Mimi ninavyofikiri ni kwamba kila mtu anapotaka kufanya jambo lazima kwanza aweke mwelekeo. Kwa hiyo utakuta kwamba kama mwelekeo ni kwa ajili ya kuwasilisha ombi Fulani na unahitaji lifanyiwe uamuzi haraka lazima kutafuta njia ya haraka pia. na hii ndio ya kuwaalika watu wenye uamuzi kama hao waliotajwa.
Sioni mantiki sana kwamba unahitaji umeme kwenye taasisi yako halafu, unayo nafasi ya kupata umeme kisha utumie njia ya kuzunguka. Hoja inaweza kuwa iwapo unahitaji msaada wa kiufundi au kitaalamu halafu unatafuta mwanasiasa au mtu asiye husika hapo kunakuwa na tatizo la kimtizamo.
Mfano mzuri unahitaji mchango wa kitaalaamu ambapo utawasilisha mada ya kitaalamu au tukio lenyewe litatawaliwa na matukio ya kitaalamu halafu unamualika mtu asiye mtaalamu hapo kuna shida. Hii inawezekana tu iwapo huenda unahitaji coverage kubwa ya Media.
Media zetu zote (zinafanana zote) kwao habari ni viongozi wakubwa wa kisiasa na si vinginevyo. Hazina uwezo wa kufanya coverage ya habari za wananchi wa kawaida au wajasiriamali iwe zishike nafasi kwenye sehemu za mbele.
K.E.M.S.
From: mjlugaziya1 <mjlugaziya1@gmail.com>
To: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 24 November 2014, 21:23
Subject: RE: [wanabidii] KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
Kuna tabia mbovu kabisa hii iko hapa.
Shughuli ya wasomi, kama mahafali ya chuo, unaona bora kumkaribisha Kara was mchana tawala, bafala ya kukaribisha wasomi wanaojua taaluma ni nini. It is a tragedy of Africa, kama anavyosema Prof. Lumumba. Ni nakisi ya fikra kumtenga mtu kama Prof. Lipumba kwenye masuala ya taaluma?
MJL
Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:

Yona Maro na mwingine yoyote yule:
Umetaka kujua sababu. Sabau ni rashi kabisa.
Katika nchi kama yetu ambayo wengi wetu ni wachumia tumbo na ili uweze kuchumia tumbo ni lazima uwe karibu na viongozi walioshika dola. Hivyo si ajabu kwa wakuu wa taasisi kuwaalika viongozi walioshika dola ili waweze kuchumia tumbo au waweze kusukuma mambo yao yaende.
Nitakupa mfano, kuna mkuu mmoja wa taasisi ya elimu alikuwa anafanya juhudi kubwa sana ili aweze kumpata mgeni rasmi ambaye ni mkubwa sana katika dola hii. Lakini lengo lake lilikuwa atakapokuja wamlilie hali ili waweze kupata umeme, kwani umeme eneo hilo haujafika na wamefanya kila jitihada hawajaweza kufanikiwa kuvuta umeme. Hivyo wakaona kuwa wakimpta mkubwa huyu kuja katika mahafali, pia itakuwa nafasi nzuri sana ya kumuomba awasaidie kupata umeme.
Nadhani umeelwa kwa nini taasisi zinapenda kuwaalika viongozi wenye kushika dola.
Date: Mon, 24 Nov 2014 10:04:31 +0300
Subject: [wanabidii] KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com; wanazuoni@yahoogroups.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit < --

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
Na Happiness Katabazi
NIMEKAA chini nimejiuliza sana bila majibu niomeona ni vyema niwaulize waungwana swali hili;

Hivi ni kwanini sioni wala kusikia mara kwa mara kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama Cha (Demokrasia), Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Professa Ibrahim Lipumba,Katibu wa Chadema, Dk.Wilbroad Slaa , Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu wanaalikwa Kuwa wageni rasmi Katika Mahafali ya vyuo vikuu , shule za Sekondari?
Nimezoea kuona kusikia na kuona kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu Mgeni rasmi ni Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dk.Ally Mohammed Shein, Marais wastaafu Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Professa Anna Tibaijuka, Waziri wa Elimu na Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe, Waziri asiye na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya na wengine.
Swali langu je hawa viongozi wa kisiasa wa vyama vya upinzani Mbona hatuoni wakialikwa Kuwa wageni rasmi Katika Mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari ,Shule za Misingi ?
Je hawana hadhi na mvuto wa kualikwa kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari na Shule za Msingi Kuwa wageni rasmi?
Au viwango vyao vya elimu vinatiliwa Shaka ndiyo maana hawaalikwi Kuwa wageni rasmi kwenye mahafali ya aina hiyo?
Au hadhi Yao ni kule kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa na katika mikutano yao na waandishi wa Habari tu kwenda kutoa hotuba za kuwasema wenzao ni mafisadi kila kukicha wakati nao ni wachafu pia?
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
0716 774494
Novemba 24 Mwaka 2014
Nimezoea kuona kusikia na kuona kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu Mgeni rasmi ni Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dk.Ally Mohammed Shein, Marais wastaafu Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Professa Anna Tibaijuka, Waziri wa Elimu na Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe, Waziri asiye na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya na wengine.
Swali langu je hawa viongozi wa kisiasa wa vyama vya upinzani Mbona hatuoni wakialikwa Kuwa wageni rasmi Katika Mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari ,Shule za Misingi ?
Je hawana hadhi na mvuto wa kualikwa kwenye mahafali ya Vyuo Vikuu, Sekondari na Shule za Msingi Kuwa wageni rasmi?
Au viwango vyao vya elimu vinatiliwa Shaka ndiyo maana hawaalikwi Kuwa wageni rasmi kwenye mahafali ya aina hiyo?
Au hadhi Yao ni kule kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa na katika mikutano yao na waandishi wa Habari tu kwenda kutoa hotuba za kuwasema wenzao ni mafisadi kila kukicha wakati nao ni wachafu pia?
Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
0716 774494
Novemba 24 Mwaka 2014
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit < --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment