Mwaka huu tutayaona na kuyasikia mengi. Lakini ningeomba kumuuliza January swali moja tu. Je hii ni mara ya kwanza kuyaona maigizo yakifanywa na wanachama wenzie pamoja na chama chake? Mbona tangu siasa za vyama vingi zianzishwe ndo michezo hiyo? Kwani hakuwasikia waliomsema Sumaye kwamba ana ma trilioni ulaya? Je hakuyasikia ya kumsingizia Salim Muhamed Salimu kwamba ana jeshi Yemeni? Nk. Namwambia naye aache usanii haya ndo mambo ya chama chake
On 27 May 2015 at 14:10, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
season 1, episode 1 ndio kwanza dakika ya kwanza.
Wapi Lesian Mollel.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment