Tuesday, 25 November 2014

Re: [wanabidii] Re: KAMPUNI YA IPTL YAFUNGUA SHAURI MAHAKAMA KUU

Maafisa wanaojitambulisha kuwakilisha  Kampuni ya  Pan Africa Power-PAP wapo mahakama kuu ya Dar es salaam kufungua shauri la kuzuia suala la Escrow kujadiliwa na Bunge.

 
PAP wamefungua shauri hilo kwenye mahakama kuu kanda ya Dar es salaam  wakimshitaki waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG na katibu wa bunge kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa wakati kwa jambo lililokwisha kutolewa hukumu na mahakama na kukaguliwa na hivyo kutaka kuzuia mjadala wowote wa suala hilo hadi ufafanuzi wa mahakama utakapotolewa.
 
Kufuatia suala la maafisa wanaojitambulisha kuwakilisha Pan Africa Power-PAP kuwepo mahakamani kufungua shauri la kuzuia suala la Escrow kujadiliwa na Bunge Spika Mheshimiwa Anne Makinda  amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia bunge kufanya kazi za kibunge.
 
Alitoa kauli hiyo baada ya wabunge kuhoji juu ya taarifa hiyo ya PAP Kufungua shauri na kusema kuwa Bunge lina Kinga ya kutoingiliwa hivyo Ripoti ya CAG itagawiwa kwa wabunge wakati wa mchana kwa maandalizi ya mjadala wa Escrow.

On Tuesday, November 25, 2014 12:41:13 PM UTC+3, mjlugaziya1 wrote:
Bwana Yona,

1.Kuhusu habari ambazo zimeishasambaa, haiwezekani kuingiza mtu yeyote matatani kwa kuwa amri za mahakama hazifanyi kazi kwa kuanzia nyuma(retrospectively)

2014-11-25 1:29 GMT-08:00 'lucas haule' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>:
Wanatakiwa kupitia mitaa ya Tandika, Tandale na sehemu kama hizo halafu waone vibaka wanavyo heshimiwa na wao watoke huko mahakamani waje mtaani watapata kuhendhiwa.
--------------------------------------------
On Tue, 11/25/14, Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Re: KAMPUNI YA IPTL YAFUNGUA SHAURI MAHAKAMA KUU
 To: wana...@googlegroups.com
 Date: Tuesday, November 25, 2014, 11:40 AM

 Kutokana
 na kesi hii msishangae baadhi ya watu kwenye mitandao ya
 kijamii kufikishwa mahakamani haswa kuhusu suala la
 kuchapisha orodha ya malipo toka ya benki ya Mkombizi kwenda
 kwa watu kadhaa - Hakuna benki inayoweza kuhatarisha wateja
 wake kwa kutoa taarifa kama zile hata kama ni za kweli
 .

 On Tuesday, November 25, 2014 11:36:49 AM UTC+3, Yona Fares
 Maro wrote:Kampuni ya IPTL
 imefungua shauri mahakama kuu na haya ni mambo
 wanayolalamika .
 1 - wanataka tafsiri ya kwanini CAG amewakagua (
 Uhalali )
 2 - Kwamba wao hawana muwakilishi bungeni wa
 kuwasemea na kujibu mashambulizi yanayotolewa dhidi yao
 .
 3 - Baadhi ya viongozi kuanzia mwanasheria mkuu ,
 waziri mkuu kama wasimamizi wakuu wa shuguli za serikali
 bungeni wameshindwa kusimamia suala hilo bungeni hata maeneo
 mengine kwa makusudi huku wakijua IPTL ni kampuni huru ,
 inauwezo wa kumlipa mtu au kundi lolote la watu
 .



 --

 Send Emails to wana...@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment