Tuesday, 26 May 2015

Re: [wanabidii] MKUTANO WA EDWARD LOWASSA NA WAHARIRI

Kaka Mabuba,

Waafrica hatujifunzi, mi sijui tuna nini vichwani. Tunaishia kulalamikia viongozi ambao tunawaweka wenyewe kwa makosa!! tena sio kwamba hatuwajui vizur, unakuta wametutumikia na tumeona ubovu lakini tenga lile lile la embe bovu tunachukua inayong'aa vizur ila imeoza kama nyingine. tunashindwa hata kuvumbika kwa lengo lile lile la kusindika.

Sijui tunamlaumu nani sasa. hata hao wazungu wanatuona mapimbi kweli kweli.

Inakuwaje mtu analalamika kubakwa porini then hapigi kelele wala kufurukuta!!! maana yake unafurahia tendo!!

Na kesho tunarudi pori lile lile tena ati "kuni za humu zimekauka zafaa sana kupikia" si tuende pori la kuni mbichi tukaushe wenyewe.

Upuuz tena upuuzi kabisa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment