Siku hizi hata mahafali hayana maana. Miaka hiyo, pamoja na kwamba wanafunzi hawakuwa wengi viunga vya vyuo vilikuwa vikipambwa na wababa na wamama watu wazima kuja kushuhudia tunuku hizo. Hakuna aliyetaka kusimuliwa.
Siku hizi ni jambo la kawaida kukuta robo ya wahitimu hawahudhurii mahafali yao wenyewe.
Kwenye shule za Msingi na Sekondari ndio kabisa. Shule imeanguka kwenye matokeo, anasimama "Mwenyekiti" wa Wazazi(anakuwa ameandaliwa), badala ya kuleta hoja ya kujadili matokeo, anaanzisha hoja ya michango. Wazazi wanashangilia. Ukisema turudi kwenye hoja ya matokeo, una "Pindwa"(zomewa)
Wazazi wengi hawaendi kwenye mahafali kwa sababu hiyo. Mabomu mengi!!
MJL
'Rwambogo Edson' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
nadhani mtoa mada na watanzania wote mnapaswa kujua mambo haya mawili kwa undani
1) mahafali ya siku hizi ni kutembeza bakuli
2) kutoa ni moyo.
wengi wa viongozi wa vyama vya upinzani ni waoga ata wakialikwa katika harambee hawaji. wakikuheshimu sana watamtuma katibu wake au madiwani wanawatuma watendaji wa kata.
wakati viongozi wa CCM wanageuza mtaji wa kujinadi mpaka kwenye misiba kwa kuchangia walichonacho ata kama ni kwa unafki lakini ni mtaji wao kisiasa kufanya hivyo. viongozi wa upinzani nathubutu kusema ni WAROHO, WACHOYO na hawako tayari kugawana walichonacho na jamii.
katika hilo wasipoangalia litaendelea kuwaghalimu katika chaguzi mbalimbali. najua kuna watu watataka kukwepesha ukweli, tunaofanya katika mashirika binafsi kwenye jamii kila siku tunaona wabunge na viongozi wa upinzani wanavyoogopa harambee na mialiko ndani ya jamii.
Rwambogo E.J.
PO. BOX 66
NANSIO-UKEREWE
rwambogoedson@yahoo.com
mbogomunyama@rocketmail.com
mbogomunyama@rocketmail.com
On Monday, November 24, 2014 11:31 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
list yako siyo ya ukweli dada katabazi....Mh Lowasa hujamtaja wkt anaongoza kualikwa ktk graduation nyingi sana, labda unataka kumhalalisha mtu hapa lakini si list inayoconvey ukweli......
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Sunday, November 23, 2014 11:04 PM
Subject: [wanabidii] KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
KWANINI VIONGOZI HAWA HAWAWI WAGENI RASMI KWENYE MAHAFALI?
Na Happiness Katabazi
NIMEKAA chini nimejiuliza sana bi --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment