Thursday, 26 March 2015

Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA

go Jingine Kwa Chama Kipya Cha ACT-Tanzania: Baraza la Kilimo Lapinga ACT Kutumika Kama Jina la Chama

Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) limekitaka chama cha siasa cha ACT – Tanzania kutotumia jina hilo kwa kuwa tayari baraza hilo limekwsha sajili jina la ACT kama kifupi cha jina la Baraza hilo.

Akizungumza leo na  mwandishi wetu, Mwenyekiti wa Baraza hilo Dkt Sinare Yusuf Sinare amesema kuwa jina ACT linatambulika kama kifupi cha Agricultural Council of Tanzania na kwa mujibu wa taratibu za hati miliki, jina hilo (ACT) halitakiwi kutumika na watu wengine hata kama litaambatanishwa na maneno mengine.

"Hata kama wakiongeza maneno, bado kuna ACT, hiyo ni nembo yetu, tumekwisha andika barua kwenda kwa msajili wa vyama vya siasa, pia tumeandika barua kwenda katika chama hicho lakini bado hatujapata majibu, nimekwisha ongea na Zitto Kabwe kuhusu hilo na kumweleza kuwa wanatakiwa kurekebisha kabla hatujaenda hatua za juu zaidi(Mahakamani) ambazo ni ghali." Amesema Dkt Sinare

SOURCE: Mpekuzi blog

Nzweke Mussa Tugutu (Mr)
Cooler Executive Lake Zone
Nyanza Bottling Co Ltd
P.O.BOX 2086
Mwanza,Tanzania (EA)
Mobile: +255754 89 45 35
               +255784 89 45 35

On Mar 26, 2015 7:22 PM, "'weston mbuba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
ACT ni tawi la CCM. MwanaCCM mmoja kanitonya hilo. Kitila (Prof.) nasikitika kuwa unatumika vibaya.
--------------------------------------------
On Thu, 3/26/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, March 26, 2015, 4:44 PM

 Prof Kitila keep the going go,
 achana na hao wanaopelekeshwa na sera sahihi za slaa na
 mbowe hata wakikojoa kitandani wao wanaamini ni watu safi,
 mbowe na slaa ni maadui wa demokrasia hapa nchini na pia ni
 wachumia tumbo flani....Nawapongeza zito na prof kitila its
 my hope bunge likivunjwa tu mtavuna wabunge wengi kina
 nasari, kina mdee wasiokubaliana na sera za hawa mbowe na
 mwenzake slaa

 From: Kitila
 Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
  To: wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Sent:
 Wednesday, March 25, 2015 6:22 PM
  Subject: Re:
 [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA NA ACT TANZANIA

 Jamani, tusiwe
 kama mwanamume mkorofi anayepiga na kufukuza mke wake lakini
 huyu mke akiolewa na mwanamume mwingine inakuwa taabu. Hii
 nadharia kwamba ACT imeanzishwa kwa lengo la
 'divide' and 'rule' inabaki kuwa nadharia.
 Tulioanzisha ACT ni wahanga wa demokrasia katika vyama vya
 upinzani vilivyoanzishwa mara baada ya mfumo wa vyama vingi
 kuanzishwa. Tumepigania demokrasia ndani ya vyama
 tulivyokuwemo tulishindwa na hatimaye tukafukuzwa kama mbwa
 na kuitwa majina yote. Tulikuwa na hiari kadhaa: kukaa kimya
 tuwe wananchi tusio wanachama chochote, tujiunge na chama
 kingine au kuanzisha chama kingine. Tumechagua hiari ya
 tatu, kosa letu ni nini? Ni kujidanganya kudhani kwamba
 tutaitoa CCM madarakani kwa kuminya demokrasia na
 kuhakikisha kwamba vinabaki vyama hivyohivyo. Uhalisia wa
 mambo ni kwamba hatuna uwezo wa kuzuia wananchi kuanzisha
 vyama katika zama hizi za demokrasia. Wananchi sio wajinga
 watatupima kwa yale tuyasemayo na tuyatendayo na wao
 wataamua. 
 Vyama
 vilivyopo katika ulingo wa siasa nchini Kenya sio
 vilivyokuwepo mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi unaanza
 huko. Hali ni hiyohiyo nchini Zambia, Malawi, Nigeria,
 Ghana, n.k. Hii dhana kwamba chama fulani hapa Tanzania
 ndicho kilichoshushwa kuja kuleta ukombozi wakati viongozi
 wa chama hicho wanataka kutengeneza chama kingine dola kama
 ilivyo kwa CCM ni dhana potofu, kwa maoni yangu. Ni dhana
 potofu zaidi kudhani kwamba kila apinganaye na hiki chama
 teule ametumwa na CCM!!
 Kitila

 2015-03-23 13:50 GMT+03:00
 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Urguably,
 this is purely a strategic divide and rule project! Ni tabu
 sana mtu akipata fedha nyingi na madaraka makubwa akiwa na
 umri mdogo. Tuendako, kwa tamaa hizi za vijana kupata
 madaraka na fedha nyingi kupitia shughuli za kisiasa,
 mabadiliko na maendeleo ya kweli nchini  yatachelewa
 sana kuwafikia wananchi wengi. Ufukara utaendelea kuota
 mizizi miongoni mwa wengi.  Tusubiri tuone utekelezaji
 wake wa project.

 Ananilea Nkya

  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

 --------------------------------------------

 On Mon, 3/23/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE AJIUNGA
 NA ACT TANZANIA

  To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Monday, March 23, 2015, 7:26 AM

  Demokrasia

  ya kweli nyumbani ndiyo demokrasia

  gani?em

  Sent from my

  iPhone

  On Mar 23,

  2015, at 2:16 AM, "'leonard magwayega'
 via

  Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:

  F.

  Kitigwa, hizo ni dua za kuku tu hazimfikii Mwewe. Mfa
 maji

  haachi kutapatapa maana ukikosa demokrasia ya kweli
 nyumbani

  kwako licha ya mke kukukimbia tegemea pia watoto

  watakukimbia na mwisho utabaki peke yako katika nyumba
 yako

  ili ujiongoze mwenyewe.Si hutaki sauti za watoto wako
 na

  mkeo? Kama Chadema imekosa demokrasia kiasi cha
 kuzuia

  wanachama kutoa changamoto dhidi yake mahakamani
 unategemea

  nini kwa wanachama weledi? Nakuhakikishia huo ni
 mwanzo tu,

  bado gharika inakuja kama siyo tsunami. Unaweza
 kudanganya

  watu wachache tu tena kwa muda kidogo lakini huwezi

  kudanganya watu wote kwa muda wote. CHADEMA 
 inafuata nyayo

  za CCM, kudanganya watu eti inahubiri demokrasia
 kumbe

  hakuna demokrasia ndani yake na wala hakuna ushindani
 sawa

  katika fursa za uongozi. Kuna clusters za uongozi eti
 mtu

  fulani yeye ni lazima tu agombee uenyekiti miaka
 yote,

  mwingine lazima awe yeye tu kwenye ukatibu, na
 uenyekiti ni

  mtu na baba mkwe wake au kabila la huko juu tu.
 Akitokea

  Kaburu wa huko au Wangwe wa kule ahh, hao ni wasaliti
 wa

  chama.KILA

  KITABU NA ZAMA ZAKE BWANA KITIGWA.Leonard

  Elias Magwayega.

       On Monday, March 23,

  2015 7:13 AM, F Kitigwa <kitigwa@gmail.com>

  wrote:

   gm,

  This was a planned events

  Nia na lengo ni kukidhoofisha chama

  kimoja tu CHADEMA,

  Fuatilia wanachama

  wao wengi watatoka CHADEMA, zaidi ya hapo hawana nguvu
 tena,

  na hii yote ni baada ya kuona uchaguzi wa mwaka huu

  utawaendelea vibaya, CCM kwa siri sana wakaamua
 kumnunua

  huyu kijana ili angalau awasaidie kukidhoofisha
 Chadema,

  Mwisho wa mambo haya ni uchaguzi wa mwaka

  huu, angalia namna ambayo atapewa shavu na serikali,
 kuanzia

  ulinzi, mikutano na pesa ya kufanyia kampeni
 huku  mikutano

  ya UKAWA ikipingwa na serikali na kupigwa mabomu

  Ila sikutegemea kama

  hata huyu atakuwa mnafiki kiasi hicho, asubiri anguko
 lake

  kama ilivyokuwa kwa Mrema NCCR and then TLP

  On Sun, Mar 22, 2015 at

  9:31 AM, gm <gm26may@gmail.com>

  wrote:

  bado najiuliza ina maana

  asingefukuzwa Chadema asingejiunga na ACT au ilikuwa
 ni

  perfect timing? Maana tetesi za yeye na ACT

  zilianza mda mrefu sana

  Sent from Samsung

  Mobile

  --------

  Original message --------

  From: Emma Kaaya

  <emmakaaya@gmail.com>

  Date:

  To: wanabidii@googlegroups.com

  Subject: [wanabidii] PICHA : ZITTO KABWE

  AJIUNGA NA ACT TANZANIA

  ZITTO KABWE

  AJIUNGA NA ACT TANZANIA

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to
 this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
 to the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment