tulivyo kigegeugeu
ENL na kashfa zake akifanikiwa kuingia ikulu. Kila mtu atasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo na kutoa pongezi mingi. na kukimbilia kusema " TUVUNJE MAKUNDI TUIJENGE NCHI ". wakati sasa ndio mabingwa wa kumchafua mtandaoni. Jamani hizi attack za wazi ni mbaya. Oh kafanya hivi kafanya vile. akichukua nchi unaweza kuyasema hayo. Mi yangu macho.
chaooo
2015-03-27 15:33 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Fimbo uko very rightndio maaana kila mara nawauliza kila muhungo, reuben na hilder hv nyie kwani Lowasa pekee ndio alieonesha nia why him .....jibu mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.......Richmaond tushatolea maelezo asietaka aje na ushahid wakeMzee Muhingo jana kasema atatoa page 6 za shutuma nzito dhidi ya lowasa nazisubiri am sure ni zile fake za kikafara na anatumika nahis vibayaUkweli watanzania hawadanganike tena enyi watu washajua mchawi ni nani na mwema ni yupo thats why wamegeuka na wanakesha getin kwa Lowasa wakimshinikiza aingie ikulu......oole wao watawala wafanye makosa naamini kutakua na mambo mabaya sana watu watagoma na kura hazitatosha na sijui naomba tu busara zitumike kuwapa wananchi mtu waoTuacheni porojo tusimamie maslahi za nchi ili kuleta upendo na amani
From: 'Kitilu Mganga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 27, 2015 5:14 AM
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
Kenya kulikuwa na mambo kama haya ya kashifa ya kuwa UHURU KENYATTA NA WILLIAM RUTO wamefanya mabo mabaya kwa wakenya , lakini mwisho wake wanatawala. acheni hila za watawala, Lowasa hajafanya Ufisadi wa RICHMOND ni Mbiuzi wa Kafara tu. na Mwisho atatawala kwa ridhaa ya wananchi wanano muomba agombee, hawatakubari kupangiwa wa kuchagua. acheni wote washindane kwa uwazi, kuliko kumshambulia mtu mmoja kana kwamba kaomba kugombea peke yake. mimi naona mjadala wote huu hauna tija badala yake ni kumpa sifa na huruma mgombea mmoja. kwani kumshambulia kwa aina yoyote Lowasa ni kudhibitisha kuwa ni tishio kwa watyawala wenye kujali kulindana na kupeana madaraka kwa urafiki. Hilo Halikubariki safari hii. mambop yamebadilika.
Poleni kwa mahangaiko yote haya. mwisho wa yote MUNGU NDIYE ATOAYE MTAWALA WALA SI CHAMA AU UTAWALA ULIOPO MADARAKANI.
Joshua Fimbo
--------------------------------------------
On Tue, 3/24/15, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 24, 2015, 9:12 PM
Hata kwenye sherehe za Arusi siku
wapo ambao wanajinunulia zawadi kisha kuwaandaa marafiki zao
kuja kutoa zawadi hizo ili waonekane wana marafiki wengi
wanaowapenda na kushirikiana vema na kutoa hayo mavitu kama
zawadi kushangaza ndugu na majirani ambao kila mtu ajae
huleta kikombe au glasi ya bei poa (shs 1000) kutoka
mitanzado ya biashara barabarani. Maharusi kujaza makapo ya
glasi au vikombe na vijiko hakuna kingine.
Huyu nae ni kama hao. January Makamba kamwambia ukweli. Sasa
akiukosa uongozi jina lisipitishwe atahamia ACTS au Chadema
au kuingia msituni na vijana wake wa pikipiki huku akiombewa
na viongozi wa dini ili ashinde vita kama vya Konyi huko
Uganda ambae hajashinda hadi leo? Hivi kuna nini huko juu?
Ndugu na jamaa wapo wapi kushauri ndugu zao hawa. Yakushinde
jimboni kwako pale ambapo kuna kila kitu kinachobaki ni wewe
kuwahamasisha to na huwezi (usiwasumbue wapiga kura wangu,
serikali inawajibu wa kuleta hiki, kuwapatia kile etc)
ukaweze huko juu kama Rais. Wazungu walete misaada ya
kuwajengea shule, kuwapa vitanda wasilale mlundikano,
kufufua visima vya maji vya mkoloni vipo huko kwako ktk
mashamba ya zamani ya wakoloni na mamlaka mbalimbali, huwezi
ukatoa hela kurekebisha haya bali ni kutoa hela za watu
waandamane kukupongeza au kukusifia. Ingefaa tuache ukabila,
udugu, urafiki, ujinga ktk uchaguzi ujao. Tusichague
viongozi madiwani, wabunge ambao toka
wachagulie hawajahamasisha na kufanikisha maendeleo yoyote
ma hawajaonekana jimboni. Tuokoke ili tufanye kweli kulinda
haki zetu sio kupelekeshwa hata kama unadhiki. Usikubali ule
usemi usemao-Masikini Hanithi (Ashakum). Yaani utakubali
kufanyiwa na kulazimishwa kufanya usiyoyapenda kwa
kupewa-vijisenti???! Mtazamo chanya ni huu kama wa akina
Nabii Elisa Muhingo.Tusichaguliwe Rais na Richmond!!
--------------------------------------------
On Tue, 24/3/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA
MACHO
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 24 March, 2015, 23:34
TUSIPOANGALIA RICHMOND ITATUCHAGULIA
RAIS
Ambaye hakijui kisa cha mtoto mdogo kumuumbua mfalme kuwa
anatembea uchi mbele ya watu wazima waliokuwa wanaogopa
kumsema 'vibaya' mfalme anisamehe maana sitakieleza.
Lakini ningependa kusema mimi katika utoto wangu
nawaonyesha
watu wazima habari za mfalme anayetembea uchi mbele zetu.
Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo sana nilizaliwa saa
9
usiku wa kuamkia 5 September 1952 katika zahanati ya
Kashasha. I am a young boy of 63 years now.
Mfalme mwenyewe ni watu hawa wazima walioitikia kwa
kupotosha wito wa Rais wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
Inawezekana kumpata rais kwa kumshawishi mmoja wetu ambaye
hata kama hataki lakini kama anaweza kunamshawishi.
Watanzania wote tunajua kuwa wapo wanachama wa CCM ambao
wanatumikia adhabu ya kuangaliwa mwenendo wao baada ya
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea uRais kabla ya
wakati. Waliofungiwa kufanya hivyo ni pamoja na waziri
Mkuu
aliyejiuzuru kwa Kashfa Mpendwa wetu Edward Lowasa, Benard
Membe, January Makamba, Wasira na kadhalika.
Moja kati ya matendo waliyokuwa wanafanya ni kujipitisha
kwenye makanisa na misikiti kujidai wanatoa michango. Watu
wenye akili wakatafsiri matendo hayo kuwa ni rushwa ya
kutaka waungwe mkono wakati wa kugombea urais
Tamko la rais kuwa tunaweza kumshawishi mmoja wetu ambaye
japo hajajitokeza na labda hataki kujitokeza bila shaka
yoyote kwa mtu mwenye akili za kawaida (kila mtu ana akili
lakini si kila mtu anzo za kawaida) anajua kuwa rais
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza na kuonyesha
nia
ya kuutaka urais mpaka kufikia hatua ya kufungiwa kuutaka
urais. Haiingii akilini.
Kitu cha ajabu na cha kushangaza watu wazima, viongozi wa
dini eti wameenda kumshawishi mwenzetu Edward Lowasa,
'kumuomba' 'akubali' kugombea urais. Haiingii
akilini katika maeneo mengi.
Tuanzia hapa:
i Yapo maazimio ya Bunge kuhusu kashfa ya
Richmond ambayo nadhani hayajatekelezwa na serikali. Kama
yakitekelezwa huwezi kujua kama hayawezi kudhibitisha
uchafu
wa wahusika akilwemo Lowasa wetu.
ii Kashfa muhimu na kubwa ni kuwa capacity
charges zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume ya bunge ina
mgao wa wahusika na haijulikani kama EL hayumo
iii Katika michango ambayo EL alikuwa
akitoa makanisani misikitini na kwingineko inadhaniwa kuwa
huenda sehemu yake inatokana na mgao huo.
iv Kulionekana dalili kuwa kuna mambo tume
ya Bunge chini ya Dr. Mwakyembe ilibakiza mambo fulani
ambayo ingeyatoa kuna watu wangepata shida. Tunakumbuka
aliposema aliwahi kufuatwa na mke wa mtu fulani kumsihi
afiche ukweli wa ripoti. EL hakuacha kutajwa katika hilo.
V Na kadhalika.
Taifa letu lina matatizo makubwa sana. Mengine ni nyufa
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka 1995. Sasa zimemeguka
na
kuwa kubwa zaidi. Rushwa sasa imezidi na kupata jina
advanced tunaiita UFISADI.
Kila mwenye akili timamu yuko anaumiza kichwa akitaka
kujua
tufanyeje ili tupate kiongozi bora na tumjueje ambaye si
fisadi. Kila mwenye akili sawasawa anajua kuwa aliyekwisha
tajwa kwa hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake
kuupata
urais.
Sasa katika mazingira hayo:
1. Viongozi wetu ambao walikuwa wakipokea
michango hiyo haramu wajisafisheje mtu akisema
walinunuliwa
na kuandaliwa kwa wakati kama huu?
2. Viongozi wetu hao wana upeo kiasi gani
kukubali kutumiwa kihuni namna hii? Kweli walilenga kwenda
kumshawishi Lowasa agombee kwa sababu wameona amekaa kimya
yaani hafurukuti kugombea? Yaani viongozi wetu walidhani
hawatajulikana kuwa lazima wamehongwa kufanya kazi hiyo?
3. Wanaweza kusimama na kujitetea mbele ya
waumini wao kuwa walifikiri Lowasa hatajitokeza kugombea
ndiyo maana waliamua kumshawishi na kumchangia fedha?
Wameona wamejitokeza wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
asijitokeze?
4. Wanataka Lowasa aje alisaidie taifa
hili kufanya nini? Wanaona taifa halina nini? Wengine
tunaona taifa ni tajiri, Lina raslimali, lina watu wapole
waelekevu. Shida linakosa kiongozi wa kuukabili ulafi na
kujilimbikiza mali ili mali iliyopo itumike vizuri. Kweli
mtu mwenye kashfa ya namna iliyo kwenye ripoti ya Tume ya
Bunge anaweza kupendekezwa na viongozi wa dini? Hii balaa.
Viongozi hao ambao ni waombezi wa Taifa hili kweli wana
dhamira njema?
Siwaelewi. Viongozi hawa wamejua jinsi ambavyo Lowasa
ameleta mgogoro katika viongozi wa kimila wa kimasai? Na
kuwa mgogoro huo ni uimla wa kutaka kuwabambikizia
wanaMonduli mtu anayetaka amrithi ubunge yeye atakapo kuwa
rais? Ndiye wanayetaka aongoze taifa hili?
Lowasa anaweza kuwa rais lakini nafikiri viongozi wa dini
wasingependa kuwa sehemu ya waliomsaidia. Lowasa amesemwa
sana. Kwa hiyo anaweza kuwa rais na akawa mzuri sana hivyo
kutukomesha tunaomsema. Lakini akiwa mbaya kuna
atakayeshangaa?
Rais Kikwete alipoupata urais wakati watu wakitabiri nani
atakuwa waziri Mkuu wapo waliomtaja Lowasa. Wako waliosema
haiwezekani akawa Lowasa. Sababu zilikuwa kwa sababu ni
rafiki wa JK basi (JK) atashindwa kumdhibiti. Waliosema
anaweza kuwa Lowasa walisema atajitahidi kutomudhalilisha
rafiki yake? Nini kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si viongozi wa siasa
wa
chama chake. Hayo tumeyazoea. Mitandao ilikotufikisha ni
wao
hakuna zaidi. Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
wameelekezwa
na wanamtandao na ni haki yao. Wanakomea hapo. Siwashangai
vijana wa bodaboda. Hao tumewazoea. Tunawakuta
wakishajaziwa
mafuta ya pikipiki zao basi. Nini zaidi. Lakini viongozi
wa
dini???? Nitaendelea kuwashangaa.
Elisa Muhingo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.a hivyo kwa Uhuru
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
XAVERY LANGA KAPECHA NJOVU
0783 662681
" Smooth seas don't make skilful sailors. "
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment