Monday, 4 August 2014

Re: [wanabidii] UKAWA RUDINI BUNGENI

Kama rasmu ya pili ya katiba ni maoni ya tume basi bunge halina cha kujadili livunjwe lingojee maoni ya wananchi. Je, bunge hili sasa limegeuka kuwa ndiyo tume mpya? Je, maoni wanayojadiliana wamepewa na nani maana hata mmoja wao hajaonekana jimboni kuwauliza waliomchagua wanataka nini. Tuache unafiki tuwe wakweli, ukawa na ccm wote wanamatatizo. Ila kuacha rasmu aliyokabidhiwa rais na watu aliowateua na kuwapongeza kwa kazi nzuri ni utovu wa nidhamu
--------------------------------------------
On Mon, 8/4/14, 'lingonetlindi@yahoo.co.uk' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA RUDINI BUNGENI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 4, 2014, 6:10 AM

Tulipojikwaa ni muundo wa bunge la
katiba,kisha kuifuta tume ,tutajuta sana
Sent
from Yahoo Mail on Android








From:

'jbifabusha' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;



To:


<wanabidii@googlegroups.com>;



Subject:

Re: [wanabidii] UKAWA RUDINI
BUNGENI


Sent:

Sun, Aug 3, 2014 9:05:11 AM





Kuna
viambatisho 11 sio randama peke yake. Vyote CCM wamevifuta
kwenye mtandao pamoja na Tume. Kwanini Tume wasiitwe Bungeni
wakajibu kwanini wameleta maoni yao badala ya
wananchi.

Sent from Samsung
Mobile


-------- Original message
--------
From: hosea.ndaki@gmail.com
Date:
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA RUDINI BUNGENI


Jovi, ukisoma randama ya
rasimu utagundua  kilichowasilishwa ni mapendekezo ya tume
kwani hakuna takwimu zozote kuonyesha ni kwa kiwango gani
wananchi walipendekeza  mawazo husika, hili ni pungufu
lazima tulikubali.


----------
Sent from my Nokia phone

------Original
message------
From: 'Jovi kamuntu'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
Sunday, August 3, 2014 12:36:18 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] UKAWA RUDINI
BUNGENI

Kwa kweli mimi
nimesoma makala ya Happiness humu kwenye jukwaa nashindwa
kuelewa anaishhi nchi gani? Hivi kweli Happiness unaweza
kusema kwamba Rasimu ya Pili ya Katiba iliyoandikwa  na
Tume ya Rais ya Mabadiliko ya Katiba siyo maoni ya
wananchi? Au ulikuwa unakusudia kusema kitu kingine na
kalamu yako imeropoka. Nakuomba ufafanue maelezo yako eti
Rasimu ta Tume ya Mabadiliko ya Katiba siyo maoni ya
Wananchi.

Kama kweli hilo
ndilo ulilokusudia basi mimi kuanzia leo najua kuwa
Watanzania bado tuna safari ndefu. Wewe kama mwandishi
mahiri na kalamu yako inafika mbali sana kwa Watanzania
wengi wanakusoma. Kama unaweza kusema hivyo na ndivyo
unavyoelewa kwakweli Mungu akubariki kwanza ndipo Tanzania
itabarikiwa baada yako.

Jovin Bifabusha


DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 765
010235


On
Sunday, August 3, 2014 8:44 AM, 'Happiness Katabazi'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 







UKAWA RUDINI
BUNGENI
Na Happiness Katabazi

MHADHIRI  wangu wa somo la
Sheria la Katiba wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), wakili
Aghata Leandy  kwa  Miaka miwili mfululizo sasa amekuwa
akitufundisha Darasani  somo Hilo na Ilipofika  Topiki ya
jinsi ya kutengeneza Katiba.

 Mhadhiri Huyo wa Sheria,  Leandy  alisema
  kuna Hatua  Mahsusi  za kupitia Katika Kutengeneza  
Katiba  nchi zenye demokrasia na zinazojitawala kwa
 Utawala wa Sheria.

Mhadhili Leandy alizitaja  hatua  hizo Kuwa
ni kwanza Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya maoni ya
wananchi (Grass Root Level),
 Tume yenyewe kuchambua maoni hayo waliyoyakusunya toka
kwa  wananchi  na kisha Kutengeneza  rasimu yake ambayo
rasimu hiyo italelekewa Katika Bunge la Katiba.

Tatu ni Bunge la Katiba
 (Constitutional Assembly) ambapo bunge la Katiba
itaijadili rasimu ya Tume  na kisha bunge hilo kuipigia
kula ya ndiyo au hapana Katiba hiyo iliyopendekezwa na Bunge
na hatua ya mwisho ni kwa Katiba hiyo iliyopendekezwa na
Bunge la Katiba kupelekwa kwa wananchi ili wananchi nao
waweze kupigia kula ya ndiyo au hapana Katiba hiyo
iliyopendekezwa na Bunge la Katiba( Referundum)

Na Kwa mujibu wa Kifungu Cha
18 Cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2012
kinaruhusu  Hatua hiyo ya kwanza kufanywa na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa ikiongozwa na Jaji Joseph
Warioba.

Hatua ile ya pili
ni rasimu  ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Jaji
Warioba Katika Bunge Maalum.Kwa hiyo mapendekezo yaliyo
Katika rasimu ya
Tume ya Warioba siyo maoni ya wananchi ni mapendekezo ya
Tume hiyo kwa  Bunge Hilo Maalum. Hivyo kilichobakia ni
Bunge kuijadili rasimu  ya Warioba na Kutengeneza Katiba
itakayopendekezwa na Bunge Hilo na Kisha wajumbe Hao
kuipigia kula ya ndiyo au Hapana Katiba hiyo iliyopendekezwa
na Bunge Hilo. 

Kwa hiyo
kitendo kilichofanywa na UKAWA Cha Kupeleka rasimu ya
Warioba kwa wananchi hakikuwa sahihi. Kisheria Rasimu ya
Tume inapaswa kupelekwa Katika  Bunge Maalum la Katiba
ambalo linaongozwa na Mwenyekiti Samuel Sitta.

Ikumbukwe Kuwa rasimu ya Tume
ya Warioba siyo maoni ya wananchi , rasimu ile ni
mapendekezo ya Tume ya Warioba, mapendekezo ya Tume siyo
mapendekezo ya wananchi kwasababu kisheria wananchi watatoa
maoni Yao  kuhusu Katiba wanayoitaka pale tu Wananchi
watakapolekewa ile Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum
 na kwasasa bado Bunge Maalum bado halijafikia hatua ya
Kutengeneza Katiba
iliyopendekezwa na Bunge Hivyo naweza Kusema wanachokifanya
Ukawa ni kuwavuruga wananchi.

Tuliwasikia baadhi ya wana UKAWA wakidai  CCM
inataka kuchakachua rasimu ya Warioba na mchakato mzima , na
wengine walidiriki Kusema  kuwa Bunge Hilo Halina mamlaka
yoyote yakufanyia marekebisho ama kuongeza wala kupunguza
kitu ile rasimu ya Tume.Hii siyo sahihi.

Kama Bunge la Katiba Halina mamlaka ya
kuongeza, kupunguza, kuweka kitu basi Bunge Hilo kitakuwa ni
Bunge lisilonameno ambalo Kamwe Watanzania Hatuwezi kuruhusu
Kuwa na Bunge ambalo halina meno.

Kwa Mfano hiyo Rasimu ya Warioba ingekuwa
imesahau Haki za watoto,wanawake. Bunge la Katiba lingebaini
mapungufu hayo lisingekuwa na mamlaka ya kuweka Haki
hizo?

Mbona kifungu cha
25(1) Cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2012
 iliyoandikwa kwa  lugha ya Kiingereza,  kinatoa mamlaka
Kwa Bunge la Katiba Kutengeneza vifungu vipya  kuweka
Masharti ya
mapito ya Katiba inayopendekezwa.

Wakati Kifungu Cha 25 Cha Sheria hiyo ambayo
imeandikwa Kwa lugha ya Kiswahili, Kinasema Bunge la Katiba
linaweza ' kuboresha  na kurekesha... Katika kipungu
hiki Kwenye Sheria hii iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili
madaraka ya Bunge Hilo ni Kama yanapungua kwa Kusema '
linaweza kuboresha au kupunguza '. Wakati Sheria hiyo
iliyoandikwa Kwa lugha ya Kiingereza inasema Bunge Hilo
linaweza Kutengeneza vifungu Vya Sheria.

Sasa Kama huu ni mgogoro wa tafrisi ya Sheria
hizo ambayo imeandikwa kwa lugha hizo mbili, Kifungu Cha 84
(3) Cha Tafsiri ya Sheria ya Mwaka 1996  Kinatamka wazi
Kuwa panapotokea mgongano wa Tafsiri ya Sheria Moja
iliyoandikwa kwa lugha mbili tofauti  basi Sheria
iliyoandikwa kwa lugha ya kwanza ndiyo itayochukuwaliwa
uzito na kutumiwa kumaliza Mzozo huo wa Tafsiri ya
kisheria.

Ikumbukwe Kuwa
Sheria ya Mabidiliko ya Katiba ya Tanzania iliandikwa kwa
mara ya
kwanza na kumpitishwa na Bunge Kwa lugha ya Kiingereza na
Kisha Sheria hiyo ikajakutafsiriwa KWA lugha ya
Kiswahili.Hivyo basi kwa mujibu wa Kifungu Cha 84(3) cha
Sheria ya Tafsiri ya Sheria ya Mwaka 2012, ni Sheria
iliyoandikwa kwa lugha ya Kiingereza ndiyo itakayotumika.

Na wajumbe wote wa Bunge la
Katiba walilidhia Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka
2012 iliyoandikwa kwa lugha ya Kiingereza ndiyo itumike
kuendeshea Bunge na Bunge Hilo likalidhia Kuwa Lina mamlaka
ya Kutengeneza vifungu upya Vya Sheria Kama ilivyoelezwa
Kwenye Kifungu Cha 25(1) Cha Sheria hiyo ya mabadiliko ya
Katiba pindi Iinapoona kuna haja ya kufanya hivyo.

Leo hii baadhi ya wajumbe Hao
wanavyose Bunge Hilo halina mamlaka ya kutunga vifungu vipya
na kufanyia marekebisho rasmi hiyo ni wazi ni wanafki na
wazandiki  Kwani wanapingana na maamuzi Yao ya awali
waliyolodhiia ndani ya Bunge kuwa Bunge Hilo Lina mamlaka ya
kutunga, kurekebisha.

UKAWA
wameapa
 kutorejea bungeni ambapo Bunge Hilo linaanza Agosti 5
Mwaka huu la Madai Kuwa wamechoshwa na lugha za
kejeli,baadhi ya wajumbe kumtusi Jaji Warioba, mchakato wa
Katiba mpya Tayari umeishachakachuliwa na wajumbe Toka CCM
licha ya Makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo viongozi wa
dini Kuwaasa ware je bungeni wakati ile majukumu Yao ya
Kutengeneza Katiba Mpya ambayo wamekuwa wakidai kwa MUDa
mrefu.

Ni kweli awamu ya
kwanza ya Kikao Cha Bunge Maalum tulishuhudia upuuzi na
uhuni wa Hali ya juu uliofanywa na baadhi ya wajumbe wa
Bunge Hilo Hali iliyosabisha heshima ya Bunge Hilo kushuka
na wananchi kukerwa na vitendo hivyo.Wajumbe wa Ukawa wao
waliamua kususia Bunge Hilo kwa kile walichodai watolewa
lugha chafu na baadhi ya wajumbe wenzao ambao wakidai ni
wajumbe toka CCM na Mwenyekiti wa Bunge Hilo Hawachukulii
Hatua yoyote.

 Kwa wale
tuliokuwa tunalifuatilia Bunge la Katiba ni kweli
tulishuhudia baadhi ya wabunge wa Ccm wakiwatolea
lugha za kuudhi baadhi ya wajumbe ambao wamejitambulisha ni
Ukawa na baadhi ya wanachama wa Ukawa nao tuliwashuhudia
ndani ya Bunge nao walitumia lugha za kejeli dhidi ya
wajumbe wenzao  Hali iliyosabisha kwa watu wenye akili
timamu na wanaojiheshimu kuwaona wote Hao  ni wahuni na
Hakuna mwenye afadhali na vitendo vyao vya kihuni
vinadhalilisha  bunge letu.

Wakati vitendo hivyo Vya kifedhuli vikifanyika
ndani ya Bunge, Bunge Hilo lilikuwa Halina Kanuni zinazoweza
kuwabana wajumbe wanatoa lugha chafu na kuudhi wenzao,
kumjadili mtu  badala ya kujadili rasimu, kuwabana wale
wajumbe wanaosusia  Bunge hilo, na wajumbe wanaamishia nje
ya bunge mjadala wa kutengeneza katiba.

Kwa Kuwa Hakuna na Kanuni hizo ndiyo mAana
miongoni mwa wajumbe wakawa wanatumia mwanya huo kufanya
ufedhuli huo Kwani walikuwa wanafahamu fika Hakuna Sheria
wala Kanuni ya kuwabana.

Udhahifu huo uwe ni Changamoto kwa Bunge la
Katiba kupitia
Kamati yake ya Kanuni , itunge  Kanuni za Kuzuia ufedhuli
huu usiiendelee Katika Kikao kijacho. Binafsi naitaji Katiba
mpya itengenezwe kwa kufuata Taratibu zote na
wanaoitengeneza wawe na nidhamu na wajiheshimu.

Binafsi nawashauri   UKAWA
 warejee bungeni Na hoja Yao Yakutaka muundo wa serikali
Tatu na wapigie kura hiyo katiba itakayopendekezwa na Bunge
Hilo KWA Wingi na Hilo kundi la wajumbe toka CCM nao wapigie
kula za ndiyo muundo wa serikali mbili na kwakuwa UKAWA
 wameishatamba Kuwa wana theluthi mbili za wajumbe toka
Zanzibar  basi hiyo hoja Yao waingie  nayo  ndani ya
Bunge kwa Amani na wapigie kula hiyo Katiba inayopendekezwa
na Bunge wanaweza wakashinda Kama kweli wanaowajumbe
Wengi.
  
UKAWA kama dai
lao la kwamba wananchi Wengi wanataka muundo wa serikali
Tatu. Basi hiyo Katiba itakayopendekezwa na Bunge Maalum
itakapopelekwa Kwa Hao wananchi ambao Ukawa wamedai wanataka
muundo wa serikali Tatu , basi wananchi wanapiga kula
nyingi za Ndio za kutaka muundo wa serikali Tatu.Tatizo
linatoka wapi?

Hoja yangu
kwa UKAWA je Leo hii wakiakikishiwa Kuwa lugha za matusi,
kejeli hazitakuwepo tena bungeni ,wanakubali Kurejea bungeni
kuendelea na mchakato wa Kutengeneza Katiba?

Mwisho , naomba ieleweke wazi
Kuwa hapa nchini Kuna watu wanaheshimika sana lakini
ilipotokea Mzozo huu wa UKAWA  wajivunjia heshima zao Kwa
kutoa maoni Yao ambayo hayasaidii Kuleta maridhiano Bali
kuongeza Chuki.Namalizia kwa Kusema yaliyo pita Si
ndwele,tugange yajayo.

Tofauti za pande zote mbili za wajumbe wa Bunge
Maalum zizikwe ,tufungue ukurasa mpya ,UKAWA rudi ni bungeni
mkatimize majukumu yenu Kama mlivyoapa kwa mustakabali wa
taifa letu Kwani Hao hao wanajifanya wanawaunga  mkono Leo
hii  KWA uamuzi wenu wa Kugoma Kurejea bungeni ndiyo Kesho
watakuwa Wakwanza Kuwachafua Kuwa milikuwa na Lengo baya la
kukwamisha
upatikAnaji wa Katiba mpya.

Mungu ibariki Tanzania
0716
774494
http://www.katabazihappy.blogspot.com/:
Facebook: Happy Katabazi
Agosti 3 Mwaka
2014.Jumapili.








Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
---
You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For
more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to
wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.







--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment