wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere
> alishauri
> > kutokana na ule uhalisia kwamba upinzani wetu bado ni
> > dhaifu, na kusababisha mgombea wa CCM ndiye awe Rais,
> ni
> > muhimu kwa mgombea urais CCM akajulikana mapema zaidi,
> > ikiwezekana mwaka mmoja.
> >
> > Aliamini kwa kufanya hivyo, wananchi wote, hasa wale
> > walio nje ya CCM watapata pia muda wa kutosha kumjua
> na
> > kumpima, maana ndiye mwenye uwezekano mkubwa wa kuwa
> Rais
> > wao. Utamaduni huu wa Chama kutangaza mgombea wake
> mwaka
> > mmoja hutumika pia na jirani zetu wa Msumbiji.
> >
> >
> >
> > Utaratibu huo wa kumtangaza mgombea wa Chama mapema
> zaidi
> > unasaidia kukilazimu Chama kuchagua mgombea muadilifu
> maana,
> > wananchi wanakuwa na muda mrefu wa kumjua tofauti na
> > utaratibu wa sasa ambapo hutangazwa muda mfupi na
> kuingia
> > katika Uchaguzi Mkuu. Salama pekee katika utaratibu wa
> sasa
> > uko katika uthabiti wa mifumo na vikao vya Chama
> katika
> > kuhakiki, kuchuja na kuchagua mgombea. Kwa lugha
> nyepesi,
> > tumewekeza matumaini na imani yetu kwa wajumbe wa CCM
> > wasiozidi 2,300 kutuchagulia Rais wa Tanzania, na sisi
> > kubaki na jukumu la kumthibitisha tu.
> >
> >
> >
> > Katika zama hizi ambazo tunasikia kuwa wajumbe wa
> vikao
> > hivyo hupata nafasi hizo kwa fedha, na hivyo pia
> kununulika
> > na wagombea kwa fedha, kuna shaka kuwa wale wasio
> waadilifu
> > wanaweza kununua njia yao ya kwenda Ikulu. Maana
> > unachotakiwa kufanya ni kuwanunua wajumbe wasiopungua
> 1,500
> > tu. Ni kwa sababu hii, kumekuwepo na hofu kubwa
> miongoni mwa
> > wananchi kwamba vikao vya Chama vinaweza kuteleza na
> > kuchagua mgombea urais kwa vishawishi vingine nje ya
> sifa za
> > mgombea, mahitaji ya wakati na mahitaji ya nchi.
> >
> >
> >
> > Hofu hiyo ya vikao vya Chama kutumika kupitisha
> wagombea
> > wasio wasafi imetulizwa na kauli ya Mwenyekiti wa CCM,
> > Jakaya Kikwete. Wana CCM wengi na wananchi wamefarijika
> na
> > kauli ya Mwenyekiti kuwa Chama na vikao vyake
> havitayumba
> > katika kumchagua mgombea wa urais wa CCM. Muhimu zaidi
> ni
> > pale aliposema kuwa CCM haina nafasi kwa yule
> anayenunua
> > uongozi kwa fedha, au yule ambaye mienendo, matendo na
> haiba
> > yake haviakisi uadilifu na anachukiza wapiga kura
> ambao
> > wengi wao si wana CCM.
> >
> > Kauli ile ilituliza mioyo ya wengi maana kulianza
> > kuwepo shaka ya kuwepo nafasi kubwa kwa wenye fedha
> chafu na
> > tuhuma za kifisadi kupitishwa, hasa kwa tambo zao za
> > kukiweka Chama mfukoni au kutaja idadi wa wajumbe ambao
> wapo
> > katika daftari lao la malipo.
> >
> >
> >
> > Kufunguliwa kwa pazia la uchaguzi wa ndani ya CCM
> kumefufua
> > matumaini mapya kwa Watanzania wote. Kujitokeza kwa
> > watangaza nia wengi tena waliosheheni sifa kumeondoa
> ile
> > hofu iliyokuwa imetanda kuwa yuko mtangaza nia mmoja
> ambaye
> > tayari amekwishashinda na amekuwa akisubiri tu
> kukamilisha
> > ratiba ya chama atangazwe. Maana tumeshuhudia wenyeviti
> wa
> > CCM na wajumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM
> > wakisimama nyuma ya kila mtangaza nia aliyejitokeza.
> >
> >
> >
> > Tunachokiona katika mchakato huu wa kutangaza nia ndani
> ya
> > CCM ni ushahidi kuwa hakuna mwenye hatimiliki ya
> kugombea
> > urais wala mwenye uhakika wa ushindi. Zaidi, tumeona
> kuwa
> > ndani ya CCM hakuna ukame wa viongozi wenye uwezo wa
> > kumrithi Rais Kikwete kama tulivyokuwa tunaaminishwa
> na
> > kikundi fulani. Hii inaendelea kudhihirisha ubora wa
> CCM
> > kama chama kilicho imara kushinda mtu na kuwa hakuna
> mwana
> > CCM maarufu kushinda Chama.
> >
> >
> >
> > Haitashangaza pia, kwa wingi huu wa waliojitokeza,
> > hapatakuwa na ugumu wa kupata wagombea walio safi
> zaidi.
> > Maana wingi wa watangaza nia unaondoa ile sababu ya
> kufumba
> > macho na kumpeleka kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu mgombea
> hata
> > yule asiyefaa kwa kisingizio aidha cha uchache wa
> wagombea
> > wenye sifa, au uchache wa wagombea waliojitokeza. Wana
> CCM
> > na wananchi hawatarajii kuona mgombea mwenye madoa
> mengi
> > miongoni mwa wale watakaopita katika mchujo wa kwanza
> wa
> > Kamati Kuu, maana walio safi na wenye sifa
> wamejitokeza
> > wengi wa kutosha hadi sasa.
> >
> >
> >
> > Macho, masikio na mioyo ya Watanzania imeelekezwa CCM.
> Ni
> > matumaini ya Watanzania kuwa CCM haitawaangusha.
> Watanzania
> > wanatamani CCM iendelee kuwa madhubuti, maana
> wanaamini,
> > bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba.
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> > Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> > statements and facts must be presented responsibly.
> Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> > statements and facts must be presented responsibly.
> Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> > statements and facts must be presented responsibly.
> Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >---
> >You received this message because you are subscribed to
> the Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment