Tuesday, 25 November 2014

Re: [wanabidii] MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IMEZUIA BUNGE KUJADILI SUALA LA ESCROW

Mimi si mwanasheria hivyo nahitaji wajuzi waniondelee utata.

Nini maana na sababu ya kuwepo mihimili mitatu ya utawala: bunge, mahakama na mamlaka ya rais. Je, kimojawapo kina veto juu ya kingine. Je, rais anaweza kulizuia bunge kufanya kazi yake, je bunge linaweza kuizuia mahakama kufanya kazi yake? Mahakam je, inaweza kumzuia rais asifanye kazi yake. 

Ni katika mazingira gani chombo kimoja kinaweza kuzuia kingine kufanya swala fulani?

Pili, naamini ilitakiwa mtu ama taasisi fulani yenye maslahi na ESCROW kwenda mahakamani kufungua kesi ya aina fulani, ndipo bunge liweze kusubiri. Je, kilichotokea kinakidhi matakwa haya?

Ukiachilia mbali mwendelezo wa Escrow drama, nina kila sababu ya kuamini, hii scandal imeshikilia trigger ya mabadiliko maalum kwenye uendeshaji wa hii nchi. Kucheleweshwa kwake kusikilizika bungeni naona  ni fursa kwa wapendao kuona haki ikitendeka kuanza kutengeneza maana ya hiki kinachoendelea na kuwapa wananchi wengi tafsiri yake, ambayo mimi naona ni moja tu lakini yenye sura anuwai. Nayo ni Makusudio ya watawala kutawala kuwanyonya na kuwalisha uongo. 

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, November 25, 2014 10:35 PM
Subject: Re: [wanabidii] MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IMEZUIA BUNGE KUJADILI SUALA LA ESCROW

Elisa,
Asante.Nilitaka kuuliza kama mahakama inayo haki ya kuingilia kazi ya bunge. Kwa wenzetu huku jibu ni hapana.
Ila bunge linaweza kutunga sheria ambazo mahakama itawajibika kuzifuata.
em

On Tue, Nov 25, 2014 at 2:18 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kama Tanzania iliwahi kukabiliana na hatari, ni pale Bunge litakapotekeleza amri haramu hii ya mahakama. Tukumbuke yaliyotokea Romania wakati huo. Tuliyasoma kwenye magazeti saasa ni zamu ya wengine kuyasoma yakitokea hapa
--------------------------------------------
On Tue, 11/25/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IMEZUIA BUNGE KUJADILI SUALA LA ESCROW
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, November 25, 2014, 6:34 PM

 MAHAKAMA
 KUU YA TANZANIA IMEZUIA BUNGE KUJADILI SUALA LA
 ESCROW

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment