Safi Elisa kwa mtazamo wako, i like that........................
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 3/25/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 25, 2015, 7:49 AM
Elisa
& Chamani;You have
said it all.Thanks Reuben
On Tuesday, March
24, 2015 6:38 PM, amour chamani <abachamani@gmail.com>
wrote:
Unapata tabu ya
bure.
Bagamoyo iwe na Mashehe 80 bado tu hujaelewa?
Walewale.
On Mar 24, 2015 11:35 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
TUSIPOANGALIA RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS
Ambaye hakijui kisa cha mtoto mdogo kumuumbua mfalme kuwa
anatembea uchi mbele ya watu wazima waliokuwa wanaogopa
kumsema 'vibaya' mfalme anisamehe maana sitakieleza.
Lakini ningependa kusema mimi katika utoto wangu nawaonyesha
watu wazima habari za mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo sana nilizaliwa saa 9
usiku wa kuamkia 5 September 1952 katika zahanati ya
Kashasha. I am a young boy of 63 years now.
Mfalme mwenyewe ni watu hawa wazima walioitikia kwa
kupotosha wito wa Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi mmoja wetu ambaye
hata kama hataki lakini kama anaweza kunamshawishi.
Watanzania wote tunajua kuwa wapo wanachama wa CCM ambao
wanatumikia adhabu ya kuangaliwa mwenendo wao baada ya
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais kabla ya
wakati. Waliofungiwa kufanya hivyo ni pamoja na waziri Mkuu
aliyejiuzuru kwa Kashfa Mpendwa wetu Edward Lowasa, Benard
Membe, January Makamba, Wasira na kadhalika.
Moja kati ya matendo waliyokuwa wanafanya ni kujipitisha
kwenye makanisa na misikiti kujidai wanatoa michango. Watu
wenye akili wakatafsiri matendo hayo kuwa ni rushwa ya
kutaka waungwe mkono wakati wa kugombea urais
Tamko la rais kuwa tunaweza kumshawishi mmoja wetu ambaye
japo hajajitokeza na labda hataki kujitokeza bila shaka
yoyote kwa mtu mwenye akili za kawaida (kila mtu ana akili
lakini si kila mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza na kuonyesha nia
ya kuutaka urais mpaka kufikia hatua ya kufungiwa kuutaka
urais. Haiingii akilini.
Kitu cha ajabu na cha kushangaza watu wazima, viongozi wa
dini eti wameenda kumshawishi mwenzetu Edward Lowasa,
'kumuomba' 'akubali' kugombea urais. Haiingii
akilini katika maeneo mengi.
Tuanzia hapa:
i Yapo maazimio ya Bunge kuhusu
kashfa ya Richmond ambayo nadhani hayajatekelezwa na
serikali. Kama yakitekelezwa huwezi kujua kama hayawezi
kudhibitisha uchafu wa wahusika akilwemo Lowasa wetu.
ii Kashfa muhimu na kubwa ni kuwa
capacity charges zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume ya
bunge ina mgao wa wahusika na haijulikani kama EL hayumo
iii Katika michango ambayo EL alikuwa
akitoa makanisani misikitini na kwingineko inadhaniwa kuwa
huenda sehemu yake inatokana na mgao huo.
iv Kulionekana dalili kuwa kuna mambo
tume ya Bunge chini ya Dr. Mwakyembe ilibakiza mambo fulani
ambayo ingeyatoa kuna watu wangepata shida. Tunakumbuka
aliposema aliwahi kufuatwa na mke wa mtu fulani kumsihi
afiche ukweli wa ripoti. EL hakuacha kutajwa katika hilo.
V Na kadhalika.
Taifa letu lina matatizo makubwa sana. Mengine ni nyufa
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka 1995. Sasa zimemeguka na
kuwa kubwa zaidi. Rushwa sasa imezidi na kupata jina
advanced tunaiita UFISADI.
Kila mwenye akili timamu yuko anaumiza kichwa akitaka kujua
tufanyeje ili tupate kiongozi bora na tumjueje ambaye si
fisadi. Kila mwenye akili sawasawa anajua kuwa aliyekwisha
tajwa kwa hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake kuupata
urais.
Sasa katika mazingira hayo:
1. Viongozi wetu ambao walikuwa
wakipokea michango hiyo haramu wajisafisheje mtu akisema
walinunuliwa na kuandaliwa kwa wakati kama huu?
2. Viongozi wetu hao wana upeo kiasi
gani kukubali kutumiwa kihuni namna hii? Kweli walilenga
kwenda kumshawishi Lowasa agombee kwa sababu wameona amekaa
kimya yaani hafurukuti kugombea? Yaani viongozi wetu
walidhani hawatajulikana kuwa lazima wamehongwa kufanya kazi
hiyo?
3. Wanaweza kusimama na kujitetea mbele
ya waumini wao kuwa walifikiri Lowasa hatajitokeza kugombea
ndiyo maana waliamua kumshawishi na kumchangia fedha?
Wameona wamejitokeza wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
asijitokeze?
4. Wanataka Lowasa aje alisaidie taifa
hili kufanya nini? Wanaona taifa halina nini? Wengine
tunaona taifa ni tajiri, Lina raslimali, lina watu wapole
waelekevu. Shida linakosa kiongozi wa kuukabili ulafi na
kujilimbikiza mali ili mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
mtu mwenye kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti ya Tume ya
Bunge anaweza kupendekezwa na viongozi wa dini? Hii balaa.
Viongozi hao ambao ni waombezi wa Taifa hili kweli wana
dhamira njema?
Siwaelewi. Viongozi hawa wamejua jinsi ambavyo Lowasa
ameleta mgogoro katika viongozi wa kimila wa kimasai? Na
kuwa mgogoro huo ni uimla wa kutaka kuwabambikizia
wanaMonduli mtu anayetaka amrithi ubunge yeye atakapo kuwa
rais? Ndiye wanayetaka aongoze taifa hili?
Lowasa anaweza kuwa rais lakini nafikiri viongozi wa dini
wasingependa kuwa sehemu ya waliomsaidia. Lowasa amesemwa
sana. Kwa hiyo anaweza kuwa rais na akawa mzuri sana hivyo
kutukomesha tunaomsema. Lakini akiwa mbaya kuna
atakayeshangaa?
Rais Kikwete alipoupata urais wakati watu wakitabiri nani
atakuwa waziri Mkuu wapo waliomtaja Lowasa. Wako waliosema
haiwezekani akawa Lowasa. Sababu zilikuwa kwa sababu ni
rafiki wa JK basi (JK) atashindwa kumdhibiti. Waliosema
anaweza kuwa Lowasa walisema atajitahidi kutomudhalilisha
rafiki yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si viongozi wa siasa wa
chama chake. Hayo tumeyazoea. Mitandao ilikotufikisha ni wao
hakuna zaidi. Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo wameelekezwa
na wanamtandao na ni haki yao. Wanakomea hapo. Siwashangai
vijana wa bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta wakishajaziwa
mafuta ya pikipiki zao basi. Nini zaidi. Lakini viongozi wa
dini???? Nitaendelea kuwashangaa.
Elisa Muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment