Monday, 24 November 2014

Re: [wanabidii] Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

kaka emma mmmmmhhhh mkapa mkapa anamkubali sana Lowsa kwa tartifa yako hata juz kati alishasema watu wachague viongoz wasiangaliie kashfa za kusingiziwa..... alimaanisha achagu;iwe jembe Lowaasaaaaa.....laigwanani wa ukweli,,,,,,Kaaya unatisha kaka kila kitu ulichokieleza apo atakarkipinga ni mwendawazimu
Hakuna asiejua kua kujiuzulu kwake kmelete madhila yoote haya, serikal imepwaya

No comments:

Post a Comment