Ukimsoma Happy unafurahia hoja. Kumbe yale maneno ya mwisho kabisa wa makala yake, ndiyo aliyokusudia kuyabainisha.
"...kwenda kutoa hotuba za kuwasema wenzao ni mafisadi kila kukicha wakati nao ni wachafu pia?"
Lakini hoja yake ina jambo muhimu sana. Pengine ni kwa sababu wanachukuliwa kuwa kwa sababu wao si viongozi serikalini, hawana pesa za kumwaga. Pia hata pale baadhi yao wanapopata nafasi ya kualikwa, taarifa za matukio hayo hazipati nafasi kubwa kwenye media kama zilivyo za hao watawala.
Jana nilishangaa kwa mfano, wakati khabari kubwa ilikuwa ya mkutano wa waandishi wa habari wa Prof Lipumba, lakini kwenye Channel Ten, khabari iliyohusu Katibu Mkuu wa CCM, Kinana kukamilisha ziara ya mikoa ya Kusini ndiyo iliyochukua nafasi ya juu ktk taarifa yake ya khabari.
Wakati mwingi sisi Media tunajifanya kuzugwa na kudharau yanayohusu hao aliowataja Happy. Jeuri tu inayotuadhibu.
Ila yapo matukio mengi viongozi hao wanashirikishwa kama wageni waheshimiwa. Maalim Seif kwa mfano, anaalikwa sana shughuli za kijamii Zanzibar na Dar es Salaam. Linapokuja suala la coverage, Media za Tz zinamchukua Kinana au hata Nape zaidi kuliko yeye.
Jabir+
From: 'haulledict' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, November 24, 2014 5:41 PM
Subject: Re: [wanabidii] KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
Nadhani viongozi wote uliowataja Katabazi ni Viongozi wa Serikali na hilo kundi jingine ni viongozi wa chama. Ningeona pia kama viongozi wa CCM ambao wasio na sifa za uongozi wa serikali wanaitwa basi hapo tungekuwa na hoja tofauti
On Monday, 24 November 2014, 16:35, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
Yona Maro na mwingine yoyote yule:
Umetaka kujua sababu. Sabau ni rashi kabisa.
Katika nchi kama yetu ambayo wengi wetu ni wachumia tumbo na ili uweze kuchumia tumbo ni lazima uwe karibu na viongozi walioshika dola. Hivyo si ajabu kwa wakuu wa taasisi kuwaalika viongozi walioshika dola ili waweze kuchumia tumbo au waweze kusukuma mambo yao yaende.
Nitakupa mfano, kuna mkuu mmoja wa taasisi ya elimu alikuwa anafanya juhudi kubwa sana ili aweze kumpata mgeni rasmi ambaye ni mkubwa sana katika dola hii. Lakini lengo lake lilikuwa atakapokuja wamlilie hali ili waweze kupata umeme, kwani umeme eneo hilo haujafika na wamefanya kila jitihada hawajaweza kufanikiwa kuvuta umeme. Hivyo wakaona kuwa wakimpta mkubwa huyu kuja katika mahafali, pia itakuwa nafasi nzuri sana ya kumuomba awasaidie kupata umeme.
Nadhani umeelwa kwa nini taasisi zinapenda kuwaalika viongozi wenye kushika dola.
Date: Mon, 24 Nov 2014 10:04:31 +0300
Subject: [wanabidii] KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com; wanazuoni@yahoogroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
Na Happiness Katabazi
NIMEKAA chini nimejiuliza sana bila majibu niomeona ni vyema niwaulize waungwana swali hili;

Hivi ni kwanini sioni wala kusikia mara kwa mara kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama Cha (Demokrasia), Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Professa Ibrahim Lipumba,Katibu wa Chadema, Dk.Wilbroad Slaa , Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu wanaalikwa Kuwa wageni rasmi Katika Mahafali ya vyuo vikuu , shule za Sekondari?
Nimezoea kuona kusikia na kuona kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu Mgeni rasmi ni Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dk.Ally Mohammed Shein, Marais wastaafu Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Professa Anna Tibaijuka, Waziri wa Elimu na Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe, Waziri asiye na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya na wengine.
Swali langu je hawa viongozi wa kisiasa wa vyama vya upinzani Mbona hatuoni wakialikwa Kuwa wageni rasmi Katika Mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari ,Shule za Misingi ?
Je hawana hadhi na mvuto wa kualikwa kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari na Shule za Msingi Kuwa wageni rasmi?
Au viwango vyao vya elimu vinatiliwa Shaka ndiyo maana hawaalikwi Kuwa wageni rasmi kwenye mahafali ya aina hiyo?
Au hadhi Yao ni kule kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa na katika mikutano yao na waandishi wa Habari tu kwenda kutoa hotuba za kuwasema wenzao ni mafisadi kila kukicha wakati nao ni wachafu pia?
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
0716 774494
Novemba 24 Mwaka 2014
Nimezoea kuona kusikia na kuona kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu Mgeni rasmi ni Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dk.Ally Mohammed Shein, Marais wastaafu Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Professa Anna Tibaijuka, Waziri wa Elimu na Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe, Waziri asiye na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya na wengine.
Swali langu je hawa viongozi wa kisiasa wa vyama vya upinzani Mbona hatuoni wakialikwa Kuwa wageni rasmi Katika Mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari ,Shule za Misingi ?
Je hawana hadhi na mvuto wa kualikwa kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari na Shule za Msingi Kuwa wageni rasmi?
Au viwango vyao vya elimu vinatiliwa Shaka ndiyo maana hawaalikwi Kuwa wageni rasmi kwenye mahafali ya aina hiyo?
Au hadhi Yao ni kule kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa na katika mikutano yao na waandishi wa Habari tu kwenda kutoa hotuba za kuwasema wenzao ni mafisadi kila kukicha wakati nao ni wachafu pia?
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
0716 774494
Novemba 24 Mwaka 2014
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment