Sunday, 3 August 2014

Re: [wanabidii] WABUNGE WA CHADEMA WALIA NA MBOWE KUHUSU BUNGE LA KATIBA

Emmaeul au Noel maana yake ni kubwa sana kwa wakristo sasa huyu emma wa kuzusha uongo anasali wapi
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "'Jovi kamuntu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 3 Aug 2014 12:02:04 -0700
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA CHADEMA WALIA NA MBOWE KUHUSU BUNGE LA KATIBA

Kaaaya,

Unaweza kuthibitisha maneno yako hayo au ni uongo wako tu. Habari si habari,  hadithi si hadithi. Umeandika kwa kuchapia tu.
 
Jovin Bifabusha

DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200

On Sunday, August 3, 2014 5:49 PM, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:

Emma, na wale wa CUF wanamlaumu Lipumba? Lakini iwekwe wazi: Yeye (mbowe) ananufaikale?
 
Date: Sun, 3 Aug 2014 07:43:29 -0700
From: emmakaaya@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] WABUNGE WA CHADEMA WALIA NA MBOWE KUHUSU BUNGE LA KATIBA

Tarifa toka kwa baadhi ya wabunge wa chadema ambao wanania njema na taifa hili wamekuwa wakimlaumu mwenyekiti wa chama chao kwa kuwapiga marufuku kushiriki bunge la katiba bila sababu za msingi.

wabunge hao wamesema kuwa wamekuwa wakikutana na wakati mgumu sana kwenye majimbo yao baada ya wapiga kura wao kupingana nao wazi wazi wakiwataka waende bungeni ili wakatimize matakwa yao ya kuwawakilisha vema kama katiba inavyotaka.

Lakini pia wengine wanadai kuwa yeye kama mwenyekiti ananufaika na mgogoro huu wa ukawa kutorudi bungeni kwa kuwa na maslahi nao ya kibinafsi wakati wao hawana manufaa na vurugu hizi zaidi ya kuwakosanisha na wapiga kura wao

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment