Nimesoma maelezo vizuri sana na nimeelewa kuhusu ESCROW.
Kutokana na makubaliano yaliyomo katika PPA iliyoanzisha Akaunti ya ESCROW, fedha zilizowekwa kwenye Akaunti ya ESCROW zilitakiwa kulipwa kwa IPTL baada ya tofauti zao kumalizika. Aidha katika uamuzi wa Mahakama Kuu WA Septemba 5, 2013, iliamuliwa kuwa fedha zote zilizokuwa katika ESCROW zilipwe kwa IPTL na Akaunti ya ESCROW ifungwe na kwamba IPTL iwalipe wadai wake wote. Kutokana na uamuzi huo, Fedha za ESCROW zilitakiwa kulipwa kwa IPTL baada ya tofauti zake na TANESCO kumalizika na si vinginevyo.
Jumla ya fedha yote ambayo IPTL ilikuwa inaidai TANESCO ikijumuisha fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya ESCROW na zile ambazo TANESCO ilikuwa haijaziingiza kwenye Akaunti ya ESCROW zilikuwa Shilingi bilioni 370.8. Mbali ya fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya ESCROW bado TANESCO ilikuwa inadaiwa jumla ya Shilingi bilioni 170.8. Hata hivyo, baada ya majadiliano kati ya TANESCO na IPTL, TANESCO iliweza kuokoa kiasi cha shilingi bilioni 63.5 ambazo zingelipwa kwa IPTL kama majadiliano haya yasingefanyika
On Tuesday, November 25, 2014 1:32:09 PM UTC+3, lesian mollel wrote:
mpamgo huu wa upande wa hawa wasiopenda issue hii kujadiliwa bungeni nadhani wanapambana kuona haijadiliwi lakini iwavyo vile watanzania weeengi washapata habari ikishindikana bungeni na mahakamani iatawezekana mitaani kwa nguvu ya umaa.......masss power, hua hii ni zaidi ya mihimili yooote hyo...tusubiri tuone
From: Lugaziya Mutabaazi <mjlug...@gmail.com>
To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, November 25, 2014 1:03 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: KAMPUNI YA IPTL YAFUNGUA SHAURI MAHAKAMA KUU
Meseji ilikuwa haijaisha.Kwa jinsi hali ilivyo, nashindwa kuona jinsi mahakama itakavyoamua kwamba jambo hilo lisijadiliwe kwa kuzingatia mazingira ya nchi yalivyo hivi sasa, au mahakama ifanye kazi usiku na mchana ili jambo hilo limalizike mara moja.Lakini kwa upande mwingine, Mahakama inaweza "ikaua"mpango huu mwovu, kama inavyoua baadhi ya mashauri yanayofunguliwa dhidi ya serikali, kwa kukataa kusiliza maombi ya upande mmoja(ex parte), na ikaamua kwamba walalamikiwa waitwe na jambo lisikilizwe na pande mbili zikiwepo(inter partes), bila ya kutoa amri yoyote ya kizuizi(interim injunction), halafu ikapanga shauri/maombi kwa pande mbili yasikilizwe Ijumaa chana na kupanga kutoa uamuzi siku ya Jumatatu. Hilo likitokea, ina maana siku iliyopangwa kujadiliwa Bungeni, kutakuwa hakujatolewa kizuizi chochote!!!Mahakama huwa haifanyi kazi hewani. Majaji ni watanzania wanaowatumikia watanzania wenzao. Wataweza kutoa amri zitakazo sababisha maumivu kwa ndugu na jamaa zao walio katika shida kubwa na mateso, mojawapo ya sababu ikiwa ni ukosefu wa hela za kutoa huduma km madawa kwa sababu wafadhili wameshikilia hela za GBS?Kwa upande wa pili, hao wanaotajwa kuwa Respondents, ni ama watuhumiwa, au ni watu ambao wameonesha kutokuwa tayari kuona hoja ya taarifa hii inaingizwa Bungeni. Je watafurahia kwamba kesi hii itawanusuru na suluba, japo kwa muda?Ngoja tusubiri.MJL--2014-11-25 1:41 GMT-08:00 Lugaziya Mutabaazi <mjlugaziya1@gmail.com>:Bwana Yona,1.Kuhusu habari ambazo zimeishasambaa, haiwezekani kuingiza mtu yeyote matatani kwa kuwa amri za mahakama hazifanyi kazi kwa kuanzia nyuma(retrospectively)2014-11-25 1:29 GMT-08:00 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Wanatakiwa kupitia mitaa ya Tandika, Tandale na sehemu kama hizo halafu waone vibaka wanavyo heshimiwa na wao watoke huko mahakamani waje mtaani watapata kuhendhiwa.
--------------------------------------------
On Tue, 11/25/14, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Re: KAMPUNI YA IPTL YAFUNGUA SHAURI MAHAKAMA KUU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, November 25, 2014, 11:40 AM
Kutokana
na kesi hii msishangae baadhi ya watu kwenye mitandao ya
kijamii kufikishwa mahakamani haswa kuhusu suala la
kuchapisha orodha ya malipo toka ya benki ya Mkombizi kwenda
kwa watu kadhaa - Hakuna benki inayoweza kuhatarisha wateja
wake kwa kutoa taarifa kama zile hata kama ni za kweli
.
On Tuesday, November 25, 2014 11:36:49 AM UTC+3, Yona Fares
Maro wrote:Kampuni ya IPTL
imefungua shauri mahakama kuu na haya ni mambo
wanayolalamika .
1 - wanataka tafsiri ya kwanini CAG amewakagua (
Uhalali )
2 - Kwamba wao hawana muwakilishi bungeni wa
kuwasemea na kujibu mashambulizi yanayotolewa dhidi yao
.
3 - Baadhi ya viongozi kuanzia mwanasheria mkuu ,
waziri mkuu kama wasimamizi wakuu wa shuguli za serikali
bungeni wameshindwa kusimamia suala hilo bungeni hata maeneo
mengine kwa makusudi huku wakijua IPTL ni kampuni huru ,
inauwezo wa kumlipa mtu au kundi lolote la watu
.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment