muganda, umeongelea jambo la msingi, hivi graguate wa muhimbili atajiajiri kwa kufungua hospital binafsi? labda apewe mtaji na babayake.
kijana aliyemaliza mining engineering ajiajiri kwa kuanza uchimbaji mdogomdogo?
mie nasimama palepale dhana nzima ya vijana kujiajiri ni dhana potofu na haipaswi kushupatiwa na wasomi wetu.
On Nov 22, 2014 11:50 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
-- --Kwa nchi za wenzetu ni jukumu la serikali "to create jobs."It is unrealistic to expect a mechanical engineering graduate to employ himself. He may start his own business down the road but he has to be enabled first. We should not give the government a pass in her responsibility to create jobs.em
Sent from my iPhoneNdaki hapa inatakiwa changamoto za kujiajiri mwenyewe siyo kuajiriwa na mtu au kampuni binafsi.Changamoto zinazowakabili vijana wetu katika kujiajiri ni nyingi sana na pengine kuzijua vizuri ni vyema tukapitia tafiti zilizokwishafanyika (literature review) hapa kwetu. Binafsi nafikiri tatizo la kwanza ni mazingira yasiyokuwa rafiki kwao ili wajiajiri hapa tunaweza kuongelea vitu kama upatikanaji wa kianzio (mikopo, misaada, vyama vya kujiunga pamoja nk). Pia tunalo tatizo la mtizamo kwamba kila aliyesoma lazima aajiriwe. Hivyo mtu badala ya kufikiri kujiajiri anawaza kutafuta kazi (They are not job creators instead they become job seekers). Tunalo tatizo la wanasiasa uchwara kuwadanganya vijana wetu, kwamba wanawatafutia ajira vijana wakati hawana ubunifu wala viwanda vya kuwameza vijana wetu badala yake wanawatumia kwenye mambo ya kisiasa kwa faida yao wenyewe huku wakiliacha kundi kubwa la vijana bila chochote.
Elimu ndogo (utaalamu) wa ujasiriamali (knowledge and skills). Vyuo na mashule yetu hayana kozi/masomo yaliyoandaliwa vizuri na maalumu kuwafundisha vijana namna ya kujiajiri. Tunafikiri kila mtu lazima awe mfanya biashara yapo maeneo mengi sana ambayo hayajafanyiwa kazi na hasa shughuli za kilimo, ufugaji samaki/nyuki, kilimo cha uyoga, na mazao mengine yanayoweza kuwapa vipato. kukosekana kwa mifano mizuri ya watu waliojiajiri (models).
Siku zote tunawaambia vijan habari ya kujiajiri wakati huo huo sisi wenyewe hatuwezi kujiajiri. Watu wamebaki kukimbilia siasa na kuweka umri mkubwa wa kustaafu. Na hivi juzi wabunge wetu wamekataa uwepo wa kikomo cha kugombea nafasi za kisiasa kwa woga wa kujiajiri. Kwa nini hatutaki kuwa mifano bora ya kujiajiri ili vinaja wetu watuige? Tunabaki kuwaambia wajiajiri wakati sisi wenye mitaji ya elimu na mali tunaogopa kujiajiri? Ni mada nzuri, wadau tuchangie inaweza kuwasaidia vijana wetu--On 20 November 2014 16:24, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:lipo tatizo la wakurugenzi wa kigeni kufukuza kazi au kuwajengea vijana wa kitanzania mazingira mabovu ya kazi na hatimae kuamua kuacha kazi. mameneja hawa wamekuwa wakiwaleta ndugu zao kufanya kazi ambazo zilipaswa zifanywe na watanzania
On Nov 18, 2014 3:55 PM, "Rehema Kikwete" <rehemaki@gmail.com> wrote:--TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA--
1. Ni changamoto gani zinawakabili vijana katika kujiajiri? 2. Nini kifanyike kuwakwamua vijana na tatizo la ajira ?
YOUTH UNEMPLOYMENT CHALENGE
1. Which factors that hinders youth from employing themselves ? 2. What should be done to curb youth unemployment problem ?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:
Post a Comment