Wednesday, 27 May 2015

Re: [wanabidii] Ningekuwa mim ni EL nisingesema yale kwa wahariri wa vyombo vya habari

Ndugu yangu Mpombe Mtalika,

Naiona mantiki ya hoja yako. With the time and the situ in hand nafikiri alitakiwa kuelekea huko ulikoona wewe.

K. E.M.S.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 27 May 2015, 22:08
Subject: Re: [wanabidii] Ningekuwa mim ni EL nisingesema yale kwa wahariri wa vyombo vya habari

What arrogance. Amethibitisha, kwa kufuatana na Karamagi, kama alivyofuatana naye London kwenye mikataba iliyosainiwa hoteli,
'kuwa utakuwa ni ufisadi tu kwa mbele bila aibu. Watanzania tuna choice ya wazi.
em

2015-05-27 4:00 GMT-04:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:
This is a true colour of EL, wenye uwezo wa kuchambua hawatapata shida kuamua wafanye nini wakifika kwenye sanduku la kupiga kura, kama huyu bwana ndiye atateuliwa na CCM kutetea kiti

2015-05-27 9:34 GMT+03:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Yeye na waliomzunguka wote hamna kitu elimu kwanza hali yakuwa kila mwaka karibu vijana laki mbili wa wanatoka vyuoni kutoka kada tofauti tofauti kuanzia certificate mpaka degree wengu wao hukimbilia ktk kilmo sasa unapotaka kupuuza kilimo sijui tukufikiriaje.
On May 27, 2015 8:09 AM, "'Sylvanus Kessy' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nilipokuwa Jeshi la kujenga Taifa miaka ya 90's. ukitaka kujua kama mahali pana Kuruta (wanafunzi wa jeshi) sema HEE- Utajibiwa AFANDE. Kama alikuwa mtoro atakamatwa hapo hapo.

Pia ukiibiwa kitu, ukienda kwa makundi ya watu, ukieleza kuwa umeibiwa, atakayesema HAJAIBA ndiye mwizi.

Nani kasema EL ana maadui?
Nani kasema anahusika na Richmond?

Ok pengine anahusika kadiri ya mifano miwili hapo juu

sk

--------------------------------------------
On Wed, 5/27/15, 'ekabwoto' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Ningekuwa mim ni EL nisingesema yale kwa wahariri wa  vyombo vya habari
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Wednesday, May 27, 2015, 7:34 AM

 I
 mpombe the sear......una hoja zenye mashiko

 Sent
 from Samsung Mobile

 -------- Original message --------
 From: 'mpombe mtalika' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
 Date:
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Subject: [wanabidii] Ningekuwa mim ni EL nisingesema yale
 kwa wahariri wa
   vyombo vya habari

 •  Ningekuwa mim ni EL nisingesema yale aliyosema
 Jana na wahariri kwa sababu
  hayabebi ile dhana ya 'presidential material':

 1. Ningeshukuru CHAMA kwa hatua ya kutuweka huru na kuruhusu
 kuingia ktk mchakato.

 2. Ningewashukuru wanachama, viongozi na watanzania kwa
 ujumla wanaoniunga mkono kwa kuwa na subra ktk kipindi cha
 mpito na ambao walikuwa wanataraji kupokea maamuzi mazuri na
 ya busara vikao vya chama.

 3. Ningeweka wazi nia,na dhamira ya kuomba ridhaa kwa
 wanaccm.

 4. Ningesema kwanin nagombea.
 kueleza mazuri yaliyofanyika ktk kipindi cha awamu ya 4 na
 kuyaendeleza.
 malengo ya baadae na mikakati ya kushughulikia matatizo ya
 nchi yetu.  kuanzisha mbadala wa kitaifa ili
 kukubaliana na muelekeo kuweka vipaumbele vya Taifa ktk
 uekelezaji wa bajeti ya 2016/17 mpka 2020. Mapendekezo yangu
 ni kuwekeza vya kutosha ktk na Elimu, kilimo, miundombinu na
 Afya.

 5. Kuunda serikali makini yenye mchanganyiko wa namna zote
 wazee, Vijana na wanawake. Bila kujali msimamo wake kisiasa
 ndani ya CHAMA, dini, ukabila, na kuimarisha Muungano wetu.
 6. Nina imani wanaccm wenzangu wataniunga mkono na
 nawahakikishia kuwa nchi yetu itapiga hatua ya maendeleo
 makubwa kwa kipindi kifupi kijacho kea kutumia Rasilimali
 Gesi, madini, viwanja, na kilimo.

 7. Utawala wa sheria na kukuza demokrasia ndani ya CHAMA na
 katika nchi yetu.

 Kuanzisha mjadala ,Lazima ujue kuwa ndani ya ccm unapoomba
 urais ndio unaomba au unatazamwa kwa sura ya kuja kuwa
 mwenyekiti wa CHAMA.

 Sasa ukija na wasiotaka wahame?
 Serikali legelege?
 Tukapimwe afya?
 Sihusiki na RICHMOND?
 Noooooooooooooo
 Hapana hapaswi kuwa defensive.
 Nadhani jamaa zake kama akina  watamfikishia ili aache
 mipasho aende kwenye mantiki flow'
 Na aboreshe aafu yake ya washauri wa mambo ya matamko na
 hutuba.
 Then kupunguza 'uchildish' wapambe wa
 hovyohovyo! 

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
 ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment